Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Hii hatari aisee,sidhani kama kuna mwanaume kipindi hiki mwenye kusamehe kama pedeshee,maana yale maneno ya doreen yalishiba daah
 
Hii hatari aisee,sidhani kama kuna mwanaume kipindi hiki mwenye kusamehe kama pedeshee,maana yale maneno ya doreen yalishiba daah

Hakuna asee. Sio kwa wanaume wa sahivi hawa wa mwendo kasi taabu tupu akikushika tu mara 1 ndio kwaheri. Kwanza mnakuwa mmepangana na anasubiri ukosee tu akuache, hawa wakina pedeshee wanaume wa zamani wanajua kupenda asee.

cesilia me nimempenda Pedeshee ana upendo wa kweli.
 
hahaaaaaa sio wote wamwitao bwanabwana wataurithi ufalme wa Mungu,

Ila PEDESHE ni kiboko, si kwa mlopoko ule kanisani mh!
 
Heheheheheh daaaah Ila Chanel na dorin daaah unaweza kupizi hivi hivi wakati unasoma mistari

Doreen
214277d3e5ac7833afaa3bdece546901.jpg


Chanel

7e828a51967c7dd6e12c9963941fcc55.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom