Something From Nothing

Something From Nothing

ukitaka kuprove kitu fata njia za derivation afu utatua kwenye formular itayotatua tatizo therefore whoever who wana prove the existence FIND GODs FORMULAR then you will see GOD
 
So if I put a bread on a table for example, there will be nothing there, because the bread has taken that space?

there will be something you count a bread and that space absence of them all is nothing,
what i mean is space is something which holds something when you remove space you get nothing .Nothing is a BIG SECRET
 
Aisee niupenda mjadala ila samahani wakuu naomba niulize; Mnaposema empty space mnamaanisha nini? je kwenye empty space kunaweza kuwa na force? kama zinaweza kuwepo kwanini tuite empty space wakati tayari kuna force?
 
empty space is what holds something ile tu hali yakuwa nafasi tayari ni kitu ,sasa toa nafasi ndo hakuna chochote ujuacho hapo sasa i term it utupu
 
Free Ideas, Kuna mambo mengi sana ninyi wanasayansi hamuwezi kuyafafanua kinaga ubwaga, kwa mfano; Mimi nimeshuhudia wazee wakiomba mvua kwa kuchinja Mbuzi na Ng'ombe sehemu moja inaitwa Mseseweni Kinyamvuo wilaya ya Moshi Vijijini... mvua ilinyesha from nowhere kwa mfululizo hadi wazee walipoenda kuomba tena kuwa imetosha!!! Tumeshuhudia mara nyingi Wild Fire wengine wanaita Bush fires zikiwatesa mataifa makubwa na kuwaletea madhara makubwa ya ajabu, tumeshuhudia Hurricanes, Tsunami na Tornado zikileta madhara kwenye nchi ambazo wanadai wanaweza kutabiri kisayansi... tunaona vomondo vikiruka angani! Tunaona jinsi ambavyo watu wanaponywa kwa maombi pekee! tulishuhudia hapa Maradona alipewa siku chache tu za kuishi lakini hadi leo anadunda kama kawaida! Haile Selasie aliamuru upepo usafishe anga iliyonyunyiziwa sumu na Wataliano... Kwanini mpaka sasa hamjaweza kutengeneza uhai wa viumbe? kwanini mpaka sasa mnashindwa kutembelea sayari nyinginezo? Formation of Galaxies ikoje? Ilikuwaje kukawa na anga yenye layers amapo kila layer inakazi yake mahsusi?... Itoshe kusema kuwa yote ni kazi ya Creator/MUNGU ... yenye ndiye mmiliki wa kila kitu katika dunia hii na kesho akhera ...Kwa mwenye akili lazima atajua tu kuwa Hakuna Mwanasayansi mwenye uwezo wa kugeuza usiku kuwa mchana ... hakuna wa kuweza kugeuza dunia izunguke atakavyo...Only Allah S.W.T ndiyo muweza wa yote ...
 
Asante kwa swali zur ambalo hata hivo nimerijibu mara nyingi sana humu lakini hata hivo nitakujibu,,..

Kuhusu kuomba mvua,hilo ni jambo ambalo linafanyika ila si kwa sababu wameomba,NO,mvua ili inyeshe kuna hatua zake,Bila kuwepo evaporation,condensation+, precipitation,hakuna mvua hata wangeomba vipi.Ndo mana zamani zile walitambika sana pia hata mvua ilipokata lakini kama haikuwa msimu wa mvua hazikunyesha kisingizio kikawa kwamba wazee wamekasirika kwa dhambi zetu.kwa hiyo usidanganyike na magic kama hizo,.

Wild fire inatokea na upepo ambao unapush moto kwenda mbali zaidi na kusafiri kwa kasi ndo mana huwa ni tatizo.kumbuka haya yote yanaelezeka.

Kuhusu kutengeneza uhai wa viumbe sio tatizo ni swala la muda tu na kumbuka sayansi inakua kila kukicha,
Kuhusu volcanic eruptions, Tsunamis na vingine,lazima ujue kwamba ni vitu vinavotokea naturally!, havihusiani na nguvu yoyote kwa hiyo havizuiliki ila vinaepukika na ndo mana vinapimika kabla havinatokea.
Lakini amini nakwambia kama huu mjadala tungeufanya mwaka 350AD ungesema hayo yote ni adhabu kutoka kwa mungu kama walivosema walokuwepo.kwa sababu tu sayansi ilikuwa haijakuwa na haikuweza kueleza nini kinatokea.
Usiku kuwa mchana hiyo ni Natua ambayo tunajua sabbu yake kwamba ni mzunguko wa dunia,hakuna anayeweza kuzuia dunia kuzunguka ndugu. Lakini miaka hiyo hakuna aliyeweza kuelezea kwa nn hasa inakuwa hivo.kwa hiyo amini nakwambia kadri siku zinavisonga mungu anakosa KAZI.maana mambo yanafahamika

Kutembelea sayar zingine sio point ya muhimu sana,na ulitakiwa ujiulize mbona mwezini tulifika?,ndo mana nakwambia ingekuwa tunajadili hivi miaka 1000 ilopita ungesema mbona hamjaenda hata mwezini.lakini nasikitika kwamba umesahau kwamba mwezini tulienda,

Asante kwa swali kama unalo lingine uliza ama kama hujaelewa sehem uliza ndugu
 
empty space is what holds something ile tu hali yakuwa nafasi tayari ni kitu ,sasa toa nafasi ndo hakuna chochote ujuacho hapo sasa i term it utupu

kwamba tukitoa hiyo nafasi kinachobaki ndio utupu.... hapo nimekuelewa. Je nikisema utupu ni kitu cha kufikirika tu nitakuwa nimekosea?
 
Hi!,wanajamvi. Swali hilo juu huwa ni moja ya maswali magumu ambayo wengi huwa wanabaki njia panda,hasa linapokuja swala la kufafanua,,IWEJE TUPATE KITU PASIPO KITU?(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi),yaan how can we get something from nothing?,

Watu wengi hasa wenzetu WANAOAMINI katika dini na MUNGU/MIUNGU huwa hawatuelewi kabisa kuhusu hili.
Nitajaribu leo kufafanua kwa kina(kadri nijuavyo mimi) kwa faida ya wengi,kuhusu,KUAPATA KITU PASIPO KITU.(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi). Karibuni....

Katika nyanja ya Evolution,ina maanisha ni jinsi gani unaweza kupata Immense complexity and diversity and beuty and elegance of life,na zaidi ya hapo,inaonesha ni jinsi gani unaweza kupata Powerful Illusion of design ambayo uhai unaonesha,ambayo ninaweza sema sio kutoka katika HAKUNA(nothing),(not quiet from nothing)ila kutoka katika Extreme Simplicity.

Kabla ya Darwin kufanya utafiti uliopelekea kila kitu kuwa wazi,ilikuwa ni vigumu sana kuamini/kueleza jinsi gani unapata/kuna Vitu kama Ubongo,macho,miguu,mabawa ya ndege,n.k.Ilikuwa n ngumu sana kujua vipi unaweza kupata vitu vilivyo vizur machoni na vyenye mpangilio maalumu vinavoonekana kama vimepangwa(designed).

Darwin alitoa confidence na kuonesha kuwa kinachoonekana ni ugumu wa ufahamu wa kupata kitu pasipo kitu,alisove na waliofuata pia walikuw wakiendeleza kazi yake tangu kipindi kile.

@@@@But what is NOTHING,and how can we have something from Nothing...

Ni kwel kabisa,kwamba The Universal came from nothing due to what we know about the Universal up to this time,here is the proof of my above Arguments.

""Nothing is UNSTABLE,that empty space is UNSTABLE,Laws of mechanics combined with GRAVITY will tell you that,if you have Empty space there and you wait for the long enough,particles will be CREATED,and if you wait more enough,empty space will allways produce a UNIVERSAL full og MATTERS,
So NOTHING is unstable (sijui kama naeleweka hapa).

