Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Well done!unafanya kazi kubwa mno kutuburudisha,elimisha. Merry christmass too.

asante sana, nashukuru kama unajifunza kitu Numbisa

Pole sana cesilia

hahahaha, jamani karibu sana Mkalama, pazuri kweli danjaboy mimi nitatua huko Mwakani Mungu akipenda pia sijaenda nina miaka zaidi ya 3

The same to you Love, asante sana lazalaza

Asante Mazigazi
 
A

Aisee kama ni kuanzia October nitakuwa na tour huko,kama ratiba yako itaruhusu tuongozane,ila naomba tuongee zaidi pm,mimi ni mtu wa gumanga haswaa
 
Duuuh hii hatari kwa kweli,mwambie Carrie tukutane Johannesburg maana yeye ndo sterling wa hili picha,I guess kuna kitu kinakuja kwake na george
 
Money Penny mama, unajua napaswa kwenda kulala, kesho kazini eeeh, fanza mambo basi, mida si ndo hii? Au ni saa nne ya kikwere?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom