Somo hili linawahusu wanaume please pitia hapa upate elimu

Nipo kwenye hali hii Ila Kuna Vitu fulani huwa Naonaga kama Makusudi vile...

Tunaweza Tukazunguka naye mji mzima Tunatafuta anachokitaka kikikosekana ananinunia mpaka mie
 
Kibongo mwanamke ukifanya hivyo ataitumia fursa hiyo vibaya, unafika getini mtu anakuagiza kitu kinacho patikana kilometa 5 sasa mimba gani hiyo. Mchana alikuwa wapi kukuagiza
Mdanganye kama jambo haliwezekani. Wanapendwa kudanganywa hawa
 
Nipo kwenye hali hii Ila Kuna Vitu fulani huwa Naonaga kama Makusudi vile...

Tunaweza Tukazunguka naye mji mzima Tunatafuta anachokitaka kikikosekana ananinunia mpaka mie
Anahisi na ww ndio chanzo cha kufanya hicho kitu kisionekane
 
Wanawake nao wajiongeze wasipofanyiwa vyote wanavyotaka huishia kuiharibu au kuitoa Mimba jambo la kushangaza sana
 
Watu wengi huwa hawajui hata aliyeleta maada najua hajui

Pindi mwanamke anapokua mjamzito ni marufuku kumdekeza kwa maana ndo hapo tabia nyingi alizozificha huonekana lzm usimame kiume umuonye na usimuache kwani ukimwacha tabia utaichixhea mpaka hata kwa watoto

Mfano mwanamke anakuwa mjamzito anampenda mwanaume furani eti asipomwona hajisikii vizuri ukiona hivyo jua huyu anatabia ya uzinzi hata makofi anastahili kabisa
Haha hiyo tabia kweli ni yakupiga unless awe ni babae.
 
Kibongo mwanamke ukifanya hivyo ataitumia fursa hiyo vibaya, unafika getini mtu anakuagiza kitu kinacho patikana kilometa 5 sasa mimba gani hiyo. Mchana alikuwa wapi kukuagiza
Mkuu unapiga story nyingi mpaka ashindwe kujua kama umekataa
 
Watu wengi huwa hawajui hata aliyeleta maada najua hajui

Pindi mwanamke anapokua mjamzito ni marufuku kumdekeza kwa maana ndo hapo tabia nyingi alizozificha huonekana lzm usimame kiume umuonye na usimuache kwani ukimwacha tabia utaichixhea mpaka hata kwa watoto

Mfano mwanamke anakuwa mjamzito anampenda mwanaume furani eti asipomwona hajisikii vizuri ukiona hivyo jua huyu anatabia ya uzinzi hata makofi anastahili kabisa
Daaah!Nimecheka kweli.
 
Mbona wale wadada wanaopataga mimba wakiwa kwao hawanaga inshu hzo
 
Back
Top Bottom