Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Wakiwa wanatoka bagamoyo kuwahi bunju ambapo James alitegesha helikopta yake yakuwachukuwa kwenda kenya, uuuwi wakati wanashuka sasa kwenye gari watembee kwenda kwenye ndege James akasikia bonge la ngumi, taaaaah! Akaanguka chini, Doreen kashikiliwa na majitu yenye miraba 4, James akapigwa hakuna mfano, Doreen akabakia analia tu, James jamani mwacheni tafadhali James anamlilia, mara gari inaingia uuuwi Don Lucifer! Akashuka zake kwenye gari akamwangalia msaliti wake James na Doreen akamfuata James, akawaambia ma body guard wake wamsimamishe, amsha na wewe James akiwa amejaa madamu, uso hautizamiki, ni sheedah!

Lucifer: unampeleka wapi mke wangu? Unataka kumtorosha kwenda wapi labda?!
James: kimya!
Lucifer: mfungeni pingu mpelekeni alipokuwa Safaree kwa mwezi mzima, ila apewe chakula na uso anawishwe
Body guards hao wakamwingiza kwenye gari haoo wakaondoka akabakia Lucifer na Doreen na dereva wa Lucifer kwenye gari
Doreen akamfuata Lucifer akaanza kumpiga mangumi ya kifua! Kwanini umenidanganya, huku analia, kwanini unamjeruhi James amekufanya nini sasa?! Mimi sikupendi kwa kunidanganya kwanini lakini Lucifer umeamua kuniharibia maisha lakini kwanini?! Akalia wee Lucifer anamwangalia tu, Doreen akalia mpaka akaanguka chini, akazimia, Lucifer akambeba akamwingiza kwenye gari haooo wakaondoka.

Safaree nae kozi ikakaribia kusiha akafurahi sana nini maskini, anauhakika wa kufaulu mitihani Safaree amekuwa sober, havuti tena bangi, hanywi pombe tena, anatafuta nafasi ya pili na kurudisha uaminifu kwa Lucifer ah! Boss wake akampenda sana akaandika ripoti nzuri kwa Lucifer, Lucifer alipoiona akacheka tu, kweli au uongo akawa anajiuliza.

Carrie akawa analea mtoto, sasa ana miezi 10, George amesharudishwa kazini Carrie akawa anaboreka kukaa bondeni nini, hana marafiki akawa anaenda na mwanae kutembea, hana dada wa kazi muda wote yupo na mwanae, wakati mwengine mama mkwe akija anakaa na mjukuu wake nini, Carrie ndio anapumua. George akawa amepona kabisaa hana shida tena, Doreen akazindua mechi, wanampeleka mtoto kwa mama mkwe, mechi inapigwa kwenye gari, nyumbani, yani ile ya kulipiza kisasi... wanajikumbushia enzi za ujana wao kabla hajampata Junior wao. Carrie akafurahi, maana alikaa mkavu kama gogo kwa muda akisubiri mume atengemae. George akammilikisha mali zake zote Carrie na mwanae, akamwonyesha mali ambazo alizificha wakiwa kwenye uchumba Carrie moyoni anasema kweli sitakufa maskini, cha! Kumbe nimelala maskini nimeamka tajiri yeleuuuuwi mmachame nimehit BINGO! Akaambiwa kuwa mtoto akianza shule day care nini, itabidi waende Switzerland akamtambulishe kwenye restaurant yao ambayo wanamiliki hisa na mzungu. Carrie akafurahi sana kha! Kweli Bingo ni Bingo!

Adrienne na Shawn wakarudi zao Oysterbay kwenye nyumba yao ambayo walipangisha walipoenda uingereza wakapangisha nyumba yao mpaka wanarudi kodi ya mpangaji ikawa imekeesha wakarudi. Sia na Shawn Junior wamekua wakubwa wana mwaka sasa wanatembea wazuri hao kama mashombe shombe, wazuri ukiwaangalia unawatamani

Chanel na Pedeshee wapo kwenye nyumba yao Kunduchi, wameshazoea maisha, wameshazoeana, wanapendana, Chanel amemaliza shule yake ya QT anajiandaa kwenda kufanya diploma ya biashara, akapata chuo posta akawa anasoma diploma yake. Siku akaenda kilipa ada yake bank CRDB, amemaliza anatoka wakagongana na Mark, kuja kushtuka ni Mark wakacheka pale wanasalimiana, wanajuliana hali kama hawajagombana, wakasalimiana pale Chanel akamtania nimekumiss kweli, Mark akamwambia hata mimi pia, lini tunafanya uzinduzi kurudisha penzi, Chanel akawa anacheka tu Mark bwana hauachi tu, Mark akamwuliza bado upo na yule Emolo wako? CHANEL akamjibu anaitwa Marion bwana acha dharau! Wakawa wanacheka hapo, Mark anamwambia naona shemeji anakutunza umependeza sana naona umenenepa kabisaa au una mimba?! Chanel akamjibu asante tupo bwana, mara anaona kadada kadogo kadogo keupe kana ngozi kama ya Chanel anamsemesha, Mark nimemaliza tuondoke tukawachukue watoto Airport. Chanel akashangaa, akatambulishwa huyu mke wangu anaitwa Irene, ni mmeru mwenzio, Chanel akacheka nimefurahi kukufahamu Irene, haya nawatakia siku njema, akaondoka Chanel, Mark akageuka anamwangalia tu mtoto Jojo anaondoka. Uuuwi!

Huku kwa Don Lucifer mambo nayo yakawa kama kuzimu, tangu wamebambwa Bunju ni miezi 2 sasa imepita Doreen hataki kuongea, kuoga, kula, amekaa tu kitandani. Lucifer akawa anamhudumia kwa kila kitu, usiku Lucifer akiwa amelala Doreen anaamka anaenda kwenye shimo alilofungiwa James anaanza kumwongelesha, kiiila siku kea muda wa miezi 2 usiku wa manane, ma body guard wakamwambia Lucifer kitendo cha Doreen, Lucifer akawaambia muacheni afanye anachotaka na akitaka mumfungue James fungueni lakini asitoke hapa ndani. baada ya miezi 3 Doreen akakaa sawa akaamwabia Lucifer nipeleke kwa James, Lucifer akamwonea huruma akaamua ampeleke maana Doreen alishamwambia nakupa nafasi ya mwisho, Doreen akaoga akajipamba na kujipara mwenyewe, akamkumbatia Lucifer akamwambia asante kwa kunitunza, akambusu mdomoni, akamshika mkono akamwambia twende kwa James, kufika kwa James, walishamfungua kabla washamsafisha wakamvalisha suti nzuri kapendeza wakakutana Library ya Lucifer wakawa wanaongea wa4 na body guard
Doreen kumwona James akamkimbilia akamkumbatia, James anaogopa mara body guard anataka kusogea awaachanishe, Lucifer akamkataza. Doreen akambusu James mdomoni kwa muda mrefu, eh Lucifer roho inamuuma anavumilia anajua ameshaharibu na atamkosa Doreen. Baadae Doreen akafura machozi, wakakaa kwenye kiti, Lucifer akaja akaaa kwenye kiti chake, wakaanza kuongea

Doreen akamwambia Lucifer, dhambi zooote alizofanya James naomba umsamehe, mimo ndio nilimwambia aje anitoroshe, niliiba namba yake ya Mexico kwenye simu yako nikawa naongea nae, bila wewe kujua, mimi ndio nilitaka kutoroka nae baada ya kujua umenidanganya nadhani upendo wangu kwa James haukuisha kwasababu sio rahisi mwanaume aliekubikiri ukamsahau ghafla hali ni wewe unetutenganisha, naomba umsamehe arudi kazini tafadhali, kwa niaba yangu dhambi zake naomba nilipe mimi? Kama unataka kumuua niue mimi, usimfanye ubaya muache aendelee na maisha yake, nampenda sana James nafasi yake hautakaa uje uichukue Lucifer kwenye moyo wangu, haitakaa itokee. Lakini si unakumbuka ahadi yetu kabla sijakukubalia univishe pete?! Umenikosea sana na ningeondoka lakini nimekubali kukaa kwako miezi 2 hata sijui kwangu kunafananaje. Akasimama pembeni akaendelea kuongea Wala sitaki kujua kwanini ninyi wawili mlinichezea kama mlivyofanya?! Wote mmeniudhi na michezo yenu ya kijinga. Lakini James mimi kama Doreen nimeamua kubaki na Lucifer, hata kama simpendi, lakini nimechagua kukaa nae na kuishi nae, wewe endelea na maisha yako popote duniani, fanya kila unachotaka ikiwezekana unisahau kama ambavyo na mimi nimejitahidi kukusahau. Hapo James roho inamuuma kama nini anatamani auawe tu, hawezi kuangalia Lucifer anashinda hivi hivi yeye akiwa hai!

Lucifer akamwambia James nimekusamehe kama mke wangu anavyotaka, nakuhamishia kikazi Afrika ya Kusini! Mpaka hapo utakapoambiwa vinginevyo! Akapewa kila kitu akaambiwa aondoke usiku ule ule kwenda kufanya kazi, akamkumbatia Doreen akamnong'oneza tutaonana bondeni nina uhakika, akambusu mashavuni akaondoka, Doreen akaanza kulia anamwangalia tu akakimbia nje kwa James akaingia nae kwenye gari kuelekea airport, Lucifer hakumzuia, si unajua ile misemo ya zamani, ukimpenda mtu mwache aende akirudi ujue ni wa kwako tu.

Kwenye gari watu hawataku kuachiana, nahisi walimpa tabu dereva maana sio kwa ile mechi ilopigwa kwenye gari, James akawa anashangaa Doreen imekuwaje hamwogopi hata Don! Maana pale nimechezea mauti katikati ta mlango wa dunua na ahera! Akaona basi ngoja nijiongeze tu kwani Tsh ngapi?! Umo umo kwenye gari uzinduzi kati ya Doreen na James ukaanza mpaka wamefika airport, washafungana goal 1 moja, ndege ikawa bado haijafikia muda wa James kuingia ndani, Doreen akamvuta James mpaka choo cha akina kaka, eh mechi ingine tena, watu wakija wanashangaa mechi za chooni, uuwi, Doreen yupo buzy anakula utamu wa James na mwezetu James nae anahakikisha anampatia dozi ya kisawa sawa! ili amsahau Lucifer! Lakini Lucifer ni Lucifer tu! Nafasi yake haibadilishwi na mtu mwengine! Muda ukapita ikabidi waachane Doreen akachukua Perfume akampaka James ili asiwe ananukia maupwiru kwenye ndege, akambusu kwa mara ya mwisho akamwambia nakupenda nakutakia maisha mema ni vema nibaki na Lucifee kulinda uhai wako tu, maana uhai wako haustahili kupotezwa kwasababu yangu. JAMES akaondoka kwenda kuingia kwenye ndege Doreen analia tu akarudi kwenye gari akarudishwa nyumbani kwa Lucifer. Kufika kwa Lucifer, hakutaka kuongea akaingia kitandani akalala, Lucifer hakumsemesha kitu, Asubuhi akaamka akajiandaa akamfuata Lucifer na kumwuliza kazo yangu ipo?! Lucifer akamwambia ipo, akarudi kujiandaa na breakfast, wakiwa wanakunywa chai, Doreen akaanza kusikia kichefu chefu, akatapika hapo hapo mezani, mmh! Au ni haya mayai yananitia kichefuchefu mbona naskia vibaya, akasimama alete kitambaa kufuta matapishi, akaanza kusikia kizungu zungu, akaanguka chini. Akapelekwa hospitali, majibu kutoka Doreen mjamzito wa miezi 4. LUCIFER akafurahi lakini Doreen hakufurahi, sio kwa ugaidi ule Lucifee alomfanyia James


ITAENDELEA ALHAMISI SAA 5 USIKU
 
Uwiiiiiii ijumaa,jumamos,jumapili,jumatatu.jumanne,jumatano kisha alhamisssssssssssssss saa tanooo bora ingewekwa mkesha wa mwaka mpya tukauzindua kwa lemonade. Me mvumilivu tuonane mwakani money penny
 
Baada ya miezi 6 mbele yaani October 2010, George junior akawa ameshakuwa mkubwa wa kwenda shuleni,day care za kule mtoto hatoki mpaka anakuja chukuliwa, Carrie akamwomba mama mkwe wake awe anaenda kumchukua ili wapate kusafiri kuangalia mali za Switzerland, wakafunga safari mpaka Switzerland, wakakaribishwa na mdogowake Partner wa George anaitwa Simon, karibuni sana pale na nini George akamwaga yake, baadae yakaonekana maelekezo ya hisa za partnership kati yao wawili, na hiyo restaurant ilivyo wakaambiana kuwa wanataka kuifanya hotel kubwa kwa lile eneo kwa maana pameshachangamka sio kama zamani, wakapewa gawiwo lao la mwaka 2009 kwa maana walidhindwa kwenda, wakaonyeshwa kwenye karatasi na hela zao zilishawekwa swiss bank. Gawiwo la mwaka 2010 lilikuwa bado ila Carrie akaambiwa yeye pia ni Shareholder pale kwaiyo december atakuja kwa niaba ya mumewe kukaa kikao cha mwaka na kusikiliza kila kitu kinachoendelea hapo restaurant na kufanya mabadiliko ya restaurant kuwa hotel na kupewa gawiwo. Wakaenda kuhakiki pesa zao benko wakakuta zipo sawa na zile za makaratasi. Wakaaga wanarudi Bondeni, lakini hawakurudi Bondeni wakaunganisha kujirusha kwenye mahoteli ya hapo hapo makubwa ili Carrie nae ajue ataingeneza vipi ya kwako, wakarejea honeymoon, sasa hivi George yupo vizuri sio kama mwaka jana, eh mechi zikapigwa si unajua tena uraya uraya, hata mkitombana mchana kweupe hamna wa kuwazuia sana sana watawarekodi kwenye simu wawatumie watu wa porn.com hehe.

Eh lakini sasa hii ya akina Carrie ilikuwa too much, jamani hadi kwenye lift wakipanda wanapigana utamu alafu wanabonyeza alarm kuwa lift imegoma ili waje watolewe mpaka wanatolewa mechi ishaisha na nguo zimeshavaliwa. Skunyingine wanakulana kwenye baraza la chumba chao, wenzao wakitoka nje kupunga upepo wanawaona yani hata hawajali, raha tu ndio inatafutwa, kweli mchaga noma,..

Siku waliokuwa wanashuka airport ya bondeni kurudi nyumbani kwao, Carrie akaanza kusikia kichwa kinamuuma, akawa hawezi kutembea mara anashindwa kupumua, eh jaman nini tena akakimbizwa hospital kuchekiwa ana mimba ingine tena ya mapacha! Yeleuuuuwi mchaga alifurahi alisahau kama alikuwa anaumwa, George anashangaa hawa mapacha vepee mbona mtoto ana mwaka na miezi 6 dah, haya wakakubaliana na hali Carrie kichwa kimepanda nae anapata mapacha.

Chanel akawa yupo buzy na shule yake, Pedeshee kama kawa ameenda Mogadishu kikazi, Chanel akawa ana minyege hatarious! Hajua aifanyaje, kujipiga bao anaona haitoshi, kufanya phone sex hainogi sasa anafanyaje, akiwa kwenye wimbi la kutafakari labda anywe dawa za usingizi alale au akabakane na kaka yake wa getini, maana kuna siku alimuona anaoga uchi akaikremisha dyu dyu ya mlinzi wa getini haikuwahi kumtoka akilini kuwa ile dyu dyu ni sawa au imeongezewa. Dyu dyu ndefu kama mnazi bwana kha! Huyu ni mtu au balaa. Mara simu ikapigwa, eh kupokea kumbe ni Mark! Akiangalia saa saa 2 usiku, enhe Mark nambie leo naona umenikumbuka.
Mark: ndio mpenzi si unajua me na wewe tumetoka mbali, leo uko wapi?!
Chanel: nipo nyumbani kwangu
Mark: naweza kuja kukuona nina shida flani
Chanel: akasema hapa hapa, lakini akimwangalia mlinzi anaona huyu cha umbea yatanishinda akamwambia tukutane kunduchi beach hotel, akawasha gari fasta na hivi anajua kuendesha akaenda kununua condom 5 maana sio kwa ugwadu ule, fasta hotelini keshakodi chumba yupo ndani anasubiria
Mark akafika akampigia akaelekezwa chumba, kudika na kuingia tu Chanel hakutaka salamu anataka mechi, akamdandia Mark wa watu maskini alikuwa amebeba makaratasi sijui anataka kidiscuss nini Chanel wala hana habari moja kwa moja kwenye dyu dyu, akakumbuka eh condom maana sa hivi ni karibia mke wa mtu ivoo! Mechi ikapigwa, Mark anafurahi akajua amempata Chanel, kumbe Chanel ni minyege tu imembana, style ya mamba, style ya kondoo, style ya jongoo, 69 position, kila style kila mziki kila rumba ilichezwa chanel kama kawa ni bingwa akafunga magili 3 bila Mark yupo hoi. Baadae anaanza kumwambia Chanel yani sijawahi kupata dozi kama yako tangu uondoke kwenye maisha yangu, nilikuwa nalambwa lambwa tu kama mtoto wa kondoo! Leo najihisi kuwa mwanaume kamili, akamchumu hapo Chanel wakalala. Asubuhi saa 12 Chanel akaamsha popo, si anatakiwa aende darasani saa 3, akajiongeza tena kwa Mark, kama kawaida mpare wetu anapiga mikelele kama mwana kwaya wa saiti ya 4, hehehe, mtoto Jojo amemkomesha akaondoka amemfunga goal 2 bila, Mark yupo hoi, Chanel akamwambia naenda darasani ukitoka wape funguo pale chini kabla ya saa 3 nimeshalipia huyooo nduki darasani.

Adrienne na Shawn nao watoto wamekua wana mwaka na miezi 7 washaanza baby care class nini, Adrienne na kazi yake ya UN ikawa inambana sana wakawa wanapokezana malezi na Shawn, kuwapeleka na kuwachukua watoto, wakapata mdada wa kazi mama mtu mzima ambae hakuwa na familia, mume na watoto wake wooote walifariki, huyo mama alikuwa anafanya kazi ya usafi kwenye kampuni ya Shawn, mkataba ulipoisha na Adrienne alikuwa anatafuta dada wa kazi Shawn akaongea na yule mama kwasababu alikuwa mwaminifu na mstaarabu akamchukua wakawa wanaishi nae ila huyo mama alikuwa anaishi nyumba ya nje. Maisha yakawa yanaenda vizuri ma twin nao wakakua kweli wamependeza sio kitoto si unajua mapacha wakiwa watoto ndio wanaonekana supa wanatamanika, hehe! Siku wakimissiana wanalala hotelini wanajikumbushia ya honeymoon, kila alhamisi wanakuwa na date night Adrienne na Shawn kwa ajili ya kunogesha penzi maana ndoa usipoifanyia makaratee na kuipamba utajikuta ulimwengu unapita na janaume au jike linachepuka, na maisha yenu yanaanza kuboa mnakuwa na ndoa flani hivi za kizee zee huyu kavaa tenge huyu kavaa shati la kitenge kama mchungaji, Adrienne hakutaka hayo yeyr alikuwa anapenda ndoa za kisasa, kwanza kila siku yupo kwenye makeup, gym kwa sana na kila vizuri, alikuwa hot mama, ukimwona hautajua kwanza kama ni mke wa mtu au ana mapacha nyumbani, maisha yake ya ndoa yalikuwa mazuri sana kuliko ya usichana!

Doreen na mimba yake ameshajifungua mtoto, mtoto wa kike, Lucifer akafurahi, akamwita jina la Sandra! Doreen hasira ikaisha juu ya Lucifer akaona bora asamehe tu, na mtoto amekuja ni baraka sio vizuri kumkomesha Lucifer maana kuna leo na kesho, nyumba alokuwa anakaaga mbezi beach ilibidi asiendelee kupanga akahamia mazima kabisaa kwa Lucifer, Lucifer akasema hapa hakuna cha James wala nini, mke ndio huyu nimepewa na Mungu na hivi tumeshapata zawadi ya mtoto hamna kurudi kwa James tena, Lucifer kwa masifa akahakikisha kila wakienda Hospital anampima mtoto DNA. akaambiwa kweli mtoto ni wake maana alikuwa hana uhakika na yule James uskute zile za usiku walikuwa wanapoozana lakini moyoni alikuwa na uhakika kuwa sandra ni mwanae kabisaa! Maisha yakawa yanaenda Doreen akawa haendi tena kazini, mshahara analipwa kama kawa lakini anakaa nyumbani kulea Sandra. Akampigia simu carrie na Adrienne na Chanel kuwa amejifungua wakampa hongera wakawa wanashangaa hawakuambiwa habari ya ujauzito, Carrie nae akasema na mie nina mba ivoo nimeambiwa nina mapacha hapa! Wakacheka huku wanaongea kwenye simu.

Lucifer hakutimiza ahadi ya ndoa kwa Doreen roho ikawa inamuuma ingawa wana mtoto lakini kwake haikutosha, alitaka kumpatia Doreen kiiiila kitu huku duniani, lakini ndoa ndio kikwazo, akajiambia basi mtoto akianza Nursery ataenda kwenye ile kishen mwenyewe ili arudi fasta kumuoa Doreen.

Safaree nae mambo yamekaa vizuri, Don lucifer akaambiwa amwingize Safaree kazini sasa maana ameshamaliza masomo, akamwambia anaemsimamia Safaree sawa aende kwenye field sasa kwenye uangalizi wa karibu maana huyo nae kama ana mashetani akifika sehemu anajisahau sana. SAFAREE akaingizwa kitaa nchini Rusia kwa muda wa miezi 6 katika uangalizi mkali wa watu siowajua

Chanel bwana akawa anaendelea kuwasiliana na Mark, Pedeshee akirudi hawaongei akiondoka wanaongea, waonane sehemu wapige mechi, sikumoja Chanel amekaa zake ndani ya nyumba amevaa chupi na top iliomfika chini ya maziwa, chini kapuga visoksi vile vifupi chini ya kisigino, anazunguka ndani ya nyumba yake usiku, mlinzi anamuangalia, kila siku mambo ni yaho, sikunyingjne anatembea na sidiria na chupi, mlinzi kila siku anadindia kwake, mlinzi akaona sasa isiwe shida kwani Tsh ngapi?! Siku akategesha mlango na kimbao, sikuhiyo Chanel nadhani alifanya makusudi sijui alikuwa anamtega mlinzi mlinzi akaingia ndani nakumkuta Chanel amejichanua uchi wa mnyama anaangalia Tv, Mlinzi wacha amvamie chanel, akaanza kumnyonya maziwa, uuwi Chanel na yale maupwiru ya kuwamiss wote Mario na Mark, akaona kweli hapa ibada imenifuata nyumbanj ngoja niitumie, akamwambia mlinzi loki geti, mlango wa ndani uje, akaenda kuzisaka Condom wakaingia chumba cha kulala wageni, kha! Mlinzi ni noumer! Mlinzi utadhania Nyakanga?! Chanel hakuona ndani kwa mechi alotoa mlinzi, bonge la dyu dyu Chanel akaomba poo mara zote lakini wapi, sass anajuaje kuutumia ulimi huku chini, kweli mlinzi yule atakuwa ni pepo kahaba sio bure. Kamnyonya papuchi Chanel yupo hoi on cloud 9, mpaka anakuja kuingiziwa machine gun Chanel hapumui anapumulia maskio na pua tu, mechi ikapigwa ikarudiwa baada ya dk 45 ikapigwa ya pili, kha! CHANEL haaminini, ligi ilipoisha, Chanel kafungwa 5 bila, akamuacha mlinzi alale pale guest room yeyr akarudi bedroom kwake, asubuhi alfajiri saa 12 akasikia honi nje, limlinzi bado limelala kama kwake sasa, kwenda kuchungulia Pedeshee huyoo kesharudi, mama wee anafanyaje, honi ikapigwa sana akaamua pedeshee aamke akafungue gate kwa funguo zake mwenyewe, huku nyuma Chanela anamwamsha mlinzi kanogewa na usingizi, akam mwagia maji shenzi we amka mumewangu kaja, mlinzi akakurupuka akatoka nje kupitia mlango wa jikoni, Chanel akayatoa mashuka fasta akayatumbukiaza keenye washing machine akarudi kulala. Pedeshee akaingia ndani kimya kimya akaelekea chumbani, anamkuta Chanel bado amelala, akavua nguo zote akaingia kitandani akaanza kumwamsha Chanel kuwa amerudi na anataka mechi, Chanel yupo hoi bado maana sio kwa ile mti wa mnazi alopata usiku wake! Akawa anajifanya ajiskikii vizuri lakini nae pedeshee yupo hoi kazidiwa anataka mechi
Chanel anajitahidi kumkwepa lakini wapi Pedeshee kakomaa hataki kusikia nimechoka

Itaendelea kesho saa 5 asubuhi
 
"SOME LEMONADE FOR YOU MADAME" akauliza butler

"No, I don’t want". akajibu! Akiwa amelalia hammock, saa 11 jioni jua likizama, akaendelea kusema kwa sauti ya chini, mume wangu anakuja, naamini anakuja, bado namsubiria, naamini mume wangu hatoniangusha atakuja tu, weekend hii lazima nikaonane nae hotelini hata kama hatofika hapa nyumbani kwasababu ya kazi yake. Akashuka kwenye hammock akaanza kucheza blues, imagining mume wake karibu nae wakacheza kuelekea kwenye bahari!


Marafiki zake Adrienne, Carrie and Chanel wakimwangalia Doreen kwa huruma na machozi, “ siamini, tunampoteza rafiki yetu kwenye ukichaa, na huyu mumewe kwani yupo wapi lakini anaemzungumzia kila saa? akauliza Channel

“Yuko wapi binti yake Sandra, tumemsubiri zaidi ya masaa 2 sasa” akauliza Adrienne.


“Nakuja jamani, huku anakimbia, samahani nilienda kuchukua keki ya mama, samahani kwa kuwaweka mama zangu, shikamooni wote,” akasema Sandra

“Marahaba”, wakajibu kwa pamoja.

“haya tufanye haraka, mimi natakiwa kuwahi airport nasafiri kwenda Geneva, nina kikao kesho asubuhi na ndege inaondoka saa 4 usiku hata sijapaki nguo” akasema Carrie.

Wakatandika nguo nzito wakatengeneza picnic ndeefu, huku wakimwangalia Doreen, akicheza kuelekea baharini. “Mama hapana jamani, usiende huko”, akaita Sandra, usije ukazama huko, huku akimkimbilia kwa nguvu kwenda kumtoa kwenye maji, akamfunika na taulo na kumfuta, wakarudi kwenye picnic. Saa 12 jioni na jua lilikuwa limeshazama, wakakaa wakala na kunywa, wakamwimbia happy Birthday Doreen, tunakupenda sana na tupo kwa ajili yako daima. Doreen aka-smile, “nawapenda pia marafiki zangu na mtoto wangu mzuri”.

MIAKA 10 ILIOPITA.

“Jamani, kesho twendeni kanisani, kuna mkesha wa singles, for 2 hours only, I mean it’s Friday midnight na hatuna cha kufanya, hatuna mabwana, hatuna hela kiiivyo, tumejichokea, bora twende kwa Bwana YESU, tukalale huko huko at least atatukumbuka!” akasema Adrienne.


Doreen said, “NIMECHOKA NA MAMBO YA KANISA ASEE, nimeokoa miaka 13 iliopita, bado naishi kama mtumwa, mfungwa sina raha maisha yangu hayaendi, I don’t think I can go”, church is there to mess up our sex life anyway, so i don't think am in."


Carrie, “well sina cha kufanya Friday night anyway, kwahiyo nitaenda”

Chanel, “ poa nitaenda, ila kuna huyu mume wa mtu anataka aje alale kwangu ijumaa, nimemchooooooka, kwanza mbahiiiiiiiliii afu ananiletea maupwiru yake haachi hata sumni akiondoka. hanisaidii kitu, ngoja nimpigie kwanza, afu nimweke loud speaker, mumsikie atasemaje”

Phone ringed, voice call came out,” alaaaaaaaaaaaaaaah wakkkkkkkkkkkkbarrrr alaaaaaaaaaah wakbar, ashwarwaaaailaaa yainlah aulwaaaaaaa, ashwarwannnnnnnnn, namuhamuuuuuuuuuuuu namuuuuuuhamad alaaaaaah ashwanlaaaaa, inlah lwaaaaaa, yahinlanlwaaaaaaaaaa,”

Baada ya kuita dk 2, Simu ikapokelewa.

Married Man: Hello Baby, nambie, sorry nimechelewa kupoikea nilikuwa nanawa mikono nimetoka msalani.

Chanel: Daddy pole kwa usumbufu, nilitaka kukwambia kesho sitakuwepo nyumbani, silali nyumbani kesho.

Married Man: hautakuwepo kivipi wakati mimi nimeshaaga kwa mkewangu nasafiri ili nije kuspend weekend na wewe?

Chanel: naenda kanisani kwenye mkesha wa mabinti, so nadhani nitarudi jumamosi saa 1 asbh

Married Man: ahaaa, ushapata bwana mwengine nini ndio unaanza vituko? ina maana umetupanga sio? uyo kesho, mimi siku nyingine? haya mama, wewe niombee na mimi, nitakuja jumamosi saa 1 usiku basi”

Chanel: akakata simu, naona na mimi naenda mkesha sasa. natumaini Mungu wako ni mkweli this time, sitaki kumess up my 30’s like my 20”s Adrienne.


Doreen akasema aya basi nitawasindikiza wapendwa wangu, maana sina hata cha kufanya, nimekaa nyumbani miaka 4 bila ajira, nikikaa tena ndani on friday night nahisi nitapasuka, kwahiyo ngoja n iende tu.

Wote wakacheka, wakiwa wamekaa wakila na kunywa, THE SLIP WAY. Yani um-by-pass Mungu for that married man, hata shetani atakushangaa” said Adrienne.

"Ok after mkesha tunaenda wapi? i mean Saturday night, au ndio kwa Dj John Deling tenaa? Maana Carrie amekukrem huko kiila weekend tupo huko asee, no wonder we are single” said Chanel

“NOOOOOOOOO”, wakajibu wote.


ITAENDELEA






Huyo married man kiboko aisee! Excuse gani "... nilikuwa nanawa mikono nimetoka msalani..?!"
 
Wanawake hawalidhiak asee
Hata umjengee ghorofa!!chaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom