Somebody uuuh..... With Kasie....

Somebody uuuh..... With Kasie....

Aaaaah!!!!!!! Kumbe badala ya kufanyakazi niliyokutuma umeishia kutanua na Mr. Man?

Siku 2 sasa Kampuni hatujapata ripoti ya kazi unazozifanya huko.
ripiti gani unayosubiri!!? ripoti ndo hiyo ameweka humu jf.. ichukuwe ifanyie kazi
 
Hayaa kumekucha tenaa. ....... asiye na mwana aeleke jiwe hehee heee

Kwa mtindo huu... 2016 iwe na miezi 36 looh ndo iingie 2017 hahahahhaa yaani ni raha juu ya utamu chungu zote zinatemwa ptuuu.

As usual Kasie is nasty and crazy enjoying the sea breeze while cruising on a super luxury boat with somebody...... Mr. Man....

Maswali yanaanza sasa.... yuko wapi huyu kibibi? hapa bongo kuna boti gani
la luxury?. ... hehehheheee

Kila leo namshukuru maulana kwa siku iendayo juu yangu na kumuomba sana anipe na aniongezee siku zangu za kuishi duniani maana..... nikitafakari huwa naishia kusema nilichelewa wapii.
Katika kumshukuru maulana huwa namshukuru na kumheshimu sana aliyenisaidia kupata kibarua hiki kipya ndo kimezaa hayaa ya sasa yaani ni raha ndani ya roho. Maana nafanya kazi huku naishi yaani nainjoi maisha, saa nyingine huwa nawaza tuu hivi hii nafasi ingenijia tangu niko 30 yrs kamili ingekuwaje...... maana hapo ndo utambuzi unaanza.
Ila kila jambo na majira na wakati wake hata kwa wakati huu bado nafurahia maisha vile ego esteem from within me reveal to the outside haaa am happy and enjoying.

Iko hivi..... baada ya likizo fupi ya pasaka nilirudi kazini na nikapangiwa kwenda nchi flani (.....) kwa wiki kadhaa na ndo niko kwenye hiyo nchi. Nimeiweka kapuni kwa sababu za kiintelejinsia..... Baada ya siku tatu tangu niwasili hotelini... I met this man.... hahahahaa he was on vacation alone ..........
Mambo mengi yame pita na tumeyazungumza kati yangu na Mr. Man na sitayasema hapa. Ila we click so well.... almost everything hadi dancing.... type of music kind of food hahahahahaha acha tuu hadi yale masihara na kutaniana yaani kwa mara ya kwanza tulikaa masaa 4 bila kujua kama tumekaa masaa 4 tukiwa tunaongea na kucheka na kufahamiana.
This Mr. Man is wealth enough, amekodisha boti a luxury boat, kuna wafanyakazi 3 na mimi na yeye tuu Hahahahaaa.
Acha nicheke cheke kila dakika dalili za nyege hizi na Mr. Man yuko well formed.... body structure.... akizungusha mikono yake kunikumbatia utasema niko kwenye jacuzzi yaani natuliaaaa tuliii kifuani pake hehehehehehee.

Kabla ya kukubaliana kuja kwenye hii boat aliniwekea wimbo wa Whitney akaniambia ukinikubalia maneno ya huu wimbo nitakuzawadia na wimbo wenyewe ulikuwa huu....

I wanna dance with somebody... I wanna be right here with somebody... everyday with somebody.... With somebody who loves me..iiigh. ...

Kiufupi he wanted to be alone with me for two days somewhere someplace and here we are....

He gave me a ring... not engagement... not wedding ring rather a bond ring.... we have a bond and we click so well.

I love this Mr. Man .... pamoja na mapungufu yangu... He knows how to treat me without upset me.

Heheheheee haya sasa....maswali yote mliyonayo ntayajibu ulizaaa na najua swali la kwanza litakuwa kuhusu...... J. Uliza tuu.

Kasie with somebody..... Mr. Man.

Mmuah Mr. Man!!!

Kasie.
umepata wapi kibali cha kutoka inje??
 
Hahahahahhaaa
With your noon sun, Hello!

Are you still trying to scare me off, or wewe ndio unaogopa coz unknowingly you find yourself falling?

Don't worry i will catch you when you no longer hold yourself.

My ajuza Kasie

Hahahahahahahaaa haya bana,

Kasie ni mpole sana hivo...... Wacha niwe mpole

Nisubirie kama ntanyolewa au ntachomoka bila kunyolewa maana.......

Kuna wale wanasemaga.... mi niangusage hehehehehee

Hapana mie ni Kasie aka chotara aka popo aka mbeba mizigo aka ajuza aka mla ujana na aka nyingine kibaoo.

Wacha nijiandae kwenda club nikaukemee uzee nikiendelea kuandika hapa ntausemea moyo buree

Laters buddy.
 
Hizo aka tu mie hoiii!

Nenda mama, ila at the middle of clubbing just remember theres me somewhere, probably snoring (if at all i snore) by that time dreaming about Kasie.

Kunyolewa utanyolewa tu but its up to you to decide the means, wembe, mkasi, mashine au ile hair remover......
 
Hahahahahaaa
Yaani nazidi kucheka tuu na maelezo yako wakati huo huo najua akili yako itasema Yeess anaingia line Kasie huyu hahahahahahhaaa
Kasie ni shiiiddeeer Kasie is problem.
Najua utachoka mwenyewe na kuinua mikono kama walivofanya wenzio waliokutangulia. Na ukifanya kichwa ngumu ya kuendelea kukomaa ili ufe na tai shingoni kisa tuu umnyoe Kasie ...... basi utakuwa unafanya tuu ile ufanyeje ukiacha unaogopa utaambiwa nawe umemshindwa Kasie hehehehheee

Laters buddy

Nimegundua hii series yetu imekuwa very popular ghafla, watu wanaifuatilia kimya kimya kama ya Diamond na Zarinah.

I love when unajifanya mgumu while you know you r weakening. Yaani ndio ile ya "Sitaki huku huzuii kinachoendelea" mwisho utasema "we shauri sako, sambi zako mwenyewe"
 
Hahahahahahahaaaa

You just don't know Kasie for real..... you may try to ask them (you know them ...... if you don't. .... that's a what's up). Though I know they will not tell you the truth about Kasie.

Usiniambie tayari nyuzi imekuwa ubuyu wa Zanzibar unaomumunywa na wake kwa waume hehehehehee

Sina la kusema ila.......

You read Kasie wrong.... really wrong.....

Kasie akikwambia she is sturbon. ... she is really
sturbon .... take it.

I never take things for granted, i dont take you for granted either. When i said i wanted you i meant it.

Don't fight it just let it sink pole pole
 
Wacha sasa nikwambie......
Ni hivi..... Kiukweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu japo saa ingine nikisema ukweli naambiwaga najisifia au kujielezea sifa za kijinga zisizo na tija. .. vyovyote vile watafsirivyo hivyo ndivyo Kasie alivyo.

Sikufahamu sikujui wala sijawahi kumuona Mejor Junior (M'Jr) na sina uhakika kama unanifahamu au unanijua ila hukujiuliza kwanini ombi lako nililijibu kwa kukubali na kukupa tarehe za mimi kuonana na wewe bila swali wala kusita?

Kasie ni mla maisha aka mla ujana aka mtafuna bata. Hana mume wala watoto yuko single for life, anakutana na wanaume club wanaojielewa wanakuwa na good time kisha baada ya starehe kuisha kila mtu anachukua muda wake.
Nikizidiwa na nyege wako wa kuniminya minya hata nikalainika na kuwa mwepesiiii. Maisha yanasonga.... sivunji sheria sili cha mtu siibi cha mtu. Jiulize tena..... why ombi lako lilikubalika haraka?........

Mwiko u katika mwanaume mwenye ndoa huyo ni mwiko bin marufuku kwangu....

Kasie is problem.... take it
 
Kasie, talk to me bhana don't talk to other people through me. Well i don't know why you said yes, maybe coz m not married which means kuminyana iz not illegal

By the way i will never give up on Kasie despite her on going efforts to fend me off. My darling Kasie m not planning now nor this soon
 
Mmmmhhhhh you don't know why I said yes to you so easly......???? It's because you're lucky.... you are lucky buddy. ... not for winning a lotto.... just count that you are lucky.

Now tell me...... why don't you wanna or plan to loose or give up on Kasie? What's so special..... had a deal behind Kasie. ..?

And heey.... All this time since I said yes to you was talking to you. ... how could you say was talking with other people through you....
I had this convo with you here and all people are watching and reading........you know why..? I no longer trust PM rather than means private it's public. . only that.

Ok other thing you have to get used to is.... Kasie is talkative. .... if you don't have time and ears attentively listening to her you'll easly ........ her.
How are you by the way?

I am okay, very okay since i now know how super lucky i am. When i said you were talking to other people through me is because you have been saying words like "are you sent by them? Ask them, they have failed to get me" and the likes

Wow, it's me Mr lucky
 
Hahahahahahaa wivuu wivu unamambo. ... ukizidi unakuwa kerooo na pasipo na wivu mapenzi hakuna.

Nimekuelewa japo sijui kama unanielewa msg ninayokupa hapa. Nina kawaida ya kutumia uzoefu na historia ilivyokuwa huko nyuma najua historia inajirudia.
Hapa siongei nao ila naongea na wewe kuku-alert. ....... wengi wao wali anza na moto na baadae walipoona sisomeki niko fyatu fyatu sijali A wala J haoooo taratibu wanajiondoa sasa nna wasiwasi na nahisi nawe itakuwa hivohivo..... na ndio maana nimekuwa nikiweka wazi kuwa Kasie is a problem. .. very problematic......
Am talking to you Mr. Lucky man
Am thinking of saying a thing but I see it's time is not yet.

hjdhe7647yhdwhdsbdssajsajksakjsansknsannnnnnnfwiuuuuuwer89999999999999999999999ehdbkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkadsui99tyewwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww;///////////////////////qew[qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq................................'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''',,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,cccccccccccccccccccccccccccccccccc666666666666666666666sssssssssssssssssssssssssssfbbbbbbbbbbbbbbbbbbssssssssssssssssssssssssssssssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxw22222222222
 
Nimekuelewa, maana kukuelewa ni lazima utumie forensic knowledge and i will be using that from now on.

Kasie, m never a drop out neither giving up. So we have a long way together my absolutely problematic Darling kasie
 
Musee wewe imekuwache tena mura!
 
Nimekuelewa, maana kukuelewa ni lazima utumie forensic knowledge and i will be using that from now on.

Kasie, m never a drop out neither giving up. So we have a long way together my absolutely problematic Darling kasie

Hahahahaaa oukey. ...
Won't say a more word now on, will just be following your orders.

Salute Mr. Lucky man 😉
 
Told you my problematic darling, people are following this series and i bet they love it just the way that i declare now that i love your problems
 
Back
Top Bottom