AsanteeeeM,,,,,,,,,,P njooo huku Kuna mtu anakupenda mpaka kashindwa kula na kwenda chooni yaani hii njia ametumia ni nzuri niliitumia hii nilikuwa nimetoswa kwa mwaka mzimaaa Nikatangaza jina lake FB,,Kumbe Dada yake alipo Iona tu akanifuata inbox na akatuanganisha mpaka Leo tunaee ananipenda kulko mimi nilivyo mpendaa Nilikuwa chz for a moment but I got what my soul wanted,,M,,,,,,,,P come and take your Ubavuuuu
Anhaa hapo sawa ,je Kamikaze na huyu jamaa uliyemtaja wakileta posa kwenu utamchagua nani?Ehheeheheh sio bana wengine ni wa kutamani tu
Ngoja nikuache nisije nikakupeperushia ndege wakoNtachagua jamaa ,kamikaze nimekuambia ni wa kutamani tu
Badili tu,umepotea jamanii nafurah kukuona
Asanteee
Nipo,naumwa
Mtu mzima hafichwiiii yakhee
Maralia
Nimeishakufikishia ujumbe wako
Ngoja kwanza nitafute maana ya hilo ilumbuye maana kisukuma chenu cha kinyatunzu sikiwezi....usijekuwa unanitukana....[emoji86] [emoji124]Ilumbuye unaongea na nani hapo?