imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,036
Somalia imeanza oparesheni fikuza wageni na Wakristo katika nchi yao huku ikianza na waKenya na Sasa Waethiopia.
Malori yaliyojaa Raia wa Ethiopia wameonekana wakisombwa kwenye Malori ya Mizigo Kama wanyamapori huku akina Mama wakipiga Vigelegele huko Garowe na Bosasso
Huku wao wamejaa nchi za watu bila bughudha