Kama unapata muda unaweza tembelea temple yao kwa Dar ipo Muhimbili. Me huwa naenda kwa ajili ya Meditation kila jumapili.We're together,ukipata nishtue. I need to be awaken. Mana hili liubongo lipo Kama maji ya mtoni muda wote linatembea nahitaji nilitulize angalau kwa siku one hour
Wanapokea wabantu mkuu. Sema mie Niko mwanza sijui Hawa walioko makoroboi wanakubaliKama unapata muda unaweza tembelea temple yao kwa Dar ipo Muhimbili. Me huwa naenda kwa ajili ya Meditation kila jumapili.
Unapokelewa bila shaka. Meditation kila mtu anaweza kwenda jifunza.Wanapokea wabantu mkuu. Sema mie Niko mwanza sijui Hawa walioko makoroboi wanakubali
Ngoja nitakuja niwacheki siku nikiwa poa mentally na tayariUnapokelewa bila shaka. Meditation kila mtu anaweza kwenda jifunza.
Not as a person, but as an illusion.But that illusion exists right?
Buddha hata wewe unaweza kuwa maana yake unatakiwa ufike nirvana. Currently wewe upo samsara yani level ya kuzaliwa na kufa na kuzaliwa tena so unaweza zaliwa mara nyingi mpaka ukafika mzao unageuka Buddha ila sasa katika kuzaliwa unaweza ibukia huko hell ni sehemu ya redemption.. Ni hatare.. Just Google Buddhist hellsNipe elimu mkuu, Nilijua budha ni mmoja
Nielekeze hasa hapo kwenye meditation.Unapokelewa bila shaka. Meditation kila mtu anaweza kwenda jifunza.
hahahahaaaaHello,
Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili.
I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara.
Someone please buddhify me.
Zamani tunakua, budha lilikuwa ni tusi!Hello,
Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili.
I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara.
Someone please buddhify me.
Then what of 'me' exists?Not as a person, but as an illusion.
This is a central teaching of Buddhism. If you want to master Buddhism, you have to master this.
Ni wangapi waliofikia nirvana?Buddha hata wewe unaweza kuwa maana yake unatakiwa ufike nirvana. Currently wewe upo samsara yani level ya kuzaliwa na kufa na kuzaliwa tena so unaweza zaliwa mara nyingi mpaka ukafika mzao unageuka Buddha ila sasa katika kuzaliwa unaweza ibukia huko hell ni sehemu ya redemption.. Ni hatare.. Just Google Buddhist hells
Yapo naskiaZamani tunakua, budha lilikuwa ni tusi!
Mtu akikuambia: "wee budha(buda) mnashikana kupigana, sasa nashangaa unauomba kwa mtu akusaidie!
Tz hao watu au hayo madhehebu yapo kweli?
Wapo makoroboi sehemu gan?Wanapokea wabantu mkuu. Sema mie Niko mwanza sijui Hawa walioko makoroboi wanakubali
Each millisecond a different you exists.Then what of 'me' exists?
Is it all an illusion?
Hujui hii temple ambayo wahindi wanaabuduWapo makoroboi sehemu gan?
Wanakufundisha Mkuu.Nielekeze hasa hapo kwenye meditation.
Wanafundisha au unajiongoza mwenyewe?
Mkuu ile ni wahindu au wabudha?Hujui hii temple ambayo wahindi wanaabudu
Am not sure. Hizo temple zao I don't know how to classify them well.Mkuu ile ni wahindu au wabudha?
Well then there must have existed a billion trillion me'sEach millisecond a different you exists.