Something From Nothing

Something From Nothing

Nakubali,ndo mana nikafafanua nijuavyo mimi kuhusu,Something From Nothing ,,Kuamini sio lazima lakini kila kitu kinajieleza japo juu ila pia waweza chambua zaidi kupitia vyanzo mbal mbal.
Focas hapa ni kueleza nijuacho kuhusu nilichoeleza.

Mmmh! Hapo sijakupa!
Ivi ni kweli umeweka hii mada ili tutoe tufafanue "something from nothing"? Ili iweje?

Na hapo kwa sired umeelezea kuhusu dunia ilivyojitengeneza! What for?

Kiukweli hapa naona marue rue tu!
 
No!,No!, i have explained on ma thread,what nothing IS, in both senses of Evolution and Creation.May be u ddnt get it,go an read again.

The problem of THEISTIC views ,they/you don't understand the ""WORD NOTHING "".You are forcing us to mention GOD instead of nothing.Alright if that izthe case, allow me to call him the ""GOD OF GAPS.""

nothing is not an empty space nothing is absence of space
 
Something is always better than nothing for example if u have no money so you cant eat food but if you have found some money from any source so you will be able to purchase food and eat it so in this way something is always as better than nothing. There are many examples are available for that.
 
_ _ _ _ _ _

<a href="http://www.contenthoop.com/magnetic-science-fun/8187/"> MAGNETIC SCIENCE FUN </a>

This is too simple to be compared to what i explained.
 
Mmmh! Hapo sijakupa!
Ivi ni kweli umeweka hii mada ili tutoe tufafanue "something from nothing"? Ili iweje?

Na hapo kwa sired umeelezea kuhusu dunia ilivyojitengeneza! What for?

Kiukweli hapa naona marue rue tu!

Sijaweka ili ifafanuliwe,
 
Invisible means it exists but can not be seen and nothing means no thing or empty, emptiness can result into something without an external force?
 
Invisible means it exists but can not be seen and nothing means no thing or empty, emptiness can result into something without an external force?

That's possible mkuu,soma hapo juu uelewe
 
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,
 
nothing also is something and vice versa, nyie mnaojaribu kuchallenge uwepo wa Mungu Nawashangaa sana, kwanza mkumbuke kuwa yeye ndio mwanasayansi, mwanafalsafa, mtafiti no moja, kwenye kitabu cha mithali kuna maneno yanasema 'mkamate sana elimu wala usimwache aende zake...' kupata elimu ni kupata maarifa ujuzi na ugunduzi, sasa mmepata elimu mmepata ujuzi, mmepata ugunduzi mnataka kumchallange aliyewafanya mkapata hiyo elimu? Mungu aliposema mkamate elimu ulitaka elimu ipi? ndio hii uliyoipata sasa unataka kujifanya unajua kuliko yeye
 
Invisible means it exists but can not be seen and nothing means no thing or empty, emptiness can result into something without an external force?

nothin is absence of space,no one knows how nothing is to be,nothing to something can't be proved scientifically but spiritually,huyu free ideas naconclude ni mtu mmoja very shallow,great cramer,ambaye ni mgumu kutumia ubongo wake kufikiri ila ni rahisi kutumia bongo za wengine,hii mada ilishapitaga tena hakuweza kujibu ,nilimuuliza utupu ni nini akaanza kufungua vitabu bila kufikiria ameulizwa nini ,sasa anatafuta rootescape hapa huku hajui chochote inshort ANAJIFUNZA.
 
Tatizo jazba huwa inakuponza japo unajitahidi kucomment,
Mimi sijifunzi naandika ninachojua.Hakuna swali humu nimewahi kulkwepa huwa najibu hat a ambayo sijaulizwa nikiona linanihusu ama nna chochote naweza andika.

