Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
- wahaya hawana kazi za shurba...ndio maana hata umtoe kijijini anakuwa laini...
- kuna aunt yangu alikuja toka bush...ana mng'ao kusema kakulia town...hakuna cha mtoto wa kike kuchunga wala kulisha ng'ombe...hata kilimo ni cha palizi tu sababu ndizi ukipanda umepanda...mikoa mingine mwanamke analima zaidi ya trekta..what do you expect...?
Na wale wa buku buku Buguruni, Mwananyamala nk wapo kundi lipi?
Nasikia huwa wanaoneana huruma ndugu kwa ndugu, eti ndugu yake apate tabu na yeye yupo. Ni kweli?
hakuna mwanamke bora kama mwenye umbo na sura mbaya....wengi wa wenye visura vizuri na maumbile mazuri, kuwaoa ni kujitafutia maradhi ya magunjwa yasiyoambukiza na vurugu ndani ya nyumba....labda kama ni kuchepukia tu.
Pamoja na kwamba kuna ukweli ila kama ni mume wako anatamka haya mbele yako utajisikiaje nisaidieni MankaM embu njoo nisaidie tinna cute Preta KOKUTONA wifi zangu nsadieni mchagga mie sina mume hapa
Binti wa kihaya kuzalia nyumbani ni dhambi kubwa ndio maana wengine hamuelewi mnadhani wanashusha au wanatumia madawa...
Mama wa Kihaya kitu anachokazia kwa binti yake ni kutokuiaibisha familia kwa kuzalia nyumbani...si uchawi ni malezi...
Na ikitokea ukazalia home lazima utimuliwe..na hii inakuwa lesson kwa wadogo zako au hata majirani kama ni kijijini...
Same kwa watoto wa kiume... ni kichekesho kuoa binti aliye na mtoto unless ni second wife...ni mambo ya mila tu jameni...
Kuna mambi huwa yanaletwa hapa hamvini hata huwa sijui wenzangu mnayapata wapi! Mimi nimeishi kikazi ktk mkoa wa kagera kwa takriban 7yrs. Hiki mleta post unachotaka kutuaminisha mimi sijawi kiona. Huko wapo wazuri na wabaya pia wapo. Nimekwenda hadi wilaya ya karagwe ambako ndiko maumbo ya kinyarwanda yanakopatikana, but still kuna ambao huwezi tazama mara mbili. Mtazamo wangu, uzuri wa mwanamke ni wewe mwenyewe, ndo maana hata wenye sura ngumu wanaolewa....!
wakati unamuoa hukujua?
ha ha ha..ngoja apaone..
huyo mke wake
wangoni ni usoni tu...