Sometimes Jamii Forums Siielewi (Bugs)

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
658
686
Hizi ni Bugs ambazo Nakutana nazo Mara kwa Mara ...Angalia Hio picha kwenye Dp upande wa Replies Juu inaonyesha Vingine na Chini Inaonyesha Vingine Wakat Picha Halisi ya Dp niya upande wa Chini sa nashindwa kuelewa .

vp Nawewe unakutana na Bugs Gan ndani Ya Jf Funguka wahusika Washughulikie
_20190303_141632.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom