Something From Nothing

Something From Nothing

Naufananisha Uumbaji wa MUNGU(kama yupo),na mfano huu ambao kwangu ni fumbo na halijapata jibu la kuridhisha.Please mfano huu hauna maana mbaya wala tafsiri yoyote mbaya ni mawazo yangu binafsi tu.
Twende sasa.................

Wote mnaijua Computer,na Virus pia mnajua maana yake.
Em tuanzie hapo,nitatumia mifano hiyo,MWANADAM,COMPUTER na VIRUS
MUNGU,(kama yupo),amemuumba
MWANADAM (Computer ),ambayo alitaka imfanyie kile alichoiagiza kufanya na imtii kwa kila alisemalo, na daima Computer hii ifuate maagizo yake.

Lakni kwa upande mwingine pia MUNGU(kama yupo),aliumba SHETANI(kama yupo)(VIRUS).virus hiz ni maalum kwa kuharibu System ya Computer na kufanya isiweze kufanya kaz vizur.Virus hawa huingia katika Computer na kufanya mwenendo wa utendaji wa Computer kuwa mbaya na mbovu.Virus huyu husababisha Computer isiweze kufanya kile ambacho ilikusudiwa kufanya kwa umakini.
Imefikia wakati sasa aliyeitengeneza Computer,kaingia vitani na kifaa chake mwenyewe alichokitengeza (Virus ),na kukilaumu kwamba kinamuharibia COMPUTER yake et kwa kuwa kinaisababisha kufanya yale asiyoyataka.Lakini kbuka Fundi alijua kabisa kabla kwamba Computer yake itahatibiwa na kifaa hicho(Virus ).
Computer (mwanadam),anaonywa na mtengenez wake kwamba asifuate yale ambayo pacha wake VIRUS,anataka bali Computer ifuate yale ambayo mtengenez anasema ifuate.
Computer (Mwanadam) inabaki njia panda kwa kuwa sasa mtengenezi wake anashindana na kifaa chake mwenyewe kuigombania Computer.Kila upande kuvutia kwake na kuulaum ipande mwingine.

Maswali mazito ambayo Computer(binadam)inajiuliza ni 1.Je kulikuwa na Umuhimu gani wa kutengeneza Virus(shetani),na kuiweka pamoja na Computer(mwanadam)


2.Iweje fundi ashindwe kuisambaratisha Virus(shetani ) anaona haina faida zaidi ya kumuharibia Computer(mwanadam) yake??.

3.Kwa nini Fundi,anaahidi kuichukulia hatua kali Computer(mwanadam) baadae,et kwa sababu haikufanya kile alichotaka??,je nikwel kwamba hakujua kwamba virus itaharibu Computer System ??

NB.,,ni mawazo huru tu,unaruhusiwa kukosoa ama chochote.


Mkuu kiukweli maswali yako nadhani unaweza jijibu mwenyewe maana hayana kichwa wala miguu.

Ukijua kisa cha shetani kuwa hapa alipo hautakuwa na haja ya kuuliza haya maana majibu yapo apo yote.

Pia utapata sababu kwann Mungu ameamua kumuacha huyo virus unaemsema ww, kimsingi maswali yako mengi ni matokea ya kuamua kuwa closed mind, soma bible yote.


Pia nakumbuka kuna siku ulinambia nisome bandiko lako hili, nilijua kuna concise explanation saana,lakin naona kama twisting tu.

Embu nambie ninani ambae anaratibu evolution, kwa maana kwamba huja kusema kwamba hiki kimebadilika from hapa mpka hapa sasa.

Usinambie habari za Muda,maana kama wangekuwa na akili wangeeza weka institution itayosaidia kutuelimisha haya.

EMBU SOMA HAYA MANENO YAKO ALAFU NIELEZEE


"Katika nyanja ya Evolution,ina
maanisha ni jinsi gani unaweza
kupata Immense complexity and
diversity and beuty and elegance of
life,na zaidi ya hapo,inaonesha ni
jinsi gani unaweza kupata Powerful
Illusion of design ambayo uhai
unaonesha,ambayo ninaweza sema
sio kutoka katika HAKUNA(nothing),
(not quiet from nothing)ila kutoka
katika Extreme Simplicity."


Hii extreme simplicity ndo nini hasa, labda inaendelea kufanya kazi wapi tena.

Alafu vip sayari zingine evolution yao inamwelekeo gani hasa!
 
Free ideas
MUNGU NI NINI AU NANI?
kama humjui unataka ushahidi gani uhakikishe?
we ni nani umpangie cha kufanya na kutokufanya,this is your Own curse,waliofikiri deep they understood and knew GOD

mungu ni Idea aliyoianzisha mwanadamu katika harakati zake za kutaka kujua mwanzo na asili yake
 
Last edited by a moderator:
mungu ni Idea aliyoianzisha mwanadamu katika harakati zake za kutaka kujua mwanzo na asili yake

Wewe utakuwa ni miungoni mwa wakubwa ambao wakiwa watoto akili zilidumaa..
Andishi llako lirejee tena kupinga haya.
mungu no idea aliyoianzisha mwanadamu...kujua mwanzo na asili yake.
Matokeo ya kuhitimisha kwa kutumua "intuition" yako pasipo kuangalia reflection kuhusu hitimisho.
mungu ni idea ???!!! Kila idea atayoianzisha mwanadam kutafuata mwanzo na asili yake ndiyo mungu kwako.
 
Wewe utakuwa ni miungoni mwa wakubwa ambao wakiwa watoto akili zilidumaa..
Andishi llako lirejee tena kupinga haya.
mungu no idea aliyoianzisha mwanadamu...kujua mwanzo na asili yake.
Matokeo ya kuhitimisha kwa kutumua "intuition" yako pasipo kuangalia reflection kuhusu hitimisho.
mungu ni idea ???!!! Kila idea atayoianzisha mwanadam kutafuata mwanzo na asili yake ndiyo mungu kwako.

Wewe ni moja ya watu wasiojua kujadili hoja kwa ustaarabu humu jf
 
Hivi wakuu, dola ya urumi isingeamua kuchanganya dini na utawala leo kungekua na dini ipi na pia wasingekuja wakoloni huku Afrika tungekua na dini gani leo?

Me sikubaliani na wasiopinga Mungu ila naona kuna maelezo ya msingi hayakuwekwa vya kutosha kwny vitabu vyetu vya Koran na Biblia.
 
Hivi wakuu, dola ya urumi isingeamua kuchanganya dini na utawala leo kungekua na dini ipi na pia wasingekuja wakoloni huku Afrika tungekua na dini gani leo?

Me sikubaliani na wasiopinga Mungu ila naona kuna maelezo ya msingi hayakuwekwa vya kutosha kwny vitabu vyetu vya Koran na Biblia.

"Dini ni Ulaghai wa kizamani unaopitwa na wakati"

Take this,"god and religion will remain as wishful thinking"
 
Again, you do not know what a theory is.

A theory explains a fact. Most theories are not assumptions, they are a tested and living bodies of knowledge that explain facts. For example, gravity is a fact. The theory of gravity explains gravity.

Without the knowledge of the theory of gravity and the theory of electromagnetism, we would not have cell phones, airplanes, satellites, the space station, electricity-as we know it-, cars, trains, etc.

Without understanding germ theory, we would not have vaccines, and all the treatments used in modern medicine.

Without the quantum theory we would not have the computers and the internet you are harping on.

You really ought to understand these concepts you are so eager to bash.
Theory is not a Fact dont mess up two different things Theories and Laws
..Theory can be corrected while law is not Simply Laws express something about nature while theory predict something to archive a law
 
Free Ideas, Kuna mambo mengi sana ninyi wanasayansi hamuwezi kuyafafanua kinaga ubwaga, kwa mfano; Mimi nimeshuhudia wazee wakiomba mvua kwa kuchinja Mbuzi na Ng'ombe sehemu moja inaitwa Mseseweni Kinyamvuo wilaya ya Moshi Vijijini... mvua ilinyesha from nowhere kwa mfululizo hadi wazee walipoenda kuomba tena kuwa imetosha!!! Tumeshuhudia mara nyingi Wild Fire wengine wanaita Bush fires zikiwatesa mataifa makubwa na kuwaletea madhara makubwa ya ajabu, tumeshuhudia Hurricanes, Tsunami na Tornado zikileta madhara kwenye nchi ambazo wanadai wanaweza kutabiri kisayansi... tunaona vomondo vikiruka angani! Tunaona jinsi ambavyo watu wanaponywa kwa maombi pekee! tulishuhudia hapa Maradona alipewa siku chache tu za kuishi lakini hadi leo anadunda kama kawaida! Haile Selasie aliamuru upepo usafishe anga iliyonyunyiziwa sumu na Wataliano... Kwanini mpaka sasa hamjaweza kutengeneza uhai wa viumbe? kwanini mpaka sasa mnashindwa kutembelea sayari nyinginezo? Formation of Galaxies ikoje? Ilikuwaje kukawa na anga yenye layers amapo kila layer inakazi yake mahsusi?... Itoshe kusema kuwa yote ni kazi ya Creator/MUNGU ... yenye ndiye mmiliki wa kila kitu katika dunia hii na kesho akhera ...Kwa mwenye akili lazima atajua tu kuwa Hakuna Mwanasayansi mwenye uwezo wa kugeuza usiku kuwa mchana ... hakuna wa kuweza kugeuza dunia izunguke atakavyo...Only Allah S.W.T ndiyo muweza wa yote ...
Haya mambo unayojaribu kueleza Hapa science imeshafafanua baadhi kwa kina tu nafikiri ni uvivu wako wa kusoma lakin pia tuelewe sayansi sio static kama vitabu vya baadhi ya dini hii ni Dynamic kila siku panakuwa na Research na maarifa mapya yanaandikwa
 
Ukiona miti mitatu ya aina moja ikiwa Kwenye mstari ulionyooka na ikiwa na umbali sawa ujue kulikuwa na mpandaji
 
Atheism is also a religion because no man with right mind can agree that the universe came from nothing.
They just believe that.one of the most complicated organs in human body its the eye and how that could just pop up out of nowhere???
 
Hi!,wanajamvi. Swali hilo juu huwa ni moja ya maswali magumu ambayo wengi huwa wanabaki njia panda,hasa linapokuja swala la kufafanua,,IWEJE TUPATE KITU PASIPO KITU?(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi),yaan how can we get something from nothing?,

Watu wengi hasa wenzetu WANAOAMINI katika dini na MUNGU/MIUNGU huwa hawatuelewi kabisa kuhusu hili.
Nitajaribu leo kufafanua kwa kina(kadri nijuavyo mimi) kwa faida ya wengi,kuhusu,KUAPATA KITU PASIPO KITU.(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi). Karibuni....

Katika nyanja ya Evolution,ina maanisha ni jinsi gani unaweza kupata Immense complexity and diversity and beuty and elegance of life,na zaidi ya hapo,inaonesha ni jinsi gani unaweza kupata Powerful Illusion of design ambayo uhai unaonesha,ambayo ninaweza sema sio kutoka katika HAKUNA(nothing),(not quiet from nothing)ila kutoka katika Extreme Simplicity.

Kabla ya Darwin kufanya utafiti uliopelekea kila kitu kuwa wazi,ilikuwa ni vigumu sana kuamini/kueleza jinsi gani unapata/kuna Vitu kama Ubongo,macho,miguu,mabawa ya ndege,n.k.Ilikuwa n ngumu sana kujua vipi unaweza kupata vitu vilivyo vizur machoni na vyenye mpangilio maalumu vinavoonekana kama vimepangwa(designed).

Darwin alitoa confidence na kuonesha kuwa kinachoonekana ni ugumu wa ufahamu wa kupata kitu pasipo kitu,alisove na waliofuata pia walikuw wakiendeleza kazi yake tangu kipindi kile.

@@@@But what is NOTHING,and how can we have something from Nothing...

Ni kwel kabisa,kwamba The Universal came from nothing due to what we know about the Universal up to this time,here is the proof of my above Arguments.

""Nothing is UNSTABLE,that empty space is UNSTABLE,Laws of mechanics combined with GRAVITY will tell you that,if you have Empty space there and you wait for the long enough,particles will be CREATED,and if you wait more enough,empty space will allways produce a UNIVERSAL full og MATTERS,
So NOTHING is unstable (sijui kama naeleweka hapa).

The case here is NOTHING (Empty space),creating something (Universal /Earth).
But ist the empty space nnothing(wengi mtasema no ),Lakini ngoja nikuoneshe pia kwamba EMPTY SPACE nayo inaweza ikawa product ya nothing,na hapo nadhan hakuta kuwa na swali tena.

Hapa nakuja katika laws za kifizikia,ama NATURAL FUNDAMENTAL LAWZ,
Ambzo zinaelezea kiundani jinsi ambavo kanuni na misingi ya kuwepo hewa tupu,space na mazingira ya utokeaji wa kila kitu kinachohitajika kufanyika kwa kitu husika(sina haja ya kuchima sna ntapoteza maana ya uzi,waweza uliza katika mjadala na nitajibu.),@@@@


Nothing niimanishayo katika upande wa Evolution sio,Completely nothing,lakini ni kutoka katika resonable complicated beginning ambayo ilikuwa ni first self replication molecule(maana completely nothing imesha tengenza UNIVERSAL na sasa ni evolution .).

Lakini tukumbuke kwamba Natural selection haiwezi kwenda kama hakuna genetics.,na hilo ndo tatizo ambalo halijasoviwa.Namaanisha hadi sasa hakuna anayejua Genetics zilivoanza.Lakini tunajua kwamba Kanuni za chemistry lazima zianzishe self replicating molecules,Kisha EVOLUTION inatake place.

Na kuanzia hapo sasa,aina zote za diversity na viumbe kama mimi na wewe ndo tukawa into existence,lakini haya yote lazima yaanze na GENETICS,hapo mapungufu ya chemistry yanaonekana,lakini kabla hatujailaumu chemistry kwa kukosa ufumbuzi wa genetics inabidi tuanze na physics !

Uhai katika dunia ulianza miaka 3.5bilion ilopita,katika kipindi cha Cambrian explosion.
Katika mika 4.5bilioni ilopita, ambayo ni kadirio la umri wa dunia, hakukua na bacteria.So katika miaka 3.5bilion ilopita uhai ukaanza taratibu katika dunia kutokana na Nitrogen ,Helium Hydrogen pamoja na hewa nyingine ndogo ambazo zilitokea katika spaces/sky baada ya Explosion.

Baadhi ya watu husema,We don't understand the origin of life on Earth ,so GO,D must done it!(kamba hatuelewi mwanzo wa uhai katika Dunia,kwa hiyo lazima mungu ndo alihusika).SI KWEL,.....


Ninachojua mimi,mapungufu yaliyopo katika Sayansi hayamuumbi Mungu,wala hayasababishi Awepo .,Sayansi inakuwa kila kukicha.Kama ni hivo basi atakuwa ni MUNGU wa mapungufu,(GOD OF GAPS),ambaye anaonekana tu katika few remaining Gaps in our understandings.Nikukumbushe pia kabla ya Darwin na wengine,uhai na uwepo wetu,Miili na jinsi ifanyavyo kaz ,ilikuwa inaonekana kama miracles.Hakuna aliyeweza kusema nini ni nn na kila kitu ilikuw akaz ya mungu.
Amini nakuambia hata mwaka 300AD,watu walikuwa wakiamini vitu kama Tsunami,Floods,Volcanic eruptions,Earthquake n.k ilikuwa kaz ya MUNGU,kama adhabu.Lakini leo vinaelezeka na kutabiriwa na mamlaka za hali ya Hewa na onyo linatolewa . Nachotaka kusema hapa ni kamba sayansi ,,inakuwa,, na itafumbua kila kitu.
,Kwangu mimi huwa naona kama n dalili za udhaifu ninaposikia kauli mfano,,""I DONT UNDERSTAND IT,THEREFORE GOD DID IT"" this is the kind of lazy argument.It doesn't help anything,but it leaves opens, since it doesn't explain even where God came from.

Kitu kikubwa alichofanya Darwin ni kuonesha ama kujuza ni jinsi gani unaweza kupata God like things/complex things (like humani Brain) kutoka katika omni nothing.

Ngoja niongelee kidogo CONCEPT YA EVOLUTION,maana najua ntaulizwa mbona manyani hayabadiliki siku hiz..

Watu wengi wanadhani kwamba EVOLUTION,inaonglea/inahusu manyani/masokwe kumzaa ama kugeuka binadam,!,ni hiv,Miaka kama milioni 25,ilopita Human being(watu) walikuwa""Common Ancestor "",NA MONKEYS ,CHIMPANZEE ,GORILLAZ n.k.Hili ndo jambo gumu watu kuelewa,Kwa kiswahili ni kwamba ,HATUKUWA MANYANI WALA MASOKWE BALI TULISHARE BAADHI YA TABIA ,VITU,UMBO,MWONEKANO n.k.,huwa napata shida sana kuelezea jambo hili.So 25,yearz ago our ancestors might have look like monkey,gorillaz,or chimpanzees.Narudia,tena neno MIGHT HAVE LOOK LIKE,NOT THEY WERE MONKEYS !,hata hivo uchunguz unaonesha tuko na ufanano wa karibu zaidi na CHIMPANZEE kuliko chimpanzee walivo na ufanano na gorillaz ama monkeys.

Je,evolution inaendelea?,hili swali ningelipata bila shaka,jibu ni NDIO,...

Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy .We can see it in Bacteria only too visibly ,because thats y,ant-biological resistance is such a big problem and more immensely important medical problem.Take this ,if the doctors at the time of invention of penicillin which Darwin wishes about them,they would been able to predict that resistance to ant-biotic.refers the book known as,, THE SCIENCE OF DARWINIAN,, MEDICINE .another vivid example of the continuation of Evolution is just look ok history,try to observe the physical appearance of the people live in 14c,15c or even 7century,you may not a lot of differences comparing to us.

Presence of INTELLIGENT DESIGNER ?,

This logic is too low and poor!,
I an prove that there is NO Intelligent designer
1,There is no EVIDENCES ON THAT ARGUMENT
2.BY HIS RESPONSIBILITY.

This person God of tje JUDAISM ,CHRISTIANS,ISLAMS has nothing to do with the God who cares about us.Na katika uwanja wa Sayansi ,tukisema kama mapungufu yaliyopo yahusiane na mungu,hatuta muhusisha mungu nafsi!,,The same God created lawz of physics ?. Na kama katika Sayansi kukihitajika kuwa na Mungu,basi atakuwa DIASTIC GOD,And he is very very different from the Gods of religion ,na huyu ndiye aina ya kitu tunatumia muda kumuelezea.

Intelligence inakuja baada ya muda mwingi baada ya EVOLUTION,starting from nothing as we know and then chemistry takes over,Biology,.

Kwa hiyo katika dunia kunaweza kuwa na Gods like humani being.Nakubali kwamba kunaweza kuwa na life forms than us,ambao tukikutana tutabidi tuwapigie magoti LAKINI WATABAKI KUWA ZAO LA MUENDELEZO(the product of the process ),of evolution devlpmt.they will not be GOD,S In the sense that having created the laws of physics,or tje universal or life!.

Let me end up here,karibun...

Japo unashindwa kutilia maanani ninachoshiriki -- kama ulivyonisema ujuavyo, kwa kutokuona wapi pa kuanza kunifuatilia ili kuelewa -- kutoka kwenye ule uzi "mungu muweza yote", ninakusihi pitia kwa makini ninayowakilisha humu--hata kama hauyaelewi vizuri; ila soma mara tatu.

Imani ni nini?
Nafsi ni kitu gani?
Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

Kwa mfano, humo katika michango ya hizo nyuzi, ninachora picha fulani taratibu, kisha baadaye tupate msingi mzuri wa kurejea kwenye sayansi na mambo mengine.

Tazama kwa mfano nukuu hizi kutoka kwenye michango hiyo:
__________
4 In all the world there are two things; the one is truth; the other falsehood is; and truth is that which is, and falsehood that which seems to be. Kote Ulimwenguni kuna viwili; kimoja ni kweli na kingine usikweli; na kweli ni kile ni ambacho, na kisikweli ni kile kiionekanacho kana kweli 5 Now truth is aught, and has no cause, and yet it is the cause of everything. Sasa kweli si chochote,na haina sababishi, na hapo hapo ni sababu ya kila kitu. 6 Falsehood is naught, and yet it is the manifest of aught. 7 Whatever has been made will be unmade; that which begins must end. Usikweli ni bure tupu, na hapo hapo ni dhahiriko la si chochote. 8 All things that can be seen by human eyes are manifests of aught, are naught, and so must pass away. Kila kitu chenye kuweza kuonekana kwa jicho la mwanadamu ni dhahiriko la si chochote, ni bure tupu na basi hakina budi kupita zake. 9 The things we see are but reflexes just appearing, while the ethers vibrate so and so, and when conditions change they disappear. Vitu tuvionavyo ni tu vitekenyano hisia kutokea, pale ambapo aetha zatetema hivi na vile, na pale hali inapobadilika vyapotea.
________ Izando 22:4-9


Sasa, mapenzi yangu ni kuanza taratibu kurasmisha namna za kisayansi kuelewa hata mafumbo ya maumbo na uzima. Kwa mfano hapo kwenye hiyo nukuu, kuna shauri la moja kwa moja kuaangazia fumbo la kitu kutokea katika kisicho kitu... Walau wanazi wa nadharia kama zile za mashauri ya kifizikia ya kikwantumu huleta namna ya mashauri ya namna kama vile Niel Bohr alivyopata kusema: “Everything we call real is made up of things that cannot be real.”...

Lakini

Wakati humu gumzo lipo kwenye mungu, uweza, maumbiko na tafsiri; katika sayansi na vitendo azma inayofanania na hili ni kama vile kujaribu kung'amua Je, 'nishati' ni kitu gani, umeme ama sumaku ni nini hasa?

Miongozeo yenye kusisimua zaidi ni ile inayosimama mpakani wa yaliyo halisi na yasiyo halisi--kama vile namna ya metafizikia... Kwa hivyo, ni vema kuwa ni mtu mwepesi hata kuona kilicho nyuma ya chochote kile chenye kuonekana kana ni 'mantiki' ama 'kweli ya kiumbo, hali ama mwendo'...

Sasa, mashauri ya kitu kutoka kwenye usikitu ni basi kuanza kujikita kwenye sayansi za aetha...

Sahau kuhusu Mungu; tafakari siri ya viwili -- kutokea hata kwenye sayansi na vitendo vya kileo juu ya 'Nuru' na 'Sauti'...

The FORTY NINE Octaves of Sound and Light

Basi hebu angalia uwezekano wa kutafsiri vilivyomo katika makala kutoka tovuti hiyo ili kuongeza maarifa humu JF.
 
Mkuu Ebu kaa chini usome vizuri origin of the universe sambamba na orogin of our solar system kwanza solar yetu ndo ina miaka 4.5 bill Mimi siko fit sana ktk origin of human being mana the theory kuhusu uhai wa viumbe zipo nyingi sana na hio ya Darwin inamapungufu yake tena makubwa, Naona upotoshaji ktk Mwanzo wa ulimwengu na solar yetu
 
Hg

Ntakujibu usjali, japo huwa najibu kila mara swali hili.,kuwa kuanza nakuwekea hapa moja ya majibu yangu kwa swali lililo fanana na lako kisha waweza uliza wapi hujaelewa, tuko pamoja,haya tiririka yayo hapa,



Ok nakujibu kwa ufupi,
Katika historia,inaonesha watu wa ukanda wa mashariki ya kati na maeneo kama misri,Jordan,kwenda mpaka Ugiriki,Walikuwa watu wa kwanza kuvumbua maandishi na mambo ya kalenda na hata hesabu.

walikuwa na utaalam wa kusoma nyota na unajimu hata vipindi na majira mbalimbali pia.Waliweza pia kutunza kumbukumbu kwa maandishi ambayo pia wao ndo waliyavumbua.Hii ilikuw miaka mingi iliyopita.

kwa hiyo matukio na mambo mbalimbali yaliyofanyika katika jamii zao yaliweza kuandikwa na kuwekwa kama kumbukumbu.masimulizi kutoka kizazi hadi kizazi pia.
Kutokana na kuwepo kwa kumbukumbu sahihi ya maisha ya mababu zao,taifa la izrael linakuwa na kurithi misingi ama maonyo ama mafundisho ya kizazi kilichopita.

Izrael ilikaa utumwani misri miaka kama mia 400,lakini kwa sababu ya kutunzavkumbukumbu,walijua kwamba sio asili ya pale misri.Na katika harakati za kujikomboa na UTUMWA,ndipo watu mbalimbali maarufu na wanamapinduz kama akina MUSA,JOSHUA,ARON na wengine wanawakumbusha waizrael kwamba asili yao sio pale na inabidi warudi nchi ya mababu zao.Katika hili zinatungwa falsafa nyingi kama ilivo kwa marevolutionarist wengine waliopita.,Kwa nchi YA AHADI,NCHI YA MABABU ZETU,NCHI YA ARDHI TAKATIFU,INAYOTIRIRIKA ASALI NA MAZIWA,TAIFA TEULE n.k.Yaan ni kama akina kinjekitile kwamba motto ni ,,,MAJI,,,Ama BACK TO AFRICA MOVEMENT.(hapa watanielewa wale walio na free ideas tu,wengine mtaona nakufuru).

Baada ya muda mrefu musa anafanikiwa kuwarudisha wana wa Izrael katika ardhi ya mababu zao japo yeye hakufika kuyokana na umauti ulomfika wakiwa njiani.,Baada ya wao kufika mambo yanaendelea kamabkawaida lakini kumbuka taifa hili limejengwa kayikabmisingi ya Imani ya kuambiwa nabkusimuliwa.

Idea ya mungu MMOJA inajitokeza pia baada ya kuonekana watu wanatengeneza vinyago nakuviabudu.Viongozi wakaona tuseme kuna mungu mmojabambaye haonekani ili kusiwe na ULINGANIFU KATIKA MIUNGU,MAANA KULIKUWA NA MIUNGU WA SHABA,DHAHABU,ALMASI n.k,na kila mmoja alikuwa anaonekana muhimu hasa kutokana na jinsi alivotengenezwa.So ile kusema kuna mungu. mmoja ilikuwa ni Defensive mechanism ili kuwafanya watu waogope kwa kuwa mungu haonekani.

Katika kuendeleza Imani yao,walizaliwa watu mbalimbali waliokuta jamii ya Izrael inaendelea na utamadun wa kuabudu na kiimani,na kutokama na maandiko ya kiimani na kihistoria na mfumo wa maisha kwa ujumla,mtoto yoyote alitakiwa kujua mafundisho haya na ndicho kilikuwa kinafundishwa mashulen na katika masinagogi.,

Ahadi ya kuzaliwa mkomboz ni inabaki kuwa fumbo tangu enzi za nabii Elias ,Mkomboz anatabiliw akutokna na mateso ya waizrael misri na utumwani kwa ujumla.Laini mkombozi YESU(kama n kwel),anakuja kuzaliwa tayar wakiwa kwao na anazaliwa katika hali wasiyoitarajia.Yesu akasema katoka kwa mungu wakamuua.
kwa hiyo hapa point ni kwamba mitume na manabii walitoka Mashatiki yabkati kutokana na kuw ana kumbukumbu za ahadi walizojiwekewa wenyewe kujifariji kutokana na maisha magumu. na ile kutawaliwa,so kila mtu akawa anakuja na falsafa yake.