The case here is NOTHING (Empty space),creating something (Universal /Earth).
But ist the empty space nnothing(wengi mtasema no ),Lakini ngoja nikuoneshe pia kwamba EMPTY SPACE nayo inaweza ikawa product ya nothing,na hapo nadhan hakuta kuwa na swali tena.

Hapa nakuja katika laws za kifizikia,ama NATURAL FUNDAMENTAL LAWZ,
Ambzo zinaelezea kiundani jinsi ambavo kanuni na misingi ya kuwepo hewa tupu,space na mazingira ya utokeaji wa kila kitu kinachohitajika kufanyika kwa kitu husika(sina haja ya kuchima sna ntapoteza maana ya uzi,waweza uliza katika mjadala na nitajibu.),@@@@

Nothing niimanishayo katika upande wa Evolution sio,Completely nothing,lakini ni kutoka katika resonable complicated beginning ambayo ilikuwa ni first self replication molecule(maana completely nothing imesha tengenza UNIVERSAL na sasa ni evolution .).

Lakini tukumbuke kwamba Natural selection haiwezi kwenda kama hakuna genetics.,na hilo ndo tatizo ambalo halijasoviwa.Namaanisha hadi sasa hakuna anayejua Genetics zilivoanza.Lakini tunajua kwamba Kanuni za chemistry lazima zianzishe self replicating molecules,Kisha EVOLUTION inatake place.

Na kuanzia hapo sasa,aina zote za diversity na viumbe kama mimi na wewe ndo tukawa into existence,lakini haya yote lazima yaanze na GENETICS,hapo mapungufu ya chemistry yanaonekana,lakini kabla hatujailaumu chemistry kwa kukosa ufumbuzi wa genetics inabidi tuanze na physics !

Uhai katika dunia ulianza miaka 3.5bilion ilopita,katika kipindi cha Cambrian explosion.
Katika mika 4.5bilioni ilopita, ambayo ni kadirio la umri wa dunia, hakukua na bacteria.So katika miaka 3.5bilion ilopita uhai ukaanza taratibu katika dunia kutokana na Nitrogen ,Helium Hydrogen pamoja na hewa nyingine ndogo ambazo zilitokea katika spaces/sky baada ya Explosion.

Baadhi ya watu husema,We don't understand the origin of life on Earth ,so GO,D must done it!(kamba hatuelewi mwanzo wa uhai katika Dunia,kwa hiyo lazima mungu ndo alihusika).SI KWEL,.....

Ninachojua mimi,mapungufu yaliyopo katika Sayansi hayamuumbi Mungu,wala hayasababishi Awepo .,Sayansi inakuwa kila kukicha.Kama ni hivo basi atakuwa ni MUNGU wa mapungufu,(GOD OF GAPS),ambaye anaonekana tu katika few remaining Gaps in our understandings.Nikukumbushe pia kabla ya Darwin na wengine,uhai na uwepo wetu,Miili na jinsi ifanyavyo kaz ,ilikuwa inaonekana kama miracles.Hakuna aliyeweza kusema nini ni nn na kila kitu ilikuw akaz ya mungu.
Amini nakuambia hata mwaka 300AD,watu walikuwa wakiamini vitu kama Tsunami,Floods,Volcanic eruptions,Earthquake n.k ilikuwa kaz ya MUNGU,kama adhabu.Lakini leo vinaelezeka na kutabiriwa na mamlaka za hali ya Hewa na onyo linatolewa . Nachotaka kusema hapa ni kamba sayansi ,,inakuwa,, na itafumbua kila kitu.
,Kwangu mimi huwa naona kama n dalili za udhaifu ninaposikia kauli mfano,,""I DONT UNDERSTAND IT,THEREFORE GOD DID IT"" this is the kind of lazy argument.It doesn't help anything,but it leaves opens, since it doesn't explain even where God came from.

Kitu kikubwa alichofanya Darwin ni kuonesha ama kujuza ni jinsi gani unaweza kupata God like things/complex things (like humani Brain) kutoka katika omni nothing.

