'Sometimes the Cover Can Judge the Book'..ryte???

'Sometimes the Cover Can Judge the Book'..ryte???

Mavazi yanamatter eeh??...wabeja sana!
Eeheeh naunga hoja kwa asilimia zote,ukivaa mavazi ya heshima hata uende ohio hakuna atakae kufuata hahah

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Halaf nimegundua wengi wanaosumbua ni wale ambao kiukweli ni wakuja
Yaani wao kuja mjini wanadhani ili ufanane na mji lazima uwe nasty
Hebu jaribu kufanya utafiti wako half utaniambia..humo nilimobold umenikosha sana
ungekuwa jirani ningekuagizia tots za tequilla!
Kuna kitu kinaitwa Dress Code!!!! Ukiweza kuimaster hiiii BAAAAAAASSS!!!! Kuvaa kuendana na TUKIO!!! Kama Disco mwendo wa Hot Pants, Kazini mwendo wa Pencil skirts kwa mishati, Church mwendo wa vigauni!!! It aint that hard, ni ushamba tuuu! Mi sipendi kukukosea Dress Code, unaoneka WAKUJA kinoma!!! Kunasiku nilialikwa Harusi, sasa huyo shosti, tulikuwa wote pale kino, sikumuona kitambo, kumbe keshatoka kimaisha mi sina habari. Alivonialika Harusi yake mkoani, nikajua kule mambo ya KUSHONA VITAMBAA TU! Wacha nishone kwa fundi Juma, tena nikamwambia hiyo mkoa usirembe sana nisije geuka CENTRE OF ATTENTION!!! Kufika kuleeeee! NI NOMAAAAAAA! Watu WAMETOKAAA BALAAAA! Nilirudije kuvua mshono na kupiga za KISELA!!!! Walionistukia potelea pote! Japo sikufikia viwango!! LOL! Nimekoma sikuhizi lazima niulize MWAVAAAJE WENZANGU!
 
Halaf nimegundua wengi wanaosumbua ni wale ambao kiukweli ni wakuja
Yaani wao kuja mjini wanadhani ili ufanane na mji lazima uwe nasty
Hebu jaribu kufanya utafiti wako half utaniambia..humo nilimobold umenikosha sana
ungekuwa jirani ningekuagizia tots za tequilla!

Usitaje TEQUILA, nitakujae hapo kwenu na mamsap kugonga mlango!!! Na hii KODI MPYA Ilivozipandisha bei!!!! LOL! Lazima tuhame MUJINI!!!!
 
Unajua nini?...kwa bongo ukiwa mlevi lazima ujitoe ufahamu
Manake juzi nimeulizia bei ya muuaji wa Kanumba (Jack Daniels)..lol
Ndio tutafanyaje na tushakuwa addicted..usihofu najua wapi ntakupata..
Ngoja International games ziishe..hapo najua ntakutia machoni tu na teqilla zako ntakugaia!
Usitaje TEQUILA, nitakujae hapo kwenu na mamsap kugonga mlango!!! Na hii KODI MPYA Ilivozipandisha bei!!!! LOL! Lazima tuhame MUJINI!!!!
 
Kuna kitu kinaitwa Dress Code!!!! Ukiweza kuimaster hiiii BAAAAAAASSS!!!! Kuvaa kuendana na TUKIO!!! Kama Disco mwendo wa Hot Pants, Kazini mwendo wa Pencil skirts kwa mishati, Church mwendo wa vigauni!!! It aint that hard, ni ushamba tuuu! Mi sipendi kukukosea Dress Code, unaoneka WAKUJA kinoma!!! Kunasiku nilialikwa Harusi, sasa huyo shosti, tulikuwa wote pale kino, sikumuona kitambo, kumbe keshatoka kimaisha mi sina habari. Alivonialika Harusi yake mkoani, nikajua kule mambo ya KUSHONA VITAMBAA TU! Wacha nishone kwa fundi Juma, tena nikamwambia hiyo mkoa usirembe sana nisije geuka CENTRE OF ATTENTION!!! Kufika kuleeeee! NI NOMAAAAAAA! Watu WAMETOKAAA BALAAAA! Nilirudije kuvua mshono na kupiga za KISELA!!!! Walionistukia potelea pote! Japo sikufikia viwango!! LOL!

Nimekoma sikuhizi lazima niulize MWAVAAAJE WENZANGU!

fundi juma wa hapa sinza nini? duh inawezekana huwa tunakutanaga kwako lol!
 
SnowBall hivi wafikir kwanini sare za shule ziliwekwa? istoria ya uvaa sare za shule ilianza huko ulaya ambapo ilitakiwa mwanafunzi avae sare ili atambulike na hii ikawekwa kuwa sheria kabisa na hata chuo kikuuu cha kwanza cha bolognia kilikuwa na sare.
lleo hii magari ya wanafunzi yaani school buses zote zinatakiwa ziwe na yellow color ili kuyatambua so vazi ni kiambulisho ukimkuta mtu kavaa nasty kazin basi ujue anawakilisha kazi nyingine ambayo nyie hamuijui
 
Last edited by a moderator:
Mavazi bana tukatae tukubali yanaportlay some of our hidden characters..
Ila kwa wenzangu na mimi ambao hatupitwi ndio hivyo..bila hata kujua cirumstances tunajivalia tu!
I stand to believe that wavaao nusu uchi wana lao jambo..sio bure!
SnowBall hivi wafikir kwanini sare za shule ziliwekwa? istoria ya uvaa sare za shule ilianza huko ulaya ambapo ilitakiwa mwanafunzi avae sare ili atambulike na hii ikawekwa kuwa sheria kabisa na hata chuo kikuuu cha kwanza cha bolognia kilikuwa na sare.
lleo hii magari ya wanafunzi yaani school buses zote zinatakiwa ziwe na yellow color ili kuyatambua so vazi ni kiambulisho ukimkuta mtu kavaa nasty kazin basi ujue anawakilisha kazi nyingine ambayo nyie hamuijui
 
Unaweza kumkataa undugu sio??...tehtehe
Manake unaambiwa kuna mgeni wako kufika unakuta kitovu kiko nje..lol
ndugu zangu wananijua haswa, wakija kwa ofisi yangu wanajua wavae vipi. sina shida kama umevaa mavazi yako tukakutana beach au disco, but ofisini kwangu no way.
 
halafu avae nasty basi atoke kwenye usafiri wake
aende kwenye shughuli zake binafsi
so yupo stendi ya daladala unamtzama unashindwa kujua
kama mtoto wa kiume amevaa blauzi au tshirt lol
si mpaka awe na huo usafiri? yaani wanabore sana hao ndugu.
mimi najiulizaga mbona hata wanamuziki wa kiume wanavaa vizuri tu, ukiwa wa kike ni lazima uvae uchi? unatangaza nini? au ndo dress code ya wanamuziki wadada? nampenda sana Yvone chakachaka, tangu nimemwona akiwa kijana mpaka anazeeka anavaa decent, hata anapokuwa jukwaani, na watu bado wanapenda muziki wake vile vile
 
Kuna hotuba fulani ya JKN aliwahi kusema watanzania tuna kawaida ya kuiga mabaya na kuacha mazuri....watch out!

si mpaka awe na huo usafiri? yaani wanabore sana hao ndugu.
mimi najiulizaga mbona hata wanamuziki wa kiume wanavaa vizuri tu, ukiwa wa kike ni lazima uvae uchi? unatangaza nini? au ndo dress code ya wanamuziki wadada? nampenda sana Yvone chakachaka, tangu nimemwona akiwa kijana mpaka anazeeka anavaa decent, hata anapokuwa jukwaani, na watu bado wanapenda muziki wake vile vile
 
Mimi sina shida na mavazi ya mtu mradi kapendeza na mwili unamruhusu.

Kuna mdada tunafanya nae kazi anajifanya yeye fashion police. Ukimuangalia ni kwa kuwa hata avaaje hapendezi. Ndo maana nimeguna. Tena wengi wenye midomo na mavazi ya watu ni wanawake which is strange...maana unajiuliza ni wivu au...mwanamke kwa mwanamke inakuwaje una mind vazi la mwenzio...anakukwaza kivipi, if she does?

Mavazi ni umri, umbo mazoea etc.