Kutokana na kumbukumbu pia Anazaliwa Mohamed ambaye nae anadai ametumwa na Allah kuja kueneza habar njema.Hii pia ni kutokana na historia kwamba wao kama wao(waarabu) ambao kumbukumb zao zinaonesha nivkizazi cha Ismael ama labda ESAU nao wanajikakamua baada ya miaka 600 ya kufa yesu.Mwaka 632,AD,anazaliwa Mohamed kisha baadae anasema Ametokewa na Allah wakati akiwa bonden(pango) na mkewe.Basi anaandika misingi ya maisha nabkupata wafuasi ambao ndo waislam wa leo.Lakini hii yote ni kutaka kuonesha kwamba na sisi tunaweza,ama kwa nn wao tu ama ccje?,ama kutimiza historia amavkujipa moyo maana zamani hakukuwa na kingine cha muhimu sana tofauti na Mambo ya imani na kusoma sheria za vitabu vya mababu kama musa,Ibrahim n.k.Na waliweza kufanikiwa kutokana na ujinga wa watu wa enzi hizo waliokubali ya kuambiwa"",Eti mungu kanitokea nikiwa pangoni kanambia mimi ndo ameniteua niwe mtume wake"",afu pangoni aliwa yeye na hadija mkewe,ushahidi uko wapi??.miaka hii pia kuna wanao sema hayo lakini wanapuuzwa kwa sabau si zama z aujinga na upumbavu hiz.Watu watataka evidences zilizoshiba.Ulishawahi kujiuliza kwa nn mungu hawashukii watu tena siku hizi?.ulishawahi kujiuliz akwa nn Manabii na mitume hawaji tena?.tafakar

Turudi katika historia,Marekani imetawaliwa karibu miaka 400,sawa na Israel,lakini unajua kwa nn marekan hawakuwa na wakombozi ama mitume ama manabii?.sababu ni hizi..
Marekani haikuwa ,ama haikutunza kumbukumbu za mababu zao vizazi vingi vilivopita kama izrael.Marekani ilikuwa tangu mwanzo mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali,kwa hiyo hakukuwa na itambaduni wa jumla katika jammii,mtakumbuka red Indians,Marekani hakukuvumbuliwa maandishi mapema kama ilivokuwa Misri,Izrael na ukanda ule kwenda mpaka Greece.Hakukuw ana cctim yabkuamini amavkuabudu kma mashariki ya kati.Hizo ni baadhi tu ya sababu japo zipo kibao.

hakika nakwambia Ikiwa akina SHAKHA ZULU,V.I LENIN,MAHTIMA GHANDI,ISACC NEWTON,ALBERT STEIN na wengine kma hao,wangesema wametoka kwa mungu ama yale wayafanyayo ni kaz ya MUNGU leo tungekuwa na newtonism,steinism n.k.na iwapo wapigania uhuru wengine sehem zingine wangeandikwa kwenye vitabu enzi hizo bas hata akina musa tusingewasikia sana kama leo hii .naona niishie hapo kwa sasa kama kuna swali uliza ..
ukisema useme kwa fact unapotaja hustoria utaje kwa ukweli wake Mohamed unasema pangoni alikuwa na Khadija kwa histori ipi ?
 
Aquarian Age Gospel of Jesus
Injili ya zama za Ndoo ya Yesu


CHAPTER 32
Sura ya 32


Jesus and Barata. Together they read the sacred books. Jesus takes exception to the Buddhist doctrine of evolution and reveals the true origin of man. Meets Vidyapati, who becomes his co-labourer.


Yesu na Barata. Pamoja wavisoma vitabu vitakatifu. Yesu achukua kipande cha mafundisho ya Kibuddha ya juu ya Ukuwakujia na kufunua asilia ya kweli ya mtu. Akutana na Vidyapati, ambaye ajakuwa mjakazi wake wa karibu.

AMONG the Buddhist priests was one who saw a lofty wisdom in the words that Jesus spoke. It was Barata Arabo. Miongoni mwa makuhani wa Kibuddha alikuwapo mmoja mwenye hekima ya juu katika maneno ambayo Yesu alizungumza. Alikuwa Barata Arabo. 2 Together Jesus and Barata read the Jewish Psalms and Prophets; read the Vedas, the Avesta and the wisdom of Gautama. Pamoja Yesu na Barata waliisoma Zaburi ya Kiyahudi na Manabii; walizisoma Veda, Avesta na hekima ya Gautama. 3 And as they read and talked about the possibilities of man, Barata said, Na kadri walivyokuwa wakisoma na kuongea kuhusu mawezekano ya mtu, Barata akasema, 4 Man is the marvel of the universe. He is part of everything for he has been a living thing on every plane of life. Mtu ni staajabu la kupendeza la ulimwengu. Yeye ni sehemu ya kila kitu kwa kuwa amekuwa akiishi katika kila uwanda wa maisha. 5 Time was when man was not; and he was bit of formless substance in the moulds of time; and then a protoplast. Kuna wakati ulikuwa ambapo mtu hakuwapo; yeye alikuwa kijisehemu cha dutu isiyosura katika mafinyango ya wakati; na halafu protoplasti. 6 By universal law all things tend upward to a state of perfectness. The protoplast evolved, becoming worm, then reptile, bird and beast, and then at last it reached the form of man. Kwa sheria ya kanuni ya kiulimwengu vitu vyote vyafanya kuelekea juu kwenye hali ya ukamilifu. Protoplasti ikajakujia, kufanyika mnyoo, halafu mjusi, ndege na mnyama, na halafu tena mwishowe kufikia namna sura ya mtu. 7 Now, man himself is mind, and mind is here to gain perfection by experience; and mind is often manifest in fleshy form, and in the form best suited to its growth. So mind may manifest as worm, or bird, or beast, or man. Sasa, mtu mwenyewe ni akili, na akili ipo hapa kwa ajili ya kupata ukamilifu kupitia uzoefu; na akili ni mara nyingi hudhahirika katika namna sura ya nyama, na katika namna iliyobora kabisa kukidhi ukuaji wake. Hivyo akili yaweza kudhahirika kama mnyoo, ama ndege, ama mnyama, ama mtu. 8 The time will come when everthing of life will be evolved unto the state of perfect man. Wakati utafika ambapo kila kitu cha uhai kitakujakujia kuwa katika hali ya mtu ukamilifu. 9 And after man is man in perfectness, he will evolve to higher forms of life. Na baada ya mtu ni mtu katika ukamilifu, yeye atakujakujia kuelekea namna za juu za sura za uhai.10 And Jesus said, Barata Arabo, who taught you this, that mind, which is the man, may manifest in flesh of beast, or bird, or creeping thing? Na Yesu akasema, Barata Arabo, ni nani aliyefundisha hili, ya kwamba akili, ambayo ni mtu, yaweza kudhahirika katika mwili wa nyama wa wanyama, ama ndege, ama chochote chenye kutambaa? 11 Barata said, From times which man remembers not our priests have told us so, and so we know. Barata akasema, kutokea nyakati ambazo mtu hakumbuki makuhani wetu walituambia hivyo, na kwa jinsi hiyo twafahamu. 12 And Jesus said, Enlightened Arabo, are you a master mind and do not know that man knows naught by being told? Na Yesu akasema, Arabo uliyetaamulika, je, wewe si ni akili ya kikuu na haufahamu ya kwamba mtu ni mwenye kufahamu si chochote kwa kuambiwa? 13 Man may believe what others say; but thus he never knows. If man would know, he must himself be what he knows. Mtu aweza kusadiki yale wengine wanayoyasema; lakini kwa namna hiyo kamwe yeye kujua. Ikiwa mtu angalikujua, yeye mwenyewe yambidi kuwa kile akijuacho. 14 Do you remember, Arabo, when you were ape, or bird, or worm? Je, unakumbuka, Arabo, pale wewe ulipokuwa sokwe, ama ndege, ama mnyoo? 15 Now, if you have no better proving of your plea than that the priests have told you so, you do not know; you simply guess. Sasa, ikiwa huna kilichobora kuthibitishia ukweli wa uhalali wa kuwako shauri lako kuliko kwamba hivyo makuhani wamekuambia, haujui; unaotea tu. 16 Regard not, then, what any man has said; let us forget the flesh, and go with mind into the land of fleshless things; mind never does forget. Usitilie maanani, basi, kile mtu yeye kasema; tuusahau mwili wa nyama, na kwenda na akili hadi kwenye nchi ya vitu vya usimwili nyama; akili kamwe kusahau. 17 And backward through the ages master minds can trace themselves; and thus they know. Kurudi nyuma kupitia mazama maakili ya kikuu yanaweza kufuatishia njia za mapito yake yenyewe; na basi ni yajua.18 Time never was when man was not. Kamwe wakati kuwapo ambapo mtu hakuwapo. 19 That which begins will have an end. If man was not, the time will come when he will not exist. Kile chenye kuanza kitakuwa na mwisho. Ikiwa mtu hakuwapo, wakati utakuja ambapo yeye hatakuwepo. 20 From God's own Record Book we read: The Triune God breathed forth, and seven Spirits stood before his face. (The Hebrews call these seven Spirits, Elohim.) Kutoka kitabu chake Mungu mwenyewe cha kumbukumbu twasoma: Mungu Utatu-moja, alipuliza pumzi, na roho saba zikasimama mbele ya uso wake. (Waebrania huita roho hizi saba, Elohimu.) 21 And these are they who, in their boundless power, created everything that is, or was. Na hizi ndio wao saba ambao, katika nguvu zao zisizo mipaka, walihuluku kilakitu kilicho, ama kilichokuwa. 22 These Spirits of the Triune God moved on the face of boundless space and seven ethers were, and every ether had its form of life. Roho hawa wa Mungu Utatu-moja walijongea kwenye uso wa unafasi usio mipaka na aetha saba walikuwa, na kila aetha ilikuwa na namna yake ya uhai. 23 These forms of life were but the thoughts of God, clothed in the substance of their ether planes.Namna hizi za uhai zilikuwa ni tu mafikara ya Mungu, kuvikwa katika dutu ya wanda za aetha zake. 24 (Men call these ether planes the planes of protoplast, of earth, of plant, of beast, of man, of angel and of cherubim.) (Watu huziita wanda hizi aetha wanda za protoplasti, za dunia, za mmea, za mtu, za malaika na za makerubi.) 25 These planes with all their teeming thoughts of God, are never seen by eyes of man in flesh; they are composed of substance far too fine for fleshy eyes to see, and still they constitute the soul of things; Wanda hizi na wote utitiri wa mafikara ya Mungu, kamwe kuonekana kwa macho ya mtu wa mwili wa nyama; zimetungika kwa dutu nyembamba sana kwa jicho la nyama kuona, na hali bado huunda sonafi za vitu;26 And with the eyes of soul all creatures see these ether planes, and all forms of life. Na kwa macho ya sonafi viumbe vyote vyaziona wanda hizi aetha, na kila namna ya sura za uhai. 27 Because all forms of life on every plane are thoughts of God, all creatures think, and every creature is possessed of will, and, in its measure, has the power to choose, Kwa kuwa kila namna ya sura ya uhai kwenye kila wanda ina ndani yake kubeba nia, na, katika kiasi chake, ina nguvu ya kuchagua, 28 And in their native planes all creatures are supplied with nourishment from the ethers of their planes. Na katika wanda zao za nyumbani viumbe vyote vyapatiwa vikirimishio mwili kutokea kwenye aetha za wanda zake. 29 And so it was with every living thing until the will became a sluggish will, and then the ethers of the protoplast, the earth, the plant, the beast, the man, began to vibrate very slow. Na hivyo ilikuwa kwa kila kilicho hai mpaka pale aetha zilipokuja kuwa nia nzito nzito, na kisha aetha za protoplasti, za dunia, za mmea, za mnyama, mtu zikaanza kutetema taratibu sana. 30 The ethers all became more dense, and all the creatures of these planes were clothed with coarser garbs, the garbs of flesh, which men can see; and thus this coarser manifest, which men call physical, appeared. Aetha zote zikawa nzito zaidi, na viumbe vyote vya wanda hizi vikavikwa na mavazi ngozi nene zaidi, mavazi ya mwili wa nyama, ambayo watu wanaweza kuona; na basi dhahiriko hili kimwili mzito, ambalo watu huliita la kiumbo, likatukia. 31 And this is what is called the fall of man; but man fell not alone for protoplast, and earth, and plant and beast were all included in the fall. Na hichi ndicho huitwa anguko la mtu; lakini hakuanguka peke yake kwa kuwa protoplast, na dunia, na mmea na mnyama vyote vilijumuishwa katika anguko. 32 The angels and the cherubim fell not; their wills were ever strong, and so they held the ethers of their planes in harmony with God. Malaika na Makerubi hawakuanguka; nia zao zilikuwa daima imara, na hivyo walishikilia aetha za wanda zao katika utangamano na Mungu. 33 Now, when the ethers reached the rate of atmosphere, and all the creatures of these planes must get their food from atmosphere, the conflict came; and that which the finite man ahs called, survival of the best, became the law, Sasa, pale ambapo aetha zilifikia kasi mtetemo ya angahewa, viumbe vyote hivi havina budi kupata chakula kutoka kwenye angahewa, mgongano ukaja; kile ambacho mtu kiasi amekiita, aliyebora kabisa abakie hai, ikawa ni sheria, 34 The stronger ate the bodies of the weaker manifests; and here is where the carnal law of evolution had its rise. Aliye imara akala miili ya madhahiriko dhaifu; na hapa ndipo ambapo sheria ya kanuni ya kimwili wa nyama ikawa nakujitokezea. 35 And now man, in his utter shamelessness, strikes down and eats the beasts, the beast consumes the plant, the plant thrives on the earth, the earth absorbs the protoplast. Na sasa mtu, katika ukosakwake kabisa aibu, ampiga chini na kumla mnyama, wanyama wala mmea, mmea washamiri kwa juu ya dunia, dunia yasharabu protoplasti. 36 In yonder kingdom of the soul this carnal evolution is not known, and the great work of master minds is to restore the heritage of man, to bring him back to his estate that he has lost, when he again will live upon the ethers of his native plane. Katika falme za mbali za sonafi ukuwakujia huu wa kimwili wa nyama haufahamiki, na kazi kubwa ya maakili makuu ni kurudishia urithi wa mtu, mrudisha yeye kwenye hali ambayo yeye ameipoteza, 37 The thoughts of God change not; the manifests of life on every plane unfold into perfection of their kind; and as the thoughts of God can never die, there is no death to any being of the seven ethers of the seven Spirits of the Triune God. Mafikara ya Mungu, hayabadiliki; madhahiriko ya kila uhai kwenye kila wanda hujifunua kuelekea ukamilifu wa aina zake; na kadiri mafikara ya Mungu hayawezi kufa, hakuna mauti kwa mwenye ukuwa yeyote wa aetha zaba za roho saba wa Mungu Utatu-moja. 38 And so an earth is never plant; a beast, or bird, or creeping thing is never man, and man is not, and cannot be, a beast, or bird, or creeping thing. Na kwa hiyo dunia kamwe ni mmea; mnyama, ama ndege, ama chochote kitambaacho kamwe ni mtu. 39 The time will come when all these seven manifests will be absorbed, and man, and beast, and plant, and earth and protoplast will be redeemed. Wakati utakuja ambapo madhahiriko haya saba yatasharabiwa, na mtu, na mnyama, na mmea, na dunia na protoplasti vitakombolewa. 40 Barata was amazed; the wisdom of the Jewish sage was a revelation unto him. Barata alishikwa na bumbuwazi; hekima ya wabusara wa Kiyahudi ilikuwa ni ufunuo kwake. 41 Now, Vidyapati, wisest of the Indian sages, chief of temple Kapavistu, heard Barata speak to Jesus of the origin of man, and heard the answer of the Hebrew prophet, and he said, Sasa, Vidyapati, mwenye busara zaidi ya wote wabusara wa Kihindi, chifu wa hekalu la Kapavistu, alimsikia Barata akizungumza na Yesu ya asilia ya mtu, na alilisikia jibu la nabii wa Kiebrania, na akasema, 42 You priests of Kapavistu, hear me speak: We stand to-day upon a crest of time. Six times ago a master soul was born who gave a glory light to man, and now a master sage stands here in temple Kapavistu. Ninyi makuhani wa Kapavistu, nisikizeni: Twasimama leo hii kwenye kigongo cha wakati. Mara sita zilizopita sonafi ya kikuu ilizaliwa na kutoa utukufu kwa mtu, na sasa wabusara mkuu asimama hapa katika hekalu Kapavistu. 43 This Hebrew prophet is the rising star of wisdom, diefied. He brings to us a knowledge of the secrets things of God; and all the world will hear his words, will heed his words, and glorify his name. Huyu nabii wa Kiyahudi ni nyota iinukiayo ya hekima, kudaifika. Atuletea maarifa ya mambo ya siri ya Mungu; na ulimwengu wote mzima utasikia maneno yake, utatii sauti ya maneno yake, na kulitukuza jina lake. 44 You priests of temple Kapavistu, stay! be still and listen when he speaks; he is the Living Oracle of God. Enyi makuhani wa hekalu Kapavistu, tulieni! Mtulie tuli na kusikiliza yeye asemapo; yeye ni Mnabii Hai wa Mungu. 45 And all the priests gave thanks, and praised the Buddha of enlightenment.Na makuhani wote wakatoa shukrani, na kumtukuza Buddha wa Utaamuliko.


Chanzo: The Aquarian Age Gospel of Jesus, the Christ of the Piscean Age
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom