Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

Unaposema mpaka atakaporudi utaongeza Tatizo,na huko shule vijana wengi huanza na kuwa jiwe kwenye huyo tabia,ili kumuokoa ndogo wako usiyefahamu Kama naye kajiingiza huko kwanini usiende?hawaruhusu kutembelea wanafunzi?watoto?wadogo zenu?
Wanaruhusu kutembelea ila kuna siku maalum itabidi niulizie ikiwezekana niende maana napata mawazo sana juu yake inabidi nipate uhakika
 
Ushauri mzuri nitabidi nimuulize
 
Wanaruhusu kutembelea ila kuna siku maalum itabidi niulizie ikiwezekana niende maana napata mawazo sana juu yake inabidi nipate uhakika
Fanya hivyo kwa haraka Sana (kumbuka unapoenda kuongea nae jifanye unafahamu kila kitu) hofu yake ndio majibu yake kwako.
 
Mleta uzi kwa ninavyoona kaleta uzi ili aonekane ni moja kati ya watu walikutana na habari za kuhuzunisha lakini hayuko tayari kusaidia kwa namna moja au nyingi kuokoa watoto wengine.

Na anaendelea kuweka ugumu kuwa hata mdogo wake anaweza kuwa mhanga mkubwa wa hili tatizo..yani Kwa ufupi ni kwamba..anazuia mafuriko kwa chandarua.

Lakini pia,amesahau kuwa bado nae ni mzazi na ataendelea kuwa mzazi.Mungu anaweza kumbariki mtoto wa kiume pia.

Mleta uzi samahani kama nitakukwaza,naomba unisamehe tu..
Uzi wako ni mzito lakini majibu yako ni mepesi sana.binafsi yananifikirisha pia.

wema ni akiba,huruma,matendo mema kwa wengine ni akiba.inaweza kuwa hiyo akiba ya mema usiipate wewe..wakaja kuipata watoto wako au watoto wa watoto wako
 
Dada yangu pole najua una uchungu kama mzazi yeyote anaweza kujisikia ukipata habari hizi ila Dada yangu hili suala ni zito sana,hata Mimi imenipa uchungu ndio maana nikaona nisikae nalo peke yangu labda nitajaribu kutafuta mawasiliano ya Baba yake maana mimi sina muda mrefu wa kukaa hapa halafu inaonekana baba yake anafanya kazi mji mwingine huwa anakuja mara kadhaa tu,au mwishoni mwa wiki
 
Nae akamuuzi bila wasiwasi 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺💔💔💔
 
Chief hujapata uchungu aise.ungepata uchungu usingetoa majibu mepesi hata kidogo..ungenilifikiria hili swala kwa watoto wengine..ni lazima ungetafuta njia inyeshe mvua ama jua ili kuokoa watoto wengine

Usipofanya kitu Chief nakuhakikishia huu mzigo hautaweza kuutua.

Pengine Mungu Amekutumia wewe ili uweze kuokoa watoto wengine 🥺🥺🥺🥺
 
CHUKUA HATUA HARAKA ILI KUSAIDIA NA WEWE KUEPUSHA KUKUGHARIMU

mimi iliwahi nipata situation kama yako mahali fulani tena mara karibia tatu( wote ni watoto wa kichaga....sijui kuna uhusiano gani na watu wa moshi na arusha kwenye hili hata story za watu zinasema hivyo)

Wawili niliishia kuwashauri mimi pamoja na watu kadhaa wakadai kuacha....sielewi kama wameacha

Huyu wa tatu nitamuita Leon ingawa sio jina lake halisi
Leon alikua anapenda sana kupiga story na mimi time hiyo Mimi niko form six yeye yuko form two japo tulikua tunakutana likizo( sisi ni jirani) ikawa muda fulani akawa anaomba nimfundishe as tuition hivi sikupinga kwa sababu ninapenda kufundisha ingawa profession ya ualimu sio hobby yangu ...basi leon akaanza story za hapa na pale mara akikukuta anakuuliza umekula ukimjibu sijala anasema najua kupika tukiwa wawili ntakupikia mambo yakawa yanazidi kua mengi zaidi ikafikia nyakati akataka kuvuka mipaka akanitamkia ananipenda nikamueleza nakupenda pia kwa sababu binadamu wote tunatakiwa tupendane kwa amri ya Mungu yeye akasema ananipenda anataka awe submissive kwangu hilo neno submissive lilinishtua kidogo na that day nilihamaki baada ya kushikwa dhakari,nilikasirika hasira ikapanda ,lakini nikaamua kushusha hasira nijue mengi nilijua mengi na kifupi alianza shule na malezi yake pia yalichangia kwao yeye ni wakiume pekee na kwa mujibu wa maelezo yake anaweza kuingia room ya dada zake na akawakuta wako waziwazi na wala wasimfukuze na nyakati zingine anaweza sifia nguo au viatu vya kike akipita mdada mwisho nilimuweka chini kumshauri akaonekana kuelewa ingawa alikua anaomba sana msamaha kwao wasijue kwa sababu yule mzee Munishi angemuua kwa maelezo yake

Baada ya pale sijui alipata wapi namba yangu alikua ananihamasisha japo nimfanye tu hata asipokua na mimi kwenye mahusiano nimeblock namba zake nyingi sana ikafika hatua akawa kama kachoka juzi amenitafuta Instagram anasema yuko Udsm na anajihusisha na modeling,

NB; Modeling ni uwanja wa mashoga yafanyikayo huko mungu anajua na kwa maana hiyo sidhani kama ameacha huyu

Hiyo ni story iliyonisibu lengo na kuandika hapa
1.moja shirikisha wazazi wake vyema wajue ili umsaidie na uwasaidie
2.kuwashikisha wazazi wake kutakutoa wewe kwenye matatizo kwa sababu kuna siku nilipigiwa sim na mtu akisema ni dada ake leon akawa anasema amechukua namba nyingi kwenye sim ya leon ambazo anazihisi zina mawasiliano yenye viashiria vya mahusiano aidha kwa hao watu kumtaka huyo leon au huyo leon kuwataka ilinichukua muda kuaminika ikawa ni kutuma screenshot za chatings kila wakati ili kuaminisha kwamba sihusiki

Hivyo cha msingi shirikisha wazazi wake itakusaidia wewe,wao na huyo dogo pamoja na kizazi kingine

Usisahau kushughulika na wadodo zako akili yangu inaniambia kuna mshiriki mmoja kati ya hao wawili
 
Huko uliko Mungu aendelee kukutunza Chief 🤛🤛
 
Kuna wazo umenipa labda la kuongea na mama yangu halafu yeye alifikishe ngoja nitalifikiria maana mama kuna bidhaa Fulani huwa ananunua hapo kwenye duka lao(wana duka),Pili nadhani nitaongea na Denis ajue nini kinaendelea kwanza,

Sio siri nimepita dakika tano zilizopita hapo njiani(maana duka lao lipo njiani nimemsalimia Mama yake wakiwa na huyu Dogo kwa mbali lakini nimeshindwa hata kuwaangalia

Kuhusu hizo condom Jana jioni alikuja akasema hajatumia bado ila alienda kanisani kweli asubuhi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…