Ngoja niongelee kidogo CONCEPT YA EVOLUTION,maana najua ntaulizwa mbona manyani hayabadiliki siku hiz..

Watu wengi wanadhani kwamba EVOLUTION,inaonglea/inahusu manyani/masokwe kumzaa ama kugeuka binadam,!,ni hiv,Miaka kama milioni 25,ilopita Human being(watu) walikuwa""Common Ancestor "",NA MONKEYS ,CHIMPANZEE ,GORILLAZ n.k.Hili ndo jambo gumu watu kuelewa,Kwa kiswahili ni kwamba ,HATUKUWA MANYANI WALA MASOKWE BALI TULISHARE BAADHI YA TABIA ,VITU,UMBO,MWONEKANO n.k.,huwa napata shida sana kuelezea jambo hili.So 25,yearz ago our ancestors might have look like monkey,gorillaz,or chimpanzees.Narudia,tena neno MIGHT HAVE LOOK LIKE,NOT THEY WERE MONKEYS !,hata hivo uchunguz unaonesha tuko na ufanano wa karibu zaidi na CHIMPANZEE kuliko chimpanzee walivo na ufanano na gorillaz ama monkeys.

Je,evolution inaendelea?,hili swali ningelipata bila shaka,jibu ni NDIO,...

Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy .We can see it in Bacteria only too visibly ,because thats y,ant-biological resistance is such a big problem and more immensely important medical problem.Take this ,if the doctors at the time of invention of penicillin which Darwin wishes about them,they would been able to predict that resistance to ant-biotic.refers the book known as,, THE SCIENCE OF DARWINIAN,, MEDICINE .another vivid example of the continuation of Evolution is just look ok history,try to observe the physical appearance of the people live in 14c,15c or even 7century,you may not a lot of differences comparing to us.

Presence of INTELLIGENT DESIGNER ?,

This logic is too low and poor!,
I an prove that there is NO Intelligent designer
1,There is no EVIDENCES ON THAT ARGUMENT
2.BY HIS RESPONSIBILITY.

This person God of tje JUDAISM ,CHRISTIANS,ISLAMS has nothing to do with the God who cares about us.Na katika uwanja wa Sayansi ,tukisema kama mapungufu yaliyopo yahusiane na mungu,hatuta muhusisha mungu nafsi!,,The same God created lawz of physics ?. Na kama katika Sayansi kukihitajika kuwa na Mungu,basi atakuwa DIASTIC GOD,And he is very very different from the Gods of religion ,na huyu ndiye aina ya kitu tunatumia muda kumuelezea.

Intelligence inakuja baada ya muda mwingi baada ya EVOLUTION,starting from nothing as we know and then chemistry takes over,Biology,.

Kwa hiyo katika dunia kunaweza kuwa na Gods like humani being.Nakubali kwamba kunaweza kuwa na life forms than us,ambao tukikutana tutabidi tuwapigie magoti LAKINI WATABAKI KUWA ZAO LA MUENDELEZO(the product of the process ),of evolution devlpmt.they will not be GOD,S In the sense that having created the laws of physics,or tje universal or life!.

Let me end up here,karibun...

Umejitahidi sana kumwaga yale uliyokaririshwa japo mwishoni umejichanganya sana kuliko mwanzo.
Evolution bado inaendelea=NDIO, ''Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy'' hii unayosema ''Too Slow'' unaipimaje ? Ni too slow kwa kuwa inahitaji miaka 5m kuiona ?
Umri wa Penicilin ni miaka mingapi ? kiasi yenyewe isiathiriwe na Too slowness ya Evolution ya Bacteria, kama evolution ingekuwa kweli ! ingechukua mamilioni ya miaka kwa bacteria kuevolve na kuishinda Penicilin ...

Pamoja na kukariri kwako hujamfikia Great thinker Einstein, "science without religion is lame, religion without science is blind.

wewe unataka ku practice science pasipo dini. sasa kosoa kwanza quote ya nguli Einstein ndiyo tuendelee kujadili kariri zako.

