Some lemonade for you madame!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,920
14,819
"SOME LEMONADE FOR YOU MADAME" akauliza butler

"No, I don’t want". akajibu! Akiwa amelalia hammock, saa 11 jioni jua likizama, akaendelea kusema kwa sauti ya chini, mume wangu anakuja, naamini anakuja, bado namsubiria, naamini mume wangu hatoniangusha atakuja tu, weekend hii lazima nikaonane nae hotelini hata kama hatofika hapa nyumbani kwasababu ya kazi yake. Akashuka kwenye hammock akaanza kucheza blues, imagining mume wake karibu nae wakacheza kuelekea kwenye bahari!

Marafiki zake Adrienne, Carrie and Chanel wakimwangalia Doreen kwa huruma na machozi, “ siamini, tunampoteza rafiki yetu kwenye ukichaa, na huyu mumewe kwani yupo wapi lakini anaemzungumzia kila saa? akauliza Channel


“Yuko wapi binti yake Sandra, tumemsubiri zaidi ya masaa 2 sasa” akauliza Adrienne.

“Nakuja jamani, huku anakimbia, samahani nilienda kuchukua keki ya mama, samahani kwa kuwaweka mama zangu, shikamooni wote,” akasema Sandra

“Marahaba”, wakajibu kwa pamoja.

“haya tufanye haraka, mimi natakiwa kuwahi airport nasafiri kwenda Geneva, nina kikao kesho asubuhi na ndege inaondoka saa 4 usiku hata sijapaki nguo” akasema Carrie.

Wakatandika nguo nzito wakatengeneza picnic ndeefu, huku wakimwangalia Doreen, akicheza kuelekea baharini. “Mama hapana jamani, usiende huko”, akaita Sandra, usije ukazama huko, huku akimkimbilia kwa nguvu kwenda kumtoa kwenye maji, akamfunika na taulo na kumfuta, wakarudi kwenye picnic. Saa 12 jioni na jua lilikuwa limeshazama, wakakaa wakala na kunywa, wakamwimbia happy Birthday Doreen, tunakupenda sana na tupo kwa ajili yako daima. Doreen aka-smile, “nawapenda pia marafiki zangu na mtoto wangu mzuri”.

MIAKA 10 ILIOPITA.

“Jamani, kesho twendeni kanisani, kuna mkesha wa singles, for 2 hours only, I mean it’s Friday midnight na hatuna cha kufanya, hatuna mabwana, hatuna hela kiiivyo, tumejichokea, bora twende kwa Bwana YESU, tukalale huko huko at least atatukumbuka!” akasema Adrienne.

Doreen said, “NIMECHOKA NA MAMBO YA KANISA ASEE, nimeokoa miaka 13 iliopita, bado naishi kama mtumwa, mfungwa sina raha maisha yangu hayaendi, I don’t think I can go”, church is there to mess up our sex life anyway, so i don't think am in."


Carrie, “well sina cha kufanya Friday night anyway, kwahiyo nitaenda”

Chanel, “ poa nitaenda, ila kuna huyu mume wa mtu anataka aje alale kwangu ijumaa, nimemchooooooka, kwanza mbahiiiiiiiliii afu ananiletea maupwiru yake haachi hata sumni akiondoka. hanisaidii kitu, ngoja nimpigie kwanza, afu nimweke loud speaker, mumsikie atasemaje”

Phone ringed, voice call came out,” alaaaaaaaaaaaaaaah wakkkkkkkkkkkkbarrrr alaaaaaaaaaah wakbar, ashwarwaaaailaaa yainlah aulwaaaaaaa, ashwarwannnnnnnnn, namuhamuuuuuuuuuuuu namuuuuuuhamad alaaaaaah ashwanlaaaaa, inlah lwaaaaaa, yahinlanlwaaaaaaaaaa,”

Baada ya kuita dk 2, Simu ikapokelewa.

Married Man: Hello Baby, nambie, sorry nimechelewa kupoikea nilikuwa nanawa mikono nimetoka msalani.

Chanel: Daddy pole kwa usumbufu, nilitaka kukwambia kesho sitakuwepo nyumbani, silali nyumbani kesho.

Married Man: hautakuwepo kivipi wakati mimi nimeshaaga kwa mkewangu nasafiri ili nije kuspend weekend na wewe?

Chanel: naenda kanisani kwenye mkesha wa mabinti, so nadhani nitarudi jumamosi saa 1 asbh

Married Man: ahaaa, ushapata bwana mwengine nini ndio unaanza vituko? ina maana umetupanga sio? uyo kesho, mimi siku nyingine? haya mama, wewe niombee na mimi, nitakuja jumamosi saa 1 usiku basi”

Chanel: akakata simu, naona na mimi naenda mkesha sasa. natumaini Mungu wako ni mkweli this time, sitaki kumess up my 30’s like my 20”s Adrienne.

Doreen akasema aya basi nitawasindikiza wapendwa wangu, maana sina hata cha kufanya, nimekaa nyumbani miaka 4 bila ajira, nikikaa tena ndani on friday night nahisi nitapasuka, kwahiyo ngoja n iende tu.

Wote wakacheka, wakiwa wamekaa wakila na kunywa, THE SLIP WAY. Yani um-by-pass Mungu for that married man, hata shetani atakushangaa” said Adrienne.

"Ok after mkesha tunaenda wapi? i mean Saturday night, au ndio kwa Dj John Deling tenaa? Maana Carrie amekukrem huko kiila weekend tupo huko asee, no wonder we are single” said Chanel

“NOOOOOOOOO”, wakajibu wote.

ITAENDELEA..
 
"SOME LEMONADE FOR YOU MADAME" asked the waiter

"No, I don’t want". She replied! Akiwa amelalia hammock, mida ya saa 11 jioni on sunset, akaendelea kusema kwa sauti ya chini, pilot is coming, I know he will come, am waiting for you my pilot, you never delay any promises you, lord knows he is coming, this weekend I must go and see him at the hotel,

Akashuka kwenye hammock akaanza kucheza blues, imagining him close by all the way to the beach waters!


Marafiki zake Adrienne, Carrie and Channel wakimwangalia Doreen kwa machozi, “ I can’t believe we’ve just lost our friend to the insame department, and where is this God damn pilot she keeps on singing about?” said Channel

“Yuko wapi binti yake Sandra, tumemsubiri zaidi ya masaa 3 sasa” said Adrienne.


“Nakuja jamani, huku anakimbia, samahani nilienda kuchukua keki ya mama, samahani kwa kuwachomesha mahindi mama zangu, shikamooni wote,” said Sandra

“Marahaba”, wakajibu kwa pamoja.

“haya tufanye haraka, ninatakiwa kuwahi airport nasafiri kwenda Geneva, nina kikao kesho asubuhi na ndege inaondoka saa 4 usiku hata sijapaki nguo” said Carrie.



Wakatandika nguo nzito wakatengeneza picnic ndeefu, huku wakimwangalia Doreen, akicheza kuelekea baharini. “Mama Noooo, usiende huko”, said Sandra, usije ukazama, huku akikimbia kwa nguvu kwenda kumtoa kwenye maji, akamfunika na taulo na kumfuta, wakarudi kwenye picnic. Saa 12 jioni na jua lilikuwa limeshazama, wakakaa wakala na kunywa, wakamwimbia happy Birthday Doreen, we love you so much and we are here for you always. Doreen aka-smile, “love you too guys, and my gorgeous daughter”.

10 YEARS AGO.

“Jamani, kesho twendeni kanisani, kuna mkesha wa singles, for 2 hours only, I mean it’s Friday midnight na hatuna cha kufanya, hatuna mabwana, hatuna hela kiiivyo, tumejichokea, bora twende kwa Bwana YESU, tukalale huko huko at least atatukumbuka!” said Adrienne.


Doreen said, “am tired of church, I do, I’ve been saved for 13 yrs and i still live in hell, I don’t think I can go”, church is there to mess up our sex life anyway, so i don't think am in."


Carrie, “well sina cha kufanya Friday night anyway, so am in”

Channell, “ ok am in, though I have that married man, who wants to spend the night with me Friday night, nimemchooooooka, kwanza mbahiiiiiiiliii afu ananiletea maupwiru yake haachi hata sumni akiondoka. hanisaidii kitu, ngoja nimpigie kwanza, afu nimweke loud speaker, mumsikie atasemaje”

Phone ringed, voice call came out,” alwaaaaaaaaaaaaaaa wakbar alwaaaaaaaaaa rwakbar, ashwarwaaaailaaa yainlah aulwaaaaaaa, ashwarwannnnnnnnn, namuhamuuuuuuuuuuuudamohamunlwaaaaa,aaaaaa, ashwanlaaaaa, inlalwaaaaaa, yah inlanlwaaaaaaaaaa,”

Baada ya kuita dk 2, Simu ikapokelewa.

Married Man: Hello Baby, nambie, sorry nimechelewa kupoikea nilikuwa nanawa mikono nimetoka msalani, vipi?

Channell: Daddy pole kwa usumbufu, ila kesho sitakuwepo

Married Man: hautakuwepo kivipi wakati mimi nimeshaaga kwa mkewangu nasafiri?

Channell: naenda kanisani kwenye mkesha wa mabinti, so nadhani nitarudi jumamosi saa 1 asbh

Married Man: ahaaa, ushapata bwana mwengine nini ndio unaanza vituko? ina maana umetupanga sio? uyo kesho, mimi siku nyingine sio? haya bwana, wewe niombee na mimi, nitakuja jumamosi saa 1 usiku then”

Channell: akakata simu, I guess am in then, mkesha it is. I hope your God is right this time, sitaki kumess up my 30’s like my 20”s Adrienne.


Doreen akasema aya basi nitawasindikiza wapendwa wangu, maana sina hata cha kufanya, nimekaa nyumbani miaka 4 bila ajira, nikikaa tena ndani on friday night nahisi nitapasuka, so i'll go.

Wote wakacheka, wakiwa wamekaa wakila na kunywa, cape town fish market. Yani um-by-pass Mungu for that married man, hata shetani atakushangaa” said Adrienne.

"Ok after mkesha tunaenda wapi? i mean Saturday night, au ndio kwa Dj John Deling Kempisnki tenaa? Maana Doreen utadhania amekukrem huko kiila weekend tupo huko asee, no wonder we are single” said Carrie

“NOOOOOOOOO”, wakajibu wote.


ITAENDELEA KESHO SAA 10 JIONI.







Sio mchezooooooooooo daah,mambo ya pilot yamekuja Jamii forum?
 
“ Mimi naona baada ya mkesha tukae tu nyumbani, mje kwangu tufanye sleep over ya Saturday then we can plan twende wapi on Saturday night and sunday” akasema Doreen.

Wote watatu wakakubali, ila Chanel akasema sasa na huyo sugar daddy wangu inakuwaje?

Wenzake wakamwambia, tunazima simu yako tunaifungua jumapili mchana, asituletee nyodo. “ It’s about time u upgrade your ward-robe when it comes to men, huyo mume wa mtu hata tsh 10 hakupi, sasa unampa kipaumbele cha nini labda wakati yeye ni mnyonya damu tu kwenye maisha yako?” akaongea Carrie. kwahiyo wote wakakubaliana.

“kwahiyo, Doreen, kwenye mkesha utamwomba nini Mungu? Akupe nini? Kazi, mume, hela, biashara, au uraia wa ulaya?!” akauliza carrie.

Doreen akamjibu, “mh!, my dia’s. Am 32 yrs old, am not growing any younger you know! I need a man, grown man, aged 44-47 yrs, single, rich and successful is not enough for me, a man atakae ni take care to the fullest, who will love me just like Christ loved the church. I need a wealthy man, Christian, loving, with that huge penis staki kibamia kabisaa maana si kwa wowowo hili la JLO Kim Kardashian mixed with Beyonce” wote wakacheka. “That’s my everyday prayers”, said Doreen, “so kesho naenda kumkumbusha Mungu tu wala sina maombi mengine”.

Enhe mama pupils Adrienne, wewe unaenda kumwambiaje Sir God!?, akauliza Carrie.

Sawa tu na Doreen, ila 44-46 hapana asee, labda kuanzia 38-41 yrs. Ah, wale wanasugua vizuri maku we acha!, hao wa Doreen wamechoka!” wote wakacheka.



“Na wewe mama sugar daddy Chanel?”, akauliza Carrie, “Me kwakweli kubeba misalaba ya waume za watu nimeshachoka afu wala sipendi, basi tu hata sijui huyu bwana kaniloga?! Ila kwakweli me Mungu anisamehe tu sio kwamba napenda kutembea na waume za watu, ila kiukweli alivyosema Doreen nakubaliana nae, wale aged men 44-47 wanajua kupenda, ku care, no stress, also awe single, kwahiyo kama bwana atajibu maombi ya Doreen na mimi yangu yatakuwa yamejibiwa. Ila mimi napenda wanaume warefu weupe ila sio wazungu kama bibie carrie!”



Carrie akajibu, “eh mh hapo kwa wazungu kama umenikuna mwana, mimi siungani na yeyote kati yenu, kwanza wanaume wa kitanzania wamechooka, wanakera kwakweli, hata siwapendi, Mungu aniletee Mzungu, mrefu mfupi hata sijali, ilimradi mzungu, aged 40-43, hao ndo wametulia kwa wazungu, Christian, rich, I believe in richness, maana richness kwa wazungu is wealthy kibongobongo, so that’s all for me na pia awe single.”
“What about Paul?! mpenzi wako wa miaka 10 wa chuo?!” wakamuuliza. Utamuachia nani Paul?!


“Tafadhali yani wala sitaki, msinikumbushe hilo jina, kwanza naenda kumshitaki kwa Yesu kesho, simtaki kabisaa,” akajibu carrie kwa hasira.

“Kulikoni tenaaa? 10 yrs rlshp alafu unamtupa Paul nje?” akauliza Doreen. “yani nyie niacheni tu nisije nikaanza kulia, iyo miaka 10 ya mahusiano utadhani nimepelekwa Jela, ni sheedah, mapenzi yangu kwake yalishaisha tulipofika mwaka wa 5, baada ya kuanza kuwatongoza wafanyakazi wenzangu benki, kalala na waimba kwaya kanisani kwetu hadi aibu, mpaka kanisa naliona chungu kwenda, afu vidada vyenyewe vya kanisani vilivyo vilughalugha, basi vikishaliwa, vinakuja kwangu na mapozi kuniringishia, yani am not in a relationship anymore, I broke up with Paul last week before harusi ya Katarina, basi tu nimewaficha maana ni mshenzi.” Akajibu Carrie

“Now am single and ready to mingle! Only Heaven knows my heart, I crave for the best man in my life eveeer.” Wenzake wakabakia midomo wazi, ‘is the relationship really over au wanatuzuga hawa? Maana ndio kawaida yao, kuwa on and off kama umeme wa Tanesco!”

FRIDAY NIGHT:


“Can I get an AAAAAAAAAAAAAAMEN?!” SAID THE Pastor! “AAAAAAAAAAmen”, Wakajibu Mabinti.

Ulikuwa usiku wa mkesha wa singles kanisani; Doreen, Carrie, Chanel na Adrienne hawakukosa, wote wakiwa kwenye early 30’s,single and confused, life was a turn off to them. Wakasema come hell, come hot water, lazima wote tupate waume toka kwa Mungu, tumechoshwa na hivi vipima joto wanaoitwa pupils kwenye maisha yetu, we need real men, older men, wiser men, stronger men, loving & caring men, wealthy men, tumechoka na mission town men, so tonight by fire by thunder, the Lord must act accordingly, faster Ooo! Wakajisemea mioyoni mwao wote.



Mkesha ulikuwa na wasichana 30 na wavulana 3, Pastor akashituka, akaanza kuwauliza, “mbona hamna wavulana humu? kanisa limejaa wakina dada, tena wazuri. Yani inamaana hawa wanaume wa kiTanzania hawawaoni au? nyie wote ni warembo, wazuri, basi kama hamna wanaume tuanze kumwomba Mungu awaletee foreigners wawaoe”.

Carrie akasema “AAAAAAAMEN Pastor” kwa nguvu mpaka Pastor akamuona, akamwambia I like your loud Amen, na Mungu akupe! Wenzake wakaanza kumcheka.

Basi mkesha ukaendelea, likaanza neno, baadae maombi, walipokaribia kumaliza, mchungaji akawaita mbele ya madhabahu, akawaambia wale walio kwenye mahusiano warudi nyuma, wale single kabisa wabaki mbele. So akina Adrienne, Chanel, Carrie, Doreen pamoja na wadada wengine 12 wakabaki mbele. Mchungaji akawaambia wale waliobaki mbele waanze ku imagine waume ambao wanatamani Mungu awape, na kuanza kuomba.. wale waliorudi mstari wa nyuma waandike majina ya wanaume wanaowapenda, majina 2 ya huyo mwanaume, then waanze kuwaombea, akawafundisha jinsi ya kuomba na kuwaombea wapenzi wao kwa muda wa dk 45 wakamaliza maombi, hapo ilikuwa saa 8 nanusu usiku, wakafunga ibada wakatawanyika kwenda kulala kwenye mabenchi ya kanisa, wakisubiria kukuche waondoke. Wakaamini Mungu amesikia maombi yao.

Asubuhi saa 12 ilipofika wakaondoka kwa pamoja kwenda kwa Doreen, kulala vizuri maana mabenchi sio sawa na vitanda. Wakalala mpaka saa 7 mchana wakaamka kunywa chai. Walipokuwa katika mlo, Carrie akawauliza, vipi maombi jana yalikuwaje? Hamkulala kweli? Wakacheka wote, Chanel akasema, “ yalikuwa mazuri sana, natamani niwe naenda kila siku, asante Doreen kutupeleka.”

Carrie akawatania, “ kwahiyo Doreen na Adrienne ndio pekee mlilala wakati wa kusali sio?” wakasema hapana wee, tulikuwa serious, Doreen akasema “jamani mimi nahisi jana nilitoboa Mbingu na Mungu akashuka mzima mzima!”

Carrie akadakia, “Oh Jesus! Here we go again” Doreen akasema ni kweli jaman, basi wakati wa maombi, mie nikasikia CIA, CIA, ah sasa sikuelewa nikadhania labda mchungaji anamuombea mtu karibu yangu, kugeuka kumbe nipo mwenyewe nimejibanza kwenye kona. Ah basi nikaendelea kusali baada ya NUSU saa nasikia tena sauti inasema CIA is coming to your life,” sikuelewa nikaona naanza kuchanganyikiwa, nikahisi labda shetani yupo nyuma yangu, tulipoitwa mbele wakati tunaambiwa tu imagine sura za waume tunaowataka na jinsi walivyo, nikaiskia tena ile sauti inasema CIA to you I give!”


Doreen akaendelea na maelezo yake, akawaambia mimi sikuelewa hiyo sauti, na sijawahi kuisikia iyo sauti tangu nakuja duniani, but its was real, clear like crystal. Wenzake wakashangaa, wakamwuliza are you sure your not hilusinating au akili inakuruka na hivi hauna kazi? Doreen akawaambia wala it was real! Wenzake wakaangaliana wakanyamaza.



Adrienne akamwuliza carrie, enhe na wewe jana usiku haujasikia mzungu anakuja? Wakacheka woote, carrie akasema yani nilivyomchora Yule mzungu kwenye mindset yangu, utadhania Mark Wahlberg au Arnold Schwarzenegger, jinsi nilivyompelekea barua Mungu ya nguvu kuhusu mzungu ninaemtaka, nahisi Mungu anakazi ya kuninyofolea kuniletea Africa right now, sitaki masihara na Muumba na naamini ataniletea ila sijaskia sauti kama mama Yesu Doreen, wakaishia kucheka.

Adrienne nae akasema mimi pia sijasikia sauti yeyote toka Mbinguni ila nilikuwa na amani sana moyoni, sasa sijui Mungu ananiokoa na pupils this time au? Hata sijui.


Chanel akadakia me either, sijasikia sauti ila amani moyoni na sidhani kama Mungu atamrudisha huyu sugar daddy tena, alipomaliza kuongea mara simu yake inaitwa, kuangalia ni sugar daddy wake, akapokea akaweka loud speaker,

Sugar Daddy: baby uko wapi? Nipo hapa mlangoni kwako nabisha hodi sifunguliwi lkn gari yako ipo nje, vipi uko ndani? nifungulie basi.

Chanel: sipo nyumbani, tangu nimeenda mkesha nikarudi kulala kwa Doreen maana nikaribu na kanisani kwao,nadhani nitarudi kesho mchana maana usiku leo tunatoka tena.

Sugar Daddy: sikuhisi haushikiki mtoto, au umeshapata mshefa mwengine anayekupa hela? Mimi si nimefulia ndio maana unanitupoa nje, sawa bwana we baki na Bwana Yesu ngoja nikatafute hotel ya kukaa mpaka j3 nirudi kwa mke wangu. Simu ikakatwa.

Wenzake wakampigia makofi chanel, bravo my friend, ivyo ivyo mwishowe ataondoka, hayo ndo majibu yamejibika, chezea mkesha wewe! Wote wakaanza kucheka.


Wakati wanakula, channell akasema, jamani huu urafiki wetu una miaka mi 5 sasa tumeshakuwa kama ndugu naomba tusiachane no matter what, come hell come hot water we will always be together, men, children, sickness, work, business, faith visitutenganishe, tusijekuwa kama wale boring married couple ambao wakioana wanaachana na marafiki zao wa zamani kisa majukumu ya ndoa; si mmeona wanaume walivyo lkn? Undugu wetu udumu mpaka kwa vitukuu vyetu. Wote wakakubaliana, wakagonga cheers, Here! Here!

Carrie akasema, na pia tusifichane mabwana tunaowapata, inatusaidia kukua ki akili na kuepushana na shari kama kuibiana mabwana, kuwakimbia mabwana washenzi, maana umri umeenda hakuna tena ku date miaka 2-10 hapa, sisi tunataka kupata waume wa kutuoa na ku settle down; pia dating isiingilie our friendship time, maana dada Adrienne is all emotional, akipata bwana tu anafocus kwake mia mia utadhania huyo bwana ni Mungu wake. Wakacheka wote.

Jioni wakatoka wakaenda Sea cliff hotel for dinner, kufika huko, wakakutana na ex wa Adrienne ana rumba na binamu yake, Adrienne alishtuka hapo hapo na kuanza Kusikia kutapika maana hakuamini macho yake, huyu ex walikaa kwenye rlshp miaka 5, baadae Carrie akamfumania slip way na best friend wa Adrienne anayeitwa Upendo, akaamua kuwapiga picha na kumcomfront adrienne’s ex kuwa anachokifanya sio, ukawa ugomvi mkubwa mpaka carrie akapigwa ngumu na ex wa Adrienne akavimba jicho ikabidi waliokuwepo around wamkimbize hospital maana jicho lilivia damu, ndio siri kutoka hospital kuwa alimfumania ex wa Adrienne na alipom-comfront mwanaume akampiga. Adrienne mahusiano na Yule ex yakaisha kwa uchungu sana, mpaka akaamua kuacha kazi kwenda kukaa kijijini Tabora kwa wazazi wake miezi 8 kuuguza fumanizi, maana ndio alikuwa 1st man wake na ndio aliembikiri, kumbe ex alikuwa kicheche hatari, sasa kumkuta na ndugu yake wa damu aliona kama anakufa. Ikabidi wamtoe nje akatapikie karibu na bahari.


Wakaona bora wabadilishe location wakaenda kunduchi beach hotel, maana huko ni karibu na kwa Doreen na j2 walipanga waende kanisani tena pamoja.

Walipofika kunduchi beach hotel, kulikuwa kumejaa sana, live band, wazee na vijana wa kike na kiume, couples mbalimbali basi tu wote wanafurahi, walibahatika kupata meza ya watu wane wakawa wanakula dinner huku wanaangalia na kusikiliza ligve band. Baada ya dakika 20 kupita wakiwa wamemaliza chakula, akaja kijana, anaonekana kijana wa makamo, akawasalimia alafu akamgeukia Doreen kuomba wacheze nae mziki. Doreen akakataa akasema leo sijiskii vizuri, kijana akamwambia basi naomba company yako maana nipo mwenyewe pale na nyie mpo wane, nadhani hamtojali mimi kumuiba rafiki yenu. Wote wakamjibu we do mind, tupo kwenye girls night out. Kijana akasema by the way my name is James, here is my business card, you can call me sometimes, I love to go out with you. Doreen akapokea card akasema asante. James alivyoondoka, wenzake na Doreen wakasema shoga una nyota kali! Tayari ushapata bwana hata hatujapumua? Au ndo huo mshepu umemzuzua huyu Jaaaaames! Hahahahaha, Enhe embu tuone anafanya kazi gani asije akawa msanii. Kuisoma ile business card, James alikuwa anafanya kazi wizara ya mambo ya nje.
Carrie akadakia hapo hapo shogangu wala usiache kumpigia, akaichukua ile namba akaisave kwake, baadae akamrudishia Doreen akamwambia shogangu wewe navyokujua utaitupa so nimeisave, usipompigia me nampigia nampa no yako. Wote wakacheka.




Wakati wanataka kutoka sasa warudi nyumbani, Chanel akaseme ngoja niende kwanza washroom alau tuondoke, akafika washroom wakati anarudi akagongana na mwanaume nae anatoka chooni, chanel akaanguka chini. Yule kijana akamwomba msamaha huku anamwinua, samahani sana mrembo, wala sikukuona. Chanel akasema “hamna shida next time watch where your going.” Kijana akasema hamna neon nitafanya ivyo, lkn nguo yako imechafuka na imelowana, sidhani kama itakuwa vizuri kwenda hivyo mbele za watu, nisubiri hapa nakuja. Kijana akaenda baada ya dk 15 akarudi na mtandio mzito, hii hapa mrembo jifunike, channell akajifunika akamwambia nashukuru. Kijana akajitambulisha, naitwa Mark samahani nimeshindwa hata kujitambulisha tangu mwanzo, Chanel akasema hamna neon ila naomba unisaidie kitu kimoja, meza ya 3 kule restaurant utaona wamekaa wadada wa 3, naomba uwaite waje uwaelezee sitaweza kufika huko, waje tuondoke nawasubiria hapa, na pia nimeacha vitu vyangu vyote huko.

Mark akatoka akaenda kuwaita akina Doreen, carrie na Adrienne, wakati wanajiandaa kumfuata washroom, Mark akauliza nimeambiwa nibebe mizigo yake nimpeleke, Doreen akampa simu ya Chanel akamwambia huu ndo mzigo wake mpelekee, so Mark akachukua ile simu akaongoza msafara wa washroom, katikati akaifungua ile simu akajipigia kwake ili aisevu namba ya channel. Alipofika washroom akamwambia channel hawa hapa marafiki zako, samahani sana kwa usumbufu, here is my business card, I would love to take your clothes to dry cleaner, to make it up to you! Chanel akamwambia haina haja, uwe na amani, Carrie akaichukua ile business card akasema atakupigia, kaka nani tena, Mark akajibu, Mark!, carrie akasema yes, Mark, she will definitely call you thank you. Wakaondoka zao kurudi nyumbani.

Njiani wakaanza kucheka na kuhadithiana, carrie akaanza, “could this night get any younger, yani Doreen na Chanel wana nyota kali asee, washapata mabwana already, kweli hii serikali ya nne watu wanatembelea nyota, mimi na Adrienne wakavu hadi aibu. Au turudi tena pale pale tukakae maana nahisi kama tumeondoka mapema huenda mimi na Adrienne tungepata mabwana, wote wakacheka.



Walipofika nyumbani, Adrienne akasema, “jamani mimi nimempenda sana Mark, anaonekana anaupendo sana, am preety sure chanel na Mark will make a great couple”, Carrie akadakia, “ina maana haukumpenda James? eti Adrienne ulimpenda James au?” Chanel akasema, “kusema kweli I didn’t like James, am sorry Doreen, he looks married to me and he had this weird eyes, macho ya kijanja janjaa”, Adrienne akadakia, “ni kweli hata mimi nilipata the same vibe when he walked in, so I don’t know, I reaaly can’t judge”

Carrie akasema “well, he looks rich to me and that’s your bonus, tena watu wa mambo ya nje hao ndo wazuri, na hivi shogangu hauna kazi jihesabie kuwa ushapata bonge la bwana, tumechoka kukuchangia nyumba, msosi, utadhani tunalipa PAYE kwa serikali, better get a man faster who will take care of you, like Caroline!”

Doreen akaingilia kati, “speaking of Caroline, are we going to that big wedding?! We have to otherwise atavimba kweli” Chanel akasema “bwana me siendi, the guy anaemuoa, alinitongoza first” Adrienne akadakia, “lakini si ulimkataa, so mwenzio caroline akamkubali, ndo ivyo wanaoana, mwenzio amepata bingo, hilo ndo fundisho kwako, ila usijali Mark is a God sent. Isn’t it Doreen?” Doreen akaendelea kusema, inabidi twende, si unajua, mialiko yooote ya parties kubwa hapa mjini tunapata free ride kwake, so we have to go” Carrie akasema “umasikini huoo unapiga hodi kwetu, Caroline anaenda kuwa mke wa mtu, those corner corner parties hazitakuwepo tena, na nimesikia wanaenda kuishi Canada, uuuwi sijui itakuwaje jamani, kiruu!’’

Doreen akasema, “ why does everyone has to get married and have kids, it’s soo cliché, who needs a husband when you don’t have a life?, she’s practical been held hostage by that man”. Wote wakamuangalia kwa mshangao. Carrie akamwuliza, “Nilidhani unataka mume akuoe ili muanzishe familia? Why are you hating on her?” Doreen said, ‘’am sorry I think I would like to have lots of fun before I say I do” Channel akamwuliza, ‘’kwahiyo mwenzetu Doreen wewe mpaka umri huu hauja have fun?” Doreen said, “How? I’ve been locked up inside the church for 13 years, I don’t know anything rather than Jesus, I lost my job because of Jesus, Jesus, Jesus, Jesus, I don’t know, I would love to have all the fun in this world before I say I do” wenzake wakamshangaa, what happened to Mother Theresa speaking like a possessed woman? Carrie akamwambia Doreen, “I know what you need, you need a dick in your ass, it’s been waaay too long since you had a serious relationship. Ndio maana uko weird. 10 yrs and not getting laid, Honey you practically a virgin now!” Wote wakacheka, wakielekea kulala.

ITAENDELEA SAA 3 USIKU LEO.
 
Duuh...huu Umarekani ni hatari...

Yaani mtu unasoma unajionea aibu mwenyewe...this is ajabu
 
Back
Top Bottom