Soma yaliyomkuta dr slaa......uwe makini.

Hawa wazee waachane na Technolojia,its anew beast in town,they should leave it to those capable,not bluffing their lack of understanding to basics of the internet world as if they are living under the stone.

Slaa,with all due respect,you remind us of how old our politicians are and how we shouldn't expect them to solve any 21st century problems.
 
Dr. Slaa aache kufanya kila kitu ni siasa
Sasa hivi ujanja/wizi kwenye mitandao imekidhiri. Hata wale ambao wametangaziwa magari mazuri kwa bei rahisi mtandaoni wameliwa sana. Mimi vilevile kama miezi 4 iliyopita yalitokea kama hayo kuwa nimekwama lagos pasi yangu pamoja na pesa zimeibiwa na nimezuiwa hotelini mpaka hapo nitakapoweza kulipa bili hivyo rafiki zangu waliombwa nami msaada wakati mimi mwenye niko hapa hapa bongo.
Cha msingi ni kama ushauri uliyotolewa aache kurespond email address za asiowafahamu na kutoa details zake. Tamaa ni kingine kinachoingiza watu mkenge maana unaweza kupata email kuwa umeshinda $$ meing kwenye lottery fulani ambayo hata wewe huijui na ukaombwa utoe details zako pamoja na bank a/c ili uweze kupata donge lako ukijibu umeliwa. TAMAA IMEMPONZA FISI
yaah hiyo nayo ipo jamaa hapa aliambiwa kashinda bahati nasibu ya kwenda U.S.A.yeye na familia yake nzima miezi mitatu akatumiwa mpaka booking ya ticket na hotel,akaambiwa atume account no wamuwekee pocket money akaingia king katoa detail zote za benki,siku ya pili kaja ofisini analia kalambwa hela zote kwenye acc,na jamaa hawakupatikana tena kwenye mail au simu
 
Tuwe waungwana jamani, baadhi yenu mnatoa comment kuwa kuingizwa mjini ni ushamba. La hasha! mbinu hiyo ya wizi inajulikana kwako kwakuwa ulishaisikia baada ya kuwaliza watu wengine au wewe mwenyewe, vinginevyo ni vigumu kuhisi chochote kama hujasikia. Na ndiyo maana watu waungwana wanatoa habari kama hizi kwa jamii ili ipate kufunguka macho. Maoni ni haki ya mtu lakini tusikashifu habari zinazoepusha ndugu zetu kupata matatizo.
Ni hayo tu..............
 
Tuwe waungwana jamani, baadhi yenu mnatoa comment kuwa kuingizwa mjini ni ushamba. La hasha! mbinu hiyo ya wizi inajulikana kwako kwakuwa ulishaisikia baada ya kuwaliza watu wengine au wewe mwenyewe, vinginevyo ni vigumu kuhisi chochote kama hujasikia. Na ndiyo maana watu waungwana wanatoa habari kama hizi kwa jamii ili ipate kufunguka macho. Maoni ni haki ya mtu lakini tusikashifu habari zinazoepusha ndugu zetu kupata matatizo.
Ni hayo tu..............
nashukuru we umeelewa ndugu,si ushamba wala ujuaji,hawa jamaa wanaweza kuja na mbinu nyingi tuu tofauti wakakutapeli,all in all ni wanijeria ndio wanacheza hii michezo
 
mzee nashukuru sana for your useful post. leo, i mean sasa hivi nimepata email ya rafiki yangu anayefanya azi zanzibar university ikiomba nimkopeshe paund 1,400, eti alipata safari ya ghafla UK na alipotoka herthrow tu akaibiwa walet iliyokuwa na kila kitu kama credit card nk

nimeshtuka sana lakini nilipokumbuka hii post yako kuhusu yaliyomkuta dr. slaa niliifungua na nikatabasamu.

wapendwa wana JF tuweni makini na matapeli ya kisasa

thanks and happy new year.
 
Back
Top Bottom