nadhani najaribu kupata mtizamo wako gfsonwin, maana ya maisha unaweza kuipata zaidi katika mambo ya dini, nje ya dini?
ni mfalme Suleman kwenye biblia alitumia hili neno kuyaelezea maisha.
Baada ya kuoa wanawake 1000, masuria sijui 300, kuwa na hanging gardens, utajiri wa kupindukia.
Mwisho alisema 'maisha ni ubatili mtupu na kujilisha upepo'
nadhani hata aliangalia nyuma akakosa maana ya kuishi ni nini au hakuelewa, baada ya anasa zote alizofanya then?
hakuna ishu....
hata utafute weeeeeeeeeeeee
umiliki vogue na magorofa..........
akaunti zenye pound .............
mwisho wa siku ni kufa, kuoza...labda mifupa baadae watu wataifanyia reseach
siwezi ndo maana mimi huwa nikitaka kitu siangaliagi kesho kwangu maisha ni haya haya leo leo...kama kitu hakina faida kwangu na hakinipi furah leo napiga tu teke kuleWee nikikuuliza hili swali, utanipa jibu gani?
siwezi ndo maana mimi huwa nikitaka kitu siangaliagi kesho kwangu maisha ni haya haya leo leo...kama kitu hakina faida kwangu na hakinipi furah leo napiga tu teke kule
kwangu maisha ni haya haya now now
Mfano nikikuuliza, wewe leo nini kina kupa furaha?
Generally tu
afya njema niliyoamka nayo.afya ya familia.uhusiano mzuri na baby wangu na na kazi ni na mafriends kama wewe hivi i mean sina ugomvi popote...wallet inanitoshaMfano nikikuuliza, wewe leo nini kina kupa furaha?
Generally tu
Narudia kukumbushia thread ya Mbu juu ya ukomo wa kutafuta. In the end of the day, family is what matters the most. Quality times spent and shared, love manifested through deeds and sweta well utilised. Hayo ya hela sijui maghorofa ni ubatili na kujilisha upepo.
Bible inasema itamfaa nini mtu apate ulimwengu wote, nae mwenyewe aje apate hasara ya nafsi yake?
ni mfalme Suleman kwenye biblia alitumia hili neno kuyaelezea maisha.
Baada ya kuoa wanawake 1000, masuria sijui 300, kuwa na hanging gardens, utajiri wa kupindukia.
Mwisho alisema 'maisha ni ubatili mtupu na kujilisha upepo'
nadhani hata aliangalia nyuma akakosa maana ya kuishi ni nini au hakuelewa, baada ya anasa zote alizofanya then?
sometimes huwa najikuta nashangaa tu
hivi tunaishi kwa ajili ya nini?
Baada ya kupata hayo yooote unayoyahangaikia, then what?
Nilitaka kukwambia soma Muhubiri, naona umemqoute hapo.
As mkatoliki rejea Katekisimu (Mungu alituweka duniani tufanye nini?)
As binadamu wa kawaida, maisha yalianza kupata meaning at least kwangu mimi nilivyoleta kiumbe duniani; so karibu kila kitu ninachokifanya ni katika kumake sure mtoto anakuwa na future nzuri.
Lakini pia huwa najisikia kuwa full pale ninapo make a difference kwenye maisha ya mtu mwingine, (kumsaidia kwa maana ya kumtoa kwenye hali fulani kwenda kwenye nyingine hata kwa ushauri tu), kuleta tofauti katika mazingira (mf. pale nilipostop kutumia mkaa, nikapiga hesabu ni miti mingapi ninaiokoa kwa kutotumia mkaa), na tuvitu tungine tudogo tudogo.
Nikimqoute T. B Joshua anasema "we are blessed in order to bless others"
"they are motherless and fatherless so that we can be their mothers and fathers"
Nikimqoute mama mmoja wa kiingereza "every individual matters, every one has a role to play"
Sasa nikiweza fanya au kusababisha mwingine afanye hata kimoja wapo, l feel l have performed what l was destined to do. Ndipo life yangu inapokuwa na purpose!