Someone Buddhify me

Shukrani mkuu hivi vitabu vizuri Sana..! Nipo naendelea kusoma ila nimekuja kuona kuna tofauti sana Kati ya Buddhism na Imani zingine

At least huku mtu unaruhusiwa kuwa free minded,unaruhusiwa kuhoji, unaruhusiwa kukosoa na zaidi ni kwa sababu huku nimeona kuna rational understanding na sio irrational beliefs

Ngoja niendelee nione nitatokezea wapi
 
Niliwahi kwenda kwenye meditation sehemu mmh room inatisha balaaa nikaogopa nikaacha
Kulikua na mapicha
Image tofautitofauti
 
Naam.

Kama upo Dar unaweza kuwatembelea Buddhist Temple Upanga kona ya Mindu na Maliki St.

Wana maktaba ina vitabu vingi pia.
 
Hello,

Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili.

I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara.

Someone please buddhify me.
Unahusiana na Mh. January Makamba?
 
Mkuu Kiranga, unapoongelea kuwa personality ya mtu ni illusion, unaongelea kiimani au kisayansi? nieleweshe kama hutojali
 
Mkuu Kiranga, unapoongelea kuwa personality ya mtu ni illusion, unaongelea kiimani au kisayansi? nieleweshe kama hutojali
Kwanza kabisa sijaongelea personality ya mtu, nimeongelea nafsi ya mtu. Hayo ni mambo mawili tofauti.

Hakuna popote nilipotumia neno personality. Personality ya mtu inaweza kuwepo, ikawepo consistently. Huyu mcheshi, huyu kiburi, huyu mpole.

But the self does not exist, there is no scientific way to isolate the self (apart from the mind, psyche etc).

Kiimani unaruhusiwa kuamini chochote na hivyo haina hata haja ya kujadili.
 
Kama unapata muda unaweza tembelea temple yao kwa Dar ipo Muhimbili. Me huwa naenda kwa ajili ya Meditation kila jumapili.
Sawa mkuu nataka niende kesho,, ipo muhimbili sehemu gani??
Na ni kila jumpili tu au hata sku yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…