donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
- Da iyo ya nnge imetulia kwa kweli.
aisee nimeogopaje
mwalimu, nawe hua unafika huku?
Natamani sana kuweka tatoo sema...nipo very dark..
- Kwa kipingi kirefu nilikuwa natembelea jukwaa moja tu, lile la tech.
- Ila kwa sasa majukwaa yote najaribu kupitia ili nami kujifunza kwenye majukwaa mengine wanafanya nini.
- Kama ujuavyo mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu .