Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Duh, Papuchi sio ya sport asee, mtu anamgeuka boss wake na wakati anajua jinsi alivyo katili, ila kwa kuwa ni Papuchi hata hajali.
Asante Money Penny , nakupenda kwa shingi tano tu.
 
Money Penny asante hata km unamajukum ya ndoa na familia lkn bado unatupa raha. Ni ngumu lkn unajitahidi Mungu akubariki sana, mpendwa .
 
Mmmh hii hatari kuna vita kubwa inakuja kati ya James na Lucifer
 
James sijui kavuta bangi ya wapi,sio kwa kujilipua huko. Angemuuliza kwanza safaree bangi zote zilimtoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom