"Somebody 's me"

"Somebody 's me"

Ngoja kwanza nitafute maana ya hilo ilumbuye maana kisukuma chenu cha kinyatunzu sikiwezi....usijekuwa unanitukana....[emoji86] [emoji124]

Ahahahaaaaaaaa daaah.

Hivi kweli wewe ni Msukuma au Mnyamwezi unayejifanya Msukuma?

Kwa sababu Msukuma wa kweli..awe wa Mwanza, Shinyanga, Kahama, au Ntuzu hawezi kuuliza swali kama hilo.

Ilumbuye ni dada'ake.
 
Hivi naanzaje kutokujua maana?

Nilikuwa naongezea tu ladha jamani
 
Back
Top Bottom