Some interesting and disappointing Quotes

Some interesting and disappointing Quotes

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,470
Reaction score
9,053
habari wakuu wa jamvi.

Sote tunajua kuwa mambo mengi yanaendelea na nimeona nichukue muda wenu kukumbushana baadhi ya nukuu za wakuu wetu.
Nadhani ziko nyingi na zinaweza kutusaidia kukumbuka kama kweli wakuu wetu hufikiri sawasawa na kama wanakumbuka kutembea juu ya yale wayasemayo. Inasemekana kuwa mtu anayesema maneno asiyoweza kuyatenda "kutoishi kwake ni bora kuliko kuishi kwake".
Haya wanajf, tuongezee zingine mnazozikumbuka tupime!

Hizi ni baadhi:


"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people." -Julius Kambarage Nyerere

"If real development is to take place, the people have to be involved." - Julius Kambarage Nyerere

"anayetaka kula chura ale, anayetaka kula nguruwe na ale, anayetaka kula kuku….."- Alhaji Ali Hassani Mwini

"My government is going to deal with all forms of corruption. White-collar corruption will be high on the list and we are going to plug all gaps that are being used by corrupt leaders (and) business people." -Jakaya Mrisho Kikwete

"Mzee Mwinyi kakaa miaka 10 hakuyamaliza, Mzee Mkapa nae kakaa miaka 10 hakuyamaliza. Mie nimekaa miaka mitano hayakwisha na nitamaliza mitano hayataisha yote." -Jakaya Mrisho Kikwete

"There shall be no peace without right for all" ... -Bob Marley.

"Tanzania is politically the most influential country in this region right now." -Sec. Kissinger May 12, 1976

"We are turning our backs to the West where the sun is setting and looking to the East where the sun is rising" ....Robert Mugabe

"Poverty is not socialism. To be rich is glorious." -Deng Xiaoping
 
''Ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi'' Mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
"Mnataka kunipa barua ya nini? Kwani nini usichokijua kuhusu Richmond?"
Lowasa akimpasha Kikwete kuhusu tuhuma za kutakiwa ajiuzuru uongozi CCM.
 
"…awe na uwezo wa kuwaambia rafiki na maswaiba zake kuwa Ikulu ni mahali patakatifu na sio pango la walanguzi…" - Mwalimu


"ukipanda mti utafaidi kivuli basi panda wa matunda ufaidi vyote" - Mheshimiwa mbunge wa kuteuliwa na JK Yusuph Makamba (yuko wapi siku hizi!!??)
 
"Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa kwanza". Mh. Dr (heshima -Udom) Jakaya Kikwete

"A king's wife should be beyond suspecision" mfalme wa italy
 
"anayetaka kula chura ale, anayetaka kula nguruwe na ale, anayetaka kula kuku….."- Alhaji Ali Hassani Mwini

Nashindwa kujua kama Mzee alitoa maneno haya kuashiria Soko huria? Ulafi na ulaji holera? au uwezo wake wa kufikiri ulifikia hapo, kwa kweli sijajua. Hata hivyo namshukuru sana mtoa thread hii maana amenifanya niwapime viongozi wangu hata katika uwanja wa semi zao wa watu wao
 
"there is no hidden place for the father of creation"-Bob marley
 
“My government is going to deal with all forms of corruption. White-collar corruption will be high on the list and we are going to plug all gaps that are being used by corrupt leaders (and) business people.” -Jakaya Mrisho Kikwete

I feel sorry kwa wote waliodhani hii kauli ilikuwa na uzito wowote. baadhi yetu tuliiona tangu mwanzo kuwa ilikuwa kauli gereshi na wala hatukutegemea chochote serious out of it. time has proven us right and jamaa sasa is a lughing stock ya aina yake. angekuwa mtu mzima kidogo angegeuka kuwa babu wa taifa. anyway, this is the most disappointing quote the Tanzanians will live and wish to forget
 
Back
Top Bottom