Tatizo lako ni matusi na jazba katika uandishi wako ndo mana huwa sikujibu maswali ya kejel na matusi ndan yake
 
nothing also is something and vice versa, nyie mnaojaribu kuchallenge uwepo wa Mungu Nawashangaa sana, kwanza mkumbuke kuwa yeye ndio mwanasayansi, mwanafalsafa, mtafiti no moja, kwenye kitabu cha mithali kuna maneno yanasema 'mkamate sana elimu wala usimwache aende zake...' kupata elimu ni kupata maarifa ujuzi na ugunduzi, sasa mmepata elimu mmepata ujuzi, mmepata ugunduzi mnataka kumchallange aliyewafanya mkapata hiyo elimu? Mungu aliposema mkamate elimu ulitaka elimu ipi? ndio hii uliyoipata sasa unataka kujifanya unajua kuliko yeye

Tatizo ni sijui kujua, tatizo ni uthibitisho wa uwepo wake!,Ambao hakuna yoyote kati yenu(msemao yupo )ameweza kutoa uthibitisho wa uwepo wake.
 
Tatizo jazba huwa inakuponza japo unajitahidi kucomment,
Mimi sijifunzi naandika ninachojua.Hakuna swali humu nimewahi kulkwepa huwa najibu hat a ambayo sijaulizwa nikiona linanihusu ama nna chochote naweza andika.

Tatizo lako ni matusi na jazba katika uandishi wako ndo mana huwa sikujibu maswali ya kejel na matusi ndan yake

define jazba?

define matusi?

define kejeli?

kutomjibu mtu nikukosa maarifa ya kupambana na social attack feedbacks kisaikolojia pia unaumiza kichwa kuwa huru huku kufuli umejifunga mwenyewe

define tatizo?

kingine kuandika maneno mengi bila mantiki ni kipimo pia cha upeo mdogo wa kufikiri

afu unaandika nothing ni empty space kitu ambacho umecopy na kupaste

BE A THINKER NOT A CRAMER
 
Tatizo ni sijui kujua, tatizo ni uthibitisho wa uwepo wake!,Ambao hakuna yoyote kati yenu(msemao yupo )ameweza kutoa uthibitisho wa uwepo wake.

ishu ya uwepo wa Mungu ni ya kiimani zaidi, lakini kama Mungu hayupo Biblia ilitoka wapi? Yesu Kristo naye alitoka wapi? je yale aliyoyaongea na kuyatenda ni fix? twende kwenye njia pana zaidi tunapojadili hili na tutende haki
 
Biblia kuwepo haimaanishi Mungu yupo,kwan nani alikwambia Biblia iliyoka kwa Mungu?,

YESU alizaliwa kama wengine(swal dhaifu sana hili), haya maswal ya namna hii nimeshajibu sana humu jaribu kuwa unasoma comments na maswal ya wengine ndugu karibu.
 
anadhani vitu ni vyepesi afikiri zaidi
 
Hivi ni kwanini unapoamka asubuhi na kukuta nyumba yako iko wazi ni lazima utadhani kuna aliyeifungua na sio kufunguka yenyewe?

Ni mantiki ipi na ya wapi ambayo inakubali vitu au kitu kutokea tu hivi hivi?
 
Biblia kuwepo haimaanishi Mungu yupo,kwan nani alikwambia Biblia iliyoka kwa Mungu?,

YESU alizaliwa kama wengine(swal dhaifu sana hili), haya maswal ya namna hii nimeshajibu sana humu jaribu kuwa unasoma comments na maswal ya wengine ndugu karibu.

Sihitaji kusoma comment za wengine ndio nichangie, nachangia kile ninachokifahamu, Yesu Kristo alizaliwa kama wengine ni sawa lakini umeona alizaliwa katika maono gani? na je yale aliyoyafanya na kuyasema unayaweka wapi? Biblia yalikuwa maono makuu toka kwa Mungu, Ni mwongozo usiochuja, kama si kweli naomba ithibati ya waliokuwa na hayo maono hata kuandika bible, jibu kila swali kwa kadiri ya ufahamu wako na usikimbilie kusema ni hoja dhaifu
 
Hg

Ntakujibu usjali, japo huwa najibu kila mara swali hili.,kuwa kuanza nakuwekea hapa moja ya majibu yangu kwa swali lililo fanana na lako kisha waweza uliza wapi hujaelewa, tuko pamoja,haya tiririka yayo hapa,

Ok nakujibu kwa ufupi,
Katika historia,inaonesha watu wa ukanda wa mashariki ya kati na maeneo kama misri,Jordan,kwenda mpaka Ugiriki,Walikuwa watu wa kwanza kuvumbua maandishi na mambo ya kalenda na hata hesabu.

walikuwa na utaalam wa kusoma nyota na unajimu hata vipindi na majira mbalimbali pia.Waliweza pia kutunza kumbukumbu kwa maandishi ambayo pia wao ndo waliyavumbua.Hii ilikuw miaka mingi iliyopita.

kwa hiyo matukio na mambo mbalimbali yaliyofanyika katika jamii zao yaliweza kuandikwa na kuwekwa kama kumbukumbu.masimulizi kutoka kizazi hadi kizazi pia.
Kutokana na kuwepo kwa kumbukumbu sahihi ya maisha ya mababu zao,taifa la izrael linakuwa na kurithi misingi ama maonyo ama mafundisho ya kizazi kilichopita.

Izrael ilikaa utumwani misri miaka kama mia 400,lakini kwa sababu ya kutunzavkumbukumbu,walijua kwamba sio asili ya pale misri.Na katika harakati za kujikomboa na UTUMWA,ndipo watu mbalimbali maarufu na wanamapinduz kama akina MUSA,JOSHUA,ARON na wengine wanawakumbusha waizrael kwamba asili yao sio pale na inabidi warudi nchi ya mababu zao.Katika hili zinatungwa falsafa nyingi kama ilivo kwa marevolutionarist wengine waliopita.,Kwa nchi YA AHADI,NCHI YA MABABU ZETU,NCHI YA ARDHI TAKATIFU,INAYOTIRIRIKA ASALI NA MAZIWA,TAIFA TEULE n.k.Yaan ni kama akina kinjekitile kwamba motto ni ,,,MAJI,,,Ama BACK TO AFRICA MOVEMENT.(hapa watanielewa wale walio na free ideas tu,wengine mtaona nakufuru).

Baada ya muda mrefu musa anafanikiwa kuwarudisha wana wa Izrael katika ardhi ya mababu zao japo yeye hakufika kuyokana na umauti ulomfika wakiwa njiani.,Baada ya wao kufika mambo yanaendelea kamabkawaida lakini kumbuka taifa hili limejengwa kayikabmisingi ya Imani ya kuambiwa nabkusimuliwa.

Idea ya mungu MMOJA inajitokeza pia baada ya kuonekana watu wanatengeneza vinyago nakuviabudu.Viongozi wakaona tuseme kuna mungu mmojabambaye haonekani ili kusiwe na ULINGANIFU KATIKA MIUNGU,MAANA KULIKUWA NA MIUNGU WA SHABA,DHAHABU,ALMASI n.k,na kila mmoja alikuwa anaonekana muhimu hasa kutokana na jinsi alivotengenezwa.So ile kusema kuna mungu. mmoja ilikuwa ni Defensive mechanism ili kuwafanya watu waogope kwa kuwa mungu haonekani.

Katika kuendeleza Imani yao,walizaliwa watu mbalimbali waliokuta jamii ya Izrael inaendelea na utamadun wa kuabudu na kiimani,na kutokama na maandiko ya kiimani na kihistoria na mfumo wa maisha kwa ujumla,mtoto yoyote alitakiwa kujua mafundisho haya na ndicho kilikuwa kinafundishwa mashulen na katika masinagogi.,

Ahadi ya kuzaliwa mkomboz ni inabaki kuwa fumbo tangu enzi za nabii Elias ,Mkomboz anatabiliw akutokna na mateso ya waizrael misri na utumwani kwa ujumla.Laini mkombozi YESU(kama n kwel),anakuja kuzaliwa tayar wakiwa kwao na anazaliwa katika hali wasiyoitarajia.Yesu akasema katoka kwa mungu wakamuua.
kwa hiyo hapa point ni kwamba mitume na manabii walitoka Mashatiki yabkati kutokana na kuw ana kumbukumbu za ahadi walizojiwekewa wenyewe kujifariji kutokana na maisha magumu. na ile kutawaliwa,so kila mtu akawa anakuja na falsafa yake.

Kutokana na kumbukumbu pia Anazaliwa Mohamed ambaye nae anadai ametumwa na Allah kuja kueneza habar njema.Hii pia ni kutokana na historia kwamba wao kama wao(waarabu) ambao kumbukumb zao zinaonesha nivkizazi cha Ismael ama labda ESAU nao wanajikakamua baada ya miaka 600 ya kufa yesu.Mwaka 632,AD,anazaliwa Mohamed kisha baadae anasema Ametokewa na Allah wakati akiwa bonden(pango) na mkewe.Basi anaandika misingi ya maisha nabkupata wafuasi ambao ndo waislam wa leo.Lakini hii yote ni kutaka kuonesha kwamba na sisi tunaweza,ama kwa nn wao tu ama ccje?,ama kutimiza historia amavkujipa moyo maana zamani hakukuwa na kingine cha muhimu sana tofauti na Mambo ya imani na kusoma sheria za vitabu vya mababu kama musa,Ibrahim n.k.Na waliweza kufanikiwa kutokana na ujinga wa watu wa enzi hizo waliokubali ya kuambiwa"",Eti mungu kanitokea nikiwa pangoni kanambia mimi ndo ameniteua niwe mtume wake"",afu pangoni aliwa yeye na hadija mkewe,ushahidi uko wapi??.miaka hii pia kuna wanao sema hayo lakini wanapuuzwa kwa sabau si zama z aujinga na upumbavu hiz.Watu watataka evidences zilizoshiba.Ulishawahi kujiuliza kwa nn mungu hawashukii watu tena siku hizi?.ulishawahi kujiuliz akwa nn Manabii na mitume hawaji tena?.tafakar

Turudi katika historia,Marekani imetawaliwa karibu miaka 400,sawa na Israel,lakini unajua kwa nn marekan hawakuwa na wakombozi ama mitume ama manabii?.sababu ni hizi..
Marekani haikuwa ,ama haikutunza kumbukumbu za mababu zao vizazi vingi vilivopita kama izrael.Marekani ilikuwa tangu mwanzo mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali,kwa hiyo hakukuwa na itambaduni wa jumla katika jammii,mtakumbuka red Indians,Marekani hakukuvumbuliwa maandishi mapema kama ilivokuwa Misri,Izrael na ukanda ule kwenda mpaka Greece.Hakukuw ana cctim yabkuamini amavkuabudu kma mashariki ya kati.Hizo ni baadhi tu ya sababu japo zipo kibao.

hakika nakwambia Ikiwa akina SHAKHA ZULU,V.I LENIN,MAHTIMA GHANDI,ISACC NEWTON,ALBERT STEIN na wengine kma hao,wangesema wametoka kwa mungu ama yale wayafanyayo ni kaz ya MUNGU leo tungekuwa na newtonism,steinism n.k.na iwapo wapigania uhuru wengine sehem zingine wangeandikwa kwenye vitabu enzi hizo bas hata akina musa tusingewasikia sana kama leo hii .naona niishie hapo kwa sasa kama kuna swali uliza ..
 
Do you TRUST in spiritual matters,what are they?Can the houses or cars u see today evolve?Can you prove GODs ABSENCE ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom