'Sometimes the Cover Can Judge the Book'..ryte???

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Usemi wenyewe unasema 'Dont judge the book by its cover'..actually unaweza sometimes kuwa una maana iliyokusudiwa!..but believe me the viceversa might also be true..najua mtabisha!!..Any way ni hivi..'Niko na mdada flani hapa kibaruani kwetu kwa kweli anatupia pamba za ajabu sana..yaani kama ni sketi ni ile fupi sana..na kwa sababu ni kampuni ya watasha hakunaga mambo ya dressing code na maisha yanaendelea kama kawa japo maumivu tunayasikilizia...

Sasa juzi huyu mdada alikuwa analalamika 'ooh wanaume malaya sana..yaani wananitongoza kila siku na wengine hadi waume za watu'..nikamuuliza kwa nini..akasema ..'sijui..labda ni tabia mbaya zao tu'..nikamwambia labda kwa vile unavyovaa nasty ndio wanakuchukulia poa kwamba na wewe ni style cha chips funga..akang'aka sana..na akasema 'wajinga tu hao..why should they judge a book by its cover'??..nikacheka tu nikamuacha!

Sasa katika kutafakari nikajiuliza maswali haya..
1.Hivi ukienda Jolly au pale Ohio wale ndugu zetu wa upande ule utawatambuaje?
2.Hivi ukienda hospitali wale jamaa wanaogoma kila siku utawatambuaje??
3. Hivi ukienda parokiani wale ndugu zetu ambao wameamua kidude kisitumike utawatambuaje??
4.Hivi ukienda kwenye show za fiesta wale jamaa wabana pua na ubongo wa fleva utawatambuaje??

Tuwe makini jamani na haya mavazi...kama hatumaanishi kwa nini tusitupie pamba decent??????
 
The Boss unajua tumejisahau sana kwenye hii category
Sio wanaume sio wanawake..yaani tumekuwa watu wa kuiga sana
Na hata hao tunawaoiga nao wanajua nini wavae wapi na nini wasivae wapi..
Hebu waangalie wachezaji wetu wa mpira ..halaf waangalie na wale wa majuu..lol
Mtu anaenda kuonana na presidaa katupia jeans ya matakoni..aibu!
kuna mtu alisema
ukiibiwa barabarani utamkimbilia polisi akusaidie
why?
atakuwa amevaa kama polisi...

huwezi mkimbilia mtu amevaa kama polisi halafu akwambie dah...
haya ni mavazi tu...mi nauza genge lol..
 
Last edited by a moderator:
Hebu jaribu kuongea nao kuhusu mavazi yao..
Watakubishia mpaka baasi
ofu kozi, ndio umejua leo hii??

Kwani uswazi mashangingi si tunawajua kwa kuwatizama tu, japo si kila mara tunakuwa sawa.
 
The Boss unajua tumejisahau sana kwenye hii category
Sio wanaume sio wanawake..yaani tumekuwa watu wa kuiga sana
Na hata hao tunawaoiga nao wanajua nini wavae wapi na nini wasivae wapi..
Hebu waangalie wachezaji wetu wa mpira ..halaf waangalie na wale wa majuu..lol
Mtu anaenda kuonana na presidaa katupia jeans ya matakoni..aibu!

mimi huwa kila siku nasema
kwenye kuvaa,bora uvae kishamba but decent
kuliko utoke kimjini kumbe kituko lol
 
Ni kweli kabisa ..yaani unakuta mtu katupia kiasi ambacho wewe unayeongozana naye ndo unaona aibu
Kuna siku nilikuwa naongea na Ray C..yule msanii wa kike sijui hata yuko wapi..Akaniambia yeye kama msanii hata akivaa nasty anajuayuko kazini..sasa hawa wenzangu na mie kisa kaona kivazi shida...
mimi huwa kila siku nasema
kwenye kuvaa,bora uvae kishamba but decent
kuliko utoke kimjini kumbe kituko lol
 
watu wanaleta ujinga tuu hasa hao wadada u will be judged by the clothes u wear...so if u feel its sexy then be prepared kutongozwa.
alafu ndio dawa yao hao full kuwatongoza
 
Umeonaeeeh!
Yaani unakuta mdada kaacha nyonyo zote nje..lol
Skirt hata kukaa hawezi..ukiwa naye jirani akikuomba gazeti unadhani mwenzio anataka kusoma.wapi?
Kumbe anaziba K watu wasiikodolee mimacho!
watu wanaleta ujinga tuu hasa hao wadada u will be judged by the clothes u wear...so if u feel its sexy then be prepared kutongozwa.
alafu ndio dawa yao hao full kuwatongoza
 
tatizo snowbataki hawa dada zetu hawataki kufanya yao wanakimbilia ya wenzao wakidhani ndio ujanja...........
 
Last edited by a moderator:
The Boss unajua tumejisahau sana kwenye hii category
Sio wanaume sio wanawake..yaani tumekuwa watu wa kuiga sana
Na hata hao tunawaoiga nao wanajua nini wavae wapi na nini wasivae wapi..
Hebu waangalie wachezaji wetu wa mpira ..halaf waangalie na wale wa majuu..lol
Mtu anaenda kuonana na presidaa katupia jeans ya matakoni..aibu!
kuna siku nilisema, bongo, hasa dar, watu wengi hawajui vazi lipi wavae wapi................. yaani ni michanganyiko tu. mtu nguo ya disco anavaa ofisini, yaani ni shida tupu. kuna watu wananijuaga wakiniona tu wanakimbia maana nitawaambia exactly nguo waliyovaa inatakiwa ivaliwe wapi
 
Unawachukuliaje na hawa watu wazima wanaovaa kata K? ..manake wadada twaweza sema labda ni watu wa kuiga sana!
Tena nasikia kuna watoto wa kiume wengine siku hzi wanavaa skin jeans..lol!
tatizo snowbataki hawa dada zetu hawataki kufanya yao wanakimbilia ya wenzao wakidhani ndio ujanja...........
 
Ni kweli kabisa ..yaani unakuta mtu katupia kiasi ambacho wewe unayeongozana naye ndo unaona aibu
Kuna siku nilikuwa naongea na Ray C..yule msanii wa kike sijui hata yuko wapi..Akaniambia yeye kama msanii hata akivaa nasty anajuayuko kazini..sasa hawa wenzangu na mie kisa kaona kivazi shida...
hata huyo msanii anatakiwa avae nasty akiwa kazini, siyo unakuja kunisalimu ofisini kwangu au unaenda church umevaa nasty kisa usanii...................... no way
 
Bora umekuja na wewe dada wa pacha wangu!
Yaani wanakera si kidogo..Kama alivosema The Boss bora utupie za kizamani but decent kuliko kutupia utumbo kisa eti wewe mtoto wa jiji..lol..by the way hivi kuna mavazi kabla na baada ya kuolewa??
kuna siku nilisema, bongo, hasa dar, watu wengi hawajui vazi lipi wavae wapi................. yaani ni michanganyiko tu. mtu nguo ya disco anavaa ofisini, yaani ni shida tupu. kuna watu wananijuaga wakiniona tu wanakimbia maana nitawaambia exactly nguo waliyovaa inatakiwa ivaliwe wapi
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kumkataa undugu sio??...tehtehe
Manake unaambiwa kuna mgeni wako kufika unakuta kitovu kiko nje..lol
hata huyo msanii anatakiwa avae nasty akiwa kazini, siyo unakuja kunisalimu ofisini kwangu au unaenda church umevaa nasty kisa usanii...................... no way
 
hata huyo msanii anatakiwa avae nasty akiwa kazini, siyo unakuja kunisalimu ofisini kwangu au unaenda church umevaa nasty kisa usanii...................... no way

halafu avae nasty basi atoke kwenye usafiri wake
aende kwenye shughuli zake binafsi
so yupo stendi ya daladala unamtzama unashindwa kujua
kama mtoto wa kiume amevaa blauzi au tshirt lol
 
he he he, nitakutafuta siku nikiliona moja nikuoneshe.

Lakini pia kuna kizazi tutakilaumu bure, ndio tunawakuza hivyo.

Unakuta mzazi anakavalisha kabinti vikaptura vya kufunika mtari wa ta.ko kidogo tu na ka kitovu nje, mtu wa aina hii atajifunzia wapi kuvaa baibui??

Hebu jaribu kuongea nao kuhusu mavazi yao..
Watakubishia mpaka baasi
 
Eeheeh naunga hoja kwa asilimia zote,ukivaa mavazi ya heshima hata uende ohio hakuna atakae kufuata hahah

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Naunga mguu hoja..manake 'cherish starts at home'
Mengine tunayataka wenyewe..nilienda kwa mdogo wangu nikakuta mtoto wa miaka3 katiwa curl..lol
he he he, nitakutafuta siku nikiliona moja nikuoneshe.

Lakini pia kuna kizazi tutakilaumu bure, ndio tunawakuza hivyo.

Unakuta mzazi anakavalisha kabinti vikaptura vya kufunika mtari wa ta.ko kidogo tu na ka kitovu nje, mtu wa aina hii atajifunzia wapi kuvaa baibui??
 
Kuna kitu kinaitwa Dress Code!!!! Ukiweza kuimaster hiiii BAAAAAAASSS!!!! Kuvaa kuendana na TUKIO!!! Kama Disco mwendo wa Hot Pants, Kazini mwendo wa Pencil skirts kwa mishati, Church mwendo wa vigauni!!! It aint that hard, ni ushamba tuuu! Mi sipendi kukukosea Dress Code, unaoneka WAKUJA kinoma!!! Kunasiku nilialikwa Harusi, sasa huyo shosti, tulikuwa wote pale kino, sikumuona kitambo, kumbe keshatoka kimaisha mi sina habari. Alivonialika Harusi yake mkoani, nikajua kule mambo ya KUSHONA VITAMBAA TU! Wacha nishone kwa fundi Juma, tena nikamwambia hiyo mkoa usirembe sana nisije geuka CENTRE OF ATTENTION!!! Kufika kuleeeee! NI NOMAAAAAAA! Watu WAMETOKAAA BALAAAA! Nilirudije kuvua mshono na kupiga za KISELA!!!! Walionistukia potelea pote! Japo sikufikia viwango!! LOL! Nimekoma sikuhizi lazima niulize MWAVAAAJE WENZANGU!
 
Back
Top Bottom