As long as you are confident, do it baby...

Kwani kutakwa ni issue...unless hujuhi matumizi ya neno 'no'..
 
Unajua kuna kupendeza na kuna kuwa kituko..na siku zote watu tungependa tunapovaa tupendeze!!
Sasa kama hata wewe huna amani la vazi lako umelivalia nini?
Naweza kupinga hapo uliposema wanawake ndio mnashadadia ukosoaji..no.
Yaani ukitaka kujua moto pita Kariakoo na kisketi chako cha **** wazi..utaniambia

Sitaki kuongelea kariakoo wala saikolojia ya makundi...kwani hata hao wa kariakoo ukitaka kujua jinsi gani wako bias shuka kwenye vogue na mini uone kama wataongea.

Naongelea maofisini ambako mtu kaamua kutoka chicha afu mtu mwingine tena wala si HR anaanza kujifanya evaluator.
Na nakwambia mimi kuna dada namjua kila ukivaa lazima a comment. Ila tushamjua tukiona ana comment tunajua hapo tumetoka chicha kwani ana wivu.

Mtu unavaa mini kwa kuwa unajua uko kwenye gari ukishuka ofisini...unashangaa wanaume wanamwambia alovaa min you look good; wanawake wenzie wamefura kusema amekuja kuwapora waume zao.

As long as you feel good wear it.

Mimi nimevaa sana mini and was the most expensive chick. hata wa kunitokea lazima aji evaluate kwanza. Watu hawamtongozi mtu sababu ya mini...kuna mengi including kumjua kuwa ni mama huruma.

Wewe snowball ukiona mini tu unatongoza??? Hata kama humjuhi mtu? You can wear min and still look very expensive than alovaa gauni la mbuluzo.

Mimi hiki kitu kimekuwa kinanishangaza sana.

Unajua kuna kupendeza na kuna kuwa kituko..na siku zote watu tungependa tunapovaa tupendeze!!
Sasa kama hata wewe huna amani la vazi lako umelivalia nini?
Naweza kupinga hapo uliposema wanawake ndio mnashadadia ukosoaji..no.
Yaani ukitaka kujua moto pita Kariakoo na kisketi chako cha **** wazi..utaniambia
 
Mimi sifanyi kazi europe nafanya kazi Dar na mini nimeanza kuvaa toka nikiwa teenager...sijawahi pata shida yeyote.

Labda waloanza kuvaa ukubwani wanakosa hata stepu za kuchanganyia miguu. Ndio maana nasema what matters ni attitude.

Hakuna uhusiano wowote kati ya mini na u CD. Mama yangu mwenyewe alivaa mini miaka ya 60s. Ndio maana na ukali wote hakuwahi ku comment on mavazi tunayovaa ilihali kuna wanaokataza watoto kuvaa suruali na kuletewa mimba majumbani.

hayo ni rahisi huko Europe
kwa bongo bado saana
ukivaa ki cd watu watakunyooshea vidole tu
 
Aisee, dressing ya watoto wa siku hizi kiboko. Ukute katoto kenyewe kana afya hivi, vipaja na vikalio vinaonekana vilipo! Unaona huruma na kuhofia wenye tamaa kuzidi za kuku. Halafu mbele za watu, kitoto kinajiachia ovyo na hakisemwi!
he he he, nitakutafuta siku nikiliona moja nikuoneshe.

Lakini pia kuna kizazi tutakilaumu bure, ndio tunawakuza hivyo.

Unakuta mzazi anakavalisha kabinti vikaptura vya kufunika mtari wa ta.ko kidogo tu na ka kitovu nje, mtu wa aina hii atajifunzia wapi kuvaa baibui??
 
Hivi wewe

Itabidi nitafute ubini wako

Isije kuwa kuna mahali tumeshare mjomba au mwenyekiti wa kijiji, inakuwaje unaigilizia mawazo yangu?

Aisee, dressing ya watoto wa siku hizi kiboko. Ukute katoto kenyewe kana afya hivi, vipaja na vikalio vinaonekana vilipo! Unaona huruma na kuhofia wenye tamaa kuzidi za kuku. Halafu mbele za watu, kitoto kinajiachia ovyo na hakisemwi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom