Someone Buddhify me

We're together,ukipata nishtue. I need to be awaken. Mana hili liubongo lipo Kama maji ya mtoni muda wote linatembea nahitaji nilitulize angalau kwa siku one hour
Kama unapata muda unaweza tembelea temple yao kwa Dar ipo Muhimbili. Me huwa naenda kwa ajili ya Meditation kila jumapili.
 
Nipe elimu mkuu, Nilijua budha ni mmoja
Buddha hata wewe unaweza kuwa maana yake unatakiwa ufike nirvana. Currently wewe upo samsara yani level ya kuzaliwa na kufa na kuzaliwa tena so unaweza zaliwa mara nyingi mpaka ukafika mzao unageuka Buddha ila sasa katika kuzaliwa unaweza ibukia huko hell ni sehemu ya redemption.. Ni hatare.. Just Google Buddhist hells
 
Hello,

Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili.

I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara.

Someone please buddhify me.
Zamani tunakua, budha lilikuwa ni tusi!

Mtu akikuambia: "wee budha(buda) mnashikana kupigana, sasa nashangaa unauomba kwa mtu akusaidie!

Tz hao watu au hayo madhehebu yapo kweli?
 
Buddha hata wewe unaweza kuwa maana yake unatakiwa ufike nirvana. Currently wewe upo samsara yani level ya kuzaliwa na kufa na kuzaliwa tena so unaweza zaliwa mara nyingi mpaka ukafika mzao unageuka Buddha ila sasa katika kuzaliwa unaweza ibukia huko hell ni sehemu ya redemption.. Ni hatare.. Just Google Buddhist hells
Ni wangapi waliofikia nirvana?
 
Mkuu ile ni wahindu au wabudha?
Am not sure. Hizo temple zao I don't know how to classify them well.
Ila na Africa inabidi tushikilie dini zetu mpaka wengine wazitamani pia kuingia. Mana hao jamaa nguruwe ngozi wote wako na msimamo na dini zao kasoro sie brown black color ndio tuna shobo zao. Inabidi tuwe na dini yetu yenye mlengo wa watu weusi. Hii Ni fursa ujue Mana namie huwa natafuta dini yenye originality of Africa continental inakosa. Mpaka majina yanabadilishwa ya kwetu kuwa hayafai , chakula,mavazi mpaka namna ya kula yaani huwa naumia mno afrika kupoteza kacha yetu.
Mungu bariki Africa yetu asili irudi.
 
Back
Top Bottom