Evolution haijawahi na haitawahi kuthibitishwa, ni day dream za Darwin na wanaofuata hujikita wakimeditate ili waone namna evolution ilivyokuwa inatengeneza Nyoka wa Aina mbali mbali wenye sumu tofauti na rangi tofauti huku wakiwa kwenye mazingira sawa.
 
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,

just a matter of Time ? evolution inaendelea ''too slow for us to see ''wanasayansi hawako excempted na evolution, wataevolve na kuwa mijusi, nani ataendelea kufukia GAPS ?
Tatizo ni kutafakari kunakusumbua ndugu...Au evolution haiwahusu binadam tena, wao wamekamilika ?
 
kwamba tukitoa hiyo nafasi kinachobaki ndio utupu.... hapo nimekuelewa. Je nikisema utupu ni kitu cha kufikirika tu nitakuwa nimekosea?

utupu upo utabaki kwenye fikra maana picha halisi ya utupu anaijua muumba sisi picha haiji kabisa hata ufikiri vipi utupu huwezi jua upo vipi still ndani ya utupu kuna vitu ,sasa ukitaka kujua hii ikoje ndo unaambia john8:32 hope nimeeleweka.
 
Umejitahidi sana kumwaga yale uliyokaririshwa japo mwishoni umejichanganya sana kuliko mwanzo.
Evolution bado inaendelea=NDIO, ''Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy'' hii unayosema ''Too Slow'' unaipimaje ? Ni too slow kwa kuwa inahitaji miaka 5m kuiona ?
Umri wa Penicilin ni miaka mingapi ? kiasi yenyewe isiathiriwe na Too slowness ya Evolution ya Bacteria, kama evolution ingekuwa kweli ! ingechukua mamilioni ya miaka kwa bacteria kuevolve na kuishinda Penicilin ...

Pamoja na kukariri kwako hujamfikia Great thinker Einstein, "science without religion is lame, religion without science is blind.

wewe unataka ku practice science pasipo dini. sasa kosoa kwanza quote ya nguli Einstein ndiyo tuendelee kujadili kariri zako.

Evolution haijawahi na haitawahi kuthibitishwa, ni day dream za Darwin na wanaofuata hujikita wakimeditate ili waone namna evolution ilivyokuwa inatengeneza Nyoka wa Aina mbali mbali wenye sumu tofauti na rangi tofauti huku wakiwa kwenye mazingira sawa.

Mkuu unanpa raha sana unapopgiria misumari kwenye hoja zako bila vurugu za udin...tofaut na jamaa mmoja hv yeye kutukana din ya wenzie bila hoja zenye mashiko ndio kaz yake
 
utupu upo utabaki kwenye fikra maana picha halisi ya utupu anaijua muumba sisi picha haiji kabisa hata ufikiri vipi utupu huwezi jua upo vipi still ndani ya utupu kuna vitu ,sasa ukitaka kujua hii ikoje ndo unaambia john8:32 hope nimeeleweka.

Ahsante mkuu umeeleweka
 
Umejitahidi sana kumwaga yale uliyokaririshwa ...

Pamoja na kukariri kwako hujamfikia Great thinker Einstein, "science without religion is lame, religion without science is blind.
.

Kukariri sio kosa,ndo mana na wewe hata wewe umecomment hapa zaidi ya mara ,maana yake ni kwamba umekariri la sivyo ungepozea uzi.Hata kuitaja tarehe yako ya kuzaliwa,ama hta ulichofanya jana maana yake umekariri.

Kuhusu kumfikia Einstein,nani kakwambia kwamba mi nina malengo ya kumfikia ama hata tu kijifananisha naye!?sina haja hiyo.
Tafuta kitabu changu kinaitwa Free ideas (2008/9)usome may be utapata maarifa,(Tsh.15000,)
 
hicho kitabu ni mawazo ya mtu mwingine mawazo yako ni yapi?? hate cramers Free ideas
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom