Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,642
- 133,387
Halafu wananchi hatuelewi mambo yanaendajeHalafu kuna majinga yanasema Tanzania kuna magaidi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Halafu wananchi hatuelewi mambo yanaendajeHalafu kuna majinga yanasema Tanzania kuna magaidi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
wanaogopa kuwahishwa peponiPalestina walivyopokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Israel Bakwata walikemea, lakini mbona haya maasi yanayofanywa hapa Africa hao Bakwata hawaongei.? Ni kweli tunajua wanadamu ni wanafiki ila huu unafiki wa Bakwata/Waislamu umezidi
AlhamdufilwahiKuna usemi unasema vita si mama ako. Alshabab walivyolipua hivyoo wanahisi wanapata thawabu kwa Allah.
Ingawaje sijasoma gazeti lote lakini ukweli mchungu mtume aliruhusu watu kuuliwa,wanawake kuuliwa,wanawake kubakwa hata kipindi hamna vita.Hao wanatumia dini kama kichaka tu cha kufanyia maasi yao.Dini hairuhusu mauaji ya namna hiyo ni wahuni tu.kama wanaipenda sana dini na wameisoma dini kigezo chao si mtume? Mtume aliwahi kuruhusu wafuasi wake waue watu kwenye vita namna hiyo? Jibu ni hapana hakukuwa na mambo ya mabomu ila pia kwanza kwenye hizo vita za zamani alikuwa anakataza wapiganaji wake wanapoenda vitani kuua watoto,kuua wazee pia na kuua wanawake.Sasa hawa jamaa wana kiongozi wao huyo kama ni kweli hiki ni kikundi ambacho kinapigania dini kwa nini asiwape mafundisho kama kuua waue wanajeshi tu?.Hapa ndipo naelewa hawa jamaa malengo na vitendo vyao ni tofauti kabisa.Miaka hii inayokuja kama waislam wasipokuwa makini kuwasomesha vizuri dini watoto wao kuna hatari ya kutumbukia kwenye vikundi kama hivi ambavyo ni vya kihuni ambavyo vinadai vinapigania dini kumbe nyuma wana malengo yao na kutokana na upeo mdogo wa elimu vijana watahadaika wanapigania dini kumbe siyo dini wanapigania malengo ya watu fulani.kama tunavyoshuhudia kikundi kama boko haram kinateka wanafunzi na mambo mengine ya ajabu ajabu.Una elimu yako vizuri haswaa huwezi kujihusisha ni hivi vikundi ambavyo vinajiita wapigania vita vitakatifu kuua watu wasiokuwa na hatia.kumwaga damu ya mtu kwenye uislam siyo jambo dogo watu wanalichukulia rahisi rahisi tu, umeua unastahili na wewe kuuliwa lakini kufuatana na sheria zake na vithibitisho vyake kwanza.Na anayetekeleza hukumu hiyo siyo kila mtu yoyote tu eti akuue hapana kuna kwanza kuna hakimu maalum kama kesi yako imethibitishwa kweli wewe umeua kwa kukusudia inatekelezwa na mtu huyo yeye kazi yake ni hiyo.Na siyo hawa wahuni wanaingia mitaani wanateka watu wanawaua tu hovyo au kutega mabomu yanawalipukia wasiokuwa na hatia.kama wanapigania nchi yao Somalia wapiganie na majeshi ya kigeni ama serikali ambayo ipo madarakani wana ofisi zao watege mabomu huko labda tutasema sawa.Ila utasikia bomu sokoni au kama hivyo bomu kwenye gari ya wachezaji,sasa wachezaji wanahusika vipi? Hapa kuna mambo yw kujifunza sana mambo ya kufuata mkondo unajiunga na vi kundi bila kujua malengo yake unaweza kujiona upo sahihi kumbe unapotea.Hii ni sawa na kufuta ziro unaandika O.
He was forced to join the land of his ancestorsYule jamaa wa City Mall baada ya kutulia Bongo ale maisha eti akaenda Somalia kugombea Urais,fasta tu wakamtoa uhai.
Kulwani 3:28 imeruhusu unafiki[emoji4]Palestina walivyopokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Israel Bakwata walikemea, lakini mbona haya maasi yanayofanywa hapa Africa hao Bakwata hawaongei.? Ni kweli tunajua wanadamu ni wanafiki ila huu unafiki wa Bakwata/Waislamu umezidi
Ingawaje sijasoma gazeti lote lakini ukweli mchungu mtume aliruhusu watu kuuliwa,wanawake kuuliwa,wanawake kubakwa hata kipindi hamna vita.
Viongozi wa simbaHivi wewe Bakwata umeona ni viongozi wa dini?
Unaandika magazeti marefu halafu point hamna.Huwezi kwa sababu siyo msomi wa vitabu na huna kawaida sasa huyo mtu unayemtaja hata kumsoma hujamsoma ukamjua zaidi ya kumsikia kwa watu tu.Muhammad? George Bernade Show hakuwa mvivu alimsoma akasema maneno haya"He must be called the savior of Humanity.I believe that if a man like him were to assume the dictatorship of the modern worl,he would succeed in solving its problems in a way that would bring it much-needed peace and happiness".(The genuine islam).ungekuwa siyo mvivu wa kusoma ningekuambia utafute tu Vol.1 na 8 ya 1936. Sasa umeshindwa kusoma gazeti langu utaweza kumsoma huyo ukamjua.Unaonekana wewe ni bendera tu unafuata mkumbo.hata ukiambiwa ulete ushahidi huo wa kimaandishi watoto waliouliwa au wanawake waliouliwa hauna ila kwa vile unamchukia mtu kwa chuki zako binafsi umeamua tu uandike uuridhishe moyo wako sijui ufurahishe.ila jua kitu kimoja ndugu yangu kusoma ni mali kitu chochote kisome kwanza ukielewe halafu ndiyo ukipinge kwa hoja za usomi wako na usikipinge kwa kusikia maneno tu ya watu.
Wakati Uislam bado hujaenea sana Africa kina Usman Dan Fodio walieneza kwa njia ya upanga ,kwahiyo haishangazi matukio ya hivo vikundi kuhusishwa na UislamUnaandika magazeti marefu halafu point hamna.
Quality over quantity..
Wewe unaona wingi wa maneno ndo ukubwa wa hoja.
Halafu hata kusoma mistari yangu miwili umeshindwa ..wapi nimesema mudi aliua watoto?Nimesema kubaka wanawake,kuua wanawake,na kuua Tu in general.
Nakuongezea Na hii [emoji117][emoji117]Quran inahamasisha mauaji Kwa silaha Aina yoyote kwahyo Mabomu pia Ni mwendelezo.
Uislam duniani kote umeenea Kwa upanga....watu walipostaarabika saivi unaenea Kwa kuzalianaWakati Uislam bado hujaenea sana Africa kina Usman Dan Fodio walieneza kwa njia ya upanga ,kwahiyo haishangazi matukio ya hivo vikundi kuhusishwa na Uislam
Yeah ,point yangu inabaki pale pale kwa mazingira hayo ni ngumu kutenganisha uislam na hivo vikundi ,hivo vikundi vinaueneza kwa njia ya zamani hawa wengine wanaendesha kiustaarabuUislam duniani kote umeenea Kwa upanga....watu walipostaarabika saivi unaenea Kwa kuzaliana
😂😂😂 Hizi dini zetu majanga aisee
Wanasubir Israel amchape mpalestina ndio walaan ila wenzao hapo jiran tu wanaona sawa kufa!! Waafrika tumelogwaMkuu kitu kinachonipa wasi wasi ni kwanini viongozi wao Dini huwa hawakemei?
Matukio yanatokea lakini wao kimyaaa.