Kuna usemi unasema vita si mama ako. Alshabab walivyolipua hivyoo wanahisi wanapata thawabu kwa Allah.Vijana wadogo tu pengine baadhi wana wake na watoto[emoji24]View attachment 1875773
Kuna usemi unasema vita si mama ako. Alshabab walivyolipua hivyoo wanahisi wanapata thawabu kwa Allah.
Hao wanatumia dini kama kichaka tu cha kufanyia maasi yao.Dini hairuhusu mauaji ya namna hiyo ni wahuni tu.kama wanaipenda sana dini na wameisoma dini kigezo chao si mtume? Mtume aliwahi kuruhusu wafuasi wake waue watu kwenye vita namna hiyo? Jibu ni hapana hakukuwa na mambo ya mabomu ila pia kwanza kwenye hizo vita za zamani alikuwa anakataza wapiganaji wake wanapoenda vitani kuua watoto,kuua wazee pia na kuua wanawake.Sasa hawa jamaa wana kiongozi wao huyo kama ni kweli hiki ni kikundi ambacho kinapigania dini kwa nini asiwape mafundisho kama kuua waue wanajeshi tu?.Hapa ndipo naelewa hawa jamaa malengo na vitendo vyao ni tofauti kabisa.Miaka hii inayokuja kama waislam wasipokuwa makini kuwasomesha vizuri dini watoto wao kuna hatari ya kutumbukia kwenye vikundi kama hivi ambavyo ni vya kihuni ambavyo vinadai vinapigania dini kumbe nyuma wana malengo yao na kutokana na upeo mdogo wa elimu vijana watahadaika wanapigania dini kumbe siyo dini wanapigania malengo ya watu fulani.kama tunavyoshuhudia kikundi kama boko haram kinateka wanafunzi na mambo mengine ya ajabu ajabu.Una elimu yako vizuri haswaa huwezi kujihusisha ni hivi vikundi ambavyo vinajiita wapigania vita vitakatifu kuua watu wasiokuwa na hatia.kumwaga damu ya mtu kwenye uislam siyo jambo dogo watu wanalichukulia rahisi rahisi tu, umeua unastahili na wewe kuuliwa lakini kufuatana na sheria zake na vithibitisho vyake kwanza.Na anayetekeleza hukumu hiyo siyo kila mtu yoyote tu eti akuue hapana kuna kwanza kuna hakimu maalum kama kesi yako imethibitishwa kweli wewe umeua kwa kukusudia inatekelezwa na mtu huyo yeye kazi yake ni hiyo.Na siyo hawa wahuni wanaingia mitaani wanateka watu wanawaua tu hovyo au kutega mabomu yanawalipukia wasiokuwa na hatia.kama wanapigania nchi yao Somalia wapiganie na majeshi ya kigeni ama serikali ambayo ipo madarakani wana ofisi zao watege mabomu huko labda tutasema sawa.Ila utasikia bomu sokoni au kama hivyo bomu kwenye gari ya wachezaji,sasa wachezaji wanahusika vipi? Hapa kuna mambo yw kujifunza sana mambo ya kufuata mkondo unajiunga na vi kundi bila kujua malengo yake unaweza kujiona upo sahihi kumbe unapotea.Hii ni sawa na kufuta ziro unaandika O.
Hakuna ndezi mwenye fikra ya thawabu namna hiyo.....Kuna usemi unasema vita si mama ako. Alshabab walivyolipua hivyoo wanahisi wanapata thawabu kwa Allah.
Labda uliwahi kuwafuatilia Viongozi wa Dini ktk hili.....?!Mkuu kitu kinachonipa wasi wasi ni kwanini viongozi wao Dini huwa hawakemei?
Matukio yanatokea lakini wao kimyaaa.
Hao wanatumia dini kama kichaka tu cha kufanyia maasi yao.Dini hairuhusu mauaji ya namna hiyo ni wahuni tu.kama wanaipenda sana dini na wameisoma dini kigezo chao si mtume? Mtume aliwahi kuruhusu wafuasi wake waue watu kwenye vita namna hiyo? Jibu ni hapana hakukuwa na mambo ya mabomu ila pia kwanza kwenye hizo vita za zamani alikuwa anakataza wapiganaji wake wanapoenda vitani kuua watoto,kuua wazee pia na kuua wanawake.Sasa hawa jamaa wana kiongozi wao huyo kama ni kweli hiki ni kikundi ambacho kinapigania dini kwa nini asiwape mafundisho kama kuua waue wanajeshi tu?.Hapa ndipo naelewa hawa jamaa malengo na vitendo vyao ni tofauti kabisa.Miaka hii inayokuja kama waislam wasipokuwa makini kuwasomesha vizuri dini watoto wao kuna hatari ya kutumbukia kwenye vikundi kama hivi ambavyo ni vya kihuni ambavyo vinadai vinapigania dini kumbe nyuma wana malengo yao na kutokana na upeo mdogo wa elimu vijana watahadaika wanapigania dini kumbe siyo dini wanapigania malengo ya watu fulani.kama tunavyoshuhudia kikundi kama boko haram kinateka wanafunzi na mambo mengine ya ajabu ajabu.Una elimu yako vizuri haswaa huwezi kujihusisha ni hivi vikundi ambavyo vinajiita wapigania vita vitakatifu kuua watu wasiokuwa na hatia.kumwaga damu ya mtu kwenye uislam siyo jambo dogo watu wanalichukulia rahisi rahisi tu, umeua unastahili na wewe kuuliwa lakini kufuatana na sheria zake na vithibitisho vyake kwanza.Na anayetekeleza hukumu hiyo siyo kila mtu yoyote tu eti akuue hapana kuna kwanza kuna hakimu maalum kama kesi yako imethibitishwa kweli wewe umeua kwa kukusudia inatekelezwa na mtu huyo yeye kazi yake ni hiyo.Na siyo hawa wahuni wanaingia mitaani wanateka watu wanawaua tu hovyo au kutega mabomu yanawalipukia wasiokuwa na hatia.kama wanapigania nchi yao Somalia wapiganie na majeshi ya kigeni ama serikali ambayo ipo madarakani wana ofisi zao watege mabomu huko labda tutasema sawa.Ila utasikia bomu sokoni au kama hivyo bomu kwenye gari ya wachezaji,sasa wachezaji wanahusika vipi? Hapa kuna mambo yw kujifunza sana mambo ya kufuata mkondo unajiunga na vi kundi bila kujua malengo yake unaweza kujiona upo sahihi kumbe unapotea.Hii ni sawa na kufuta ziro unaandika O.
Palestina walivyopokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Israel Bakwata walikemea, lakini mbona haya maasi yanayofanywa hapa Africa hao Bakwata hawaongei.? Ni kweli tunajua wanadamu ni wanafiki ila huu unafiki wa Bakwata/Waislamu umezidiLabda uliwahi kuwafuatilia Viongozi wa Dini ktk hili.....?!
alikua anaitwa nani?Yule jamaa wa City Mall baada ya kutulia Bongo ale maisha eti akaenda Somalia kugombea Urais,fasta tu wakamtoa uhai.
NomaYule jamaa wa City Mall baada ya kutulia Bongo ale maisha eti akaenda Somalia kugombea Urais,fasta tu wakamtoa uhai.
Hivi wewe Bakwata umeona ni viongozi wa dini?Palestina walivyopokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Israel Bakwata walikemea, lakini mbona haya maasi yanayofanywa hapa Africa hao Bakwata hawaongei.? Ni kweli tunajua wanadamu ni wanafiki ila huu unafiki wa Bakwata/Waislamu umezidi
Let him Rest In Peace. I think that was the biggest mistake & miscalculation of his entire life bearing in mind he originated from Somali and new the country and its political situation well.Yule jamaa wa City Mall baada ya kutulia Bongo ale maisha eti akaenda Somalia kugombea Urais,fasta tu wakamtoa uhai.
😭😭😭😭😭😭dah!! Inahuzunisha sana🙏🙏🙏Vijana wadogo tu pengine baadhi wana wake na watoto[emoji24]View attachment 1875773
😅😅😅anaonge vtu asivyovijuaHivi wewe Bakwata umeona ni viongozi wa dini?
Magonjwa Mtambuka analike vitu vya ajabu sana.Halafu mwaka flani kuna wapumbavu walisema Tanzania kuna vita, mnaijua vita nyie chadema.?
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwaLet him Rest In Peace. I think that was the biggest mistake & miscalculation of his entire life bearing in mind he originated from Somali and new the country and its political situation well.
Hivi wewe Bakwata umeona ni viongozi wa dini?
Waulizeni Waislamu😅😅😅anaonge vtu asivyovijua
Halafu kuna majinga yanasema Tanzania kuna magaidiHalafu mwaka flani kuna wapumbavu walisema Tanzania kuna vita, mnaijua vita nyie chadema.?