Unafanya kazi ofisi ya selikali, bahati mbaya, mko wengi mno ikatakiwa kwenye ofisi/chumba chako mkawekewa meza mbili zinazotazamana, wewe ni mwanaume na mwingine ni mwanamke au wewe ni mwanamke na mwingine ni mwanaume......basi, becuase mimi ni he, nitatoa mfano....mdada mnayefanya naye kazi mnaheshimiana kinoma, au wakati mwingine anakuletea za kuleta kama kukutawala vile kwenye ile ofisi....inatokea siku moja kazi zimezidi, mafaili yameletwa mengi mnaandika, ikafika saa saba hivi dada kwasababu labda ya shuguli ya nyumbani kwa mumewe jana usiku, usingizi ukampitia kwasababu amechoka sana....wewe unaendelea kufanya kazi...
ikatokea akawa amejisahau, kutokana na usingizi, mdada mnene hihaa,....mara akaachia ushuzi mkuuuuubwa,...boooooouuuuu! akaruka na kusimama kwa kushtuka, chumba chote harufu kaliiii kwasababu jana alikula samaki na nyama choma nyingi.....hahahaha, mdada anatamani kuingia chini ya meza ajifiche, mko wawili tu na wewe kwasabab ya harufu kali unashindwa kuvumilia mnabaki kuangaliana usoni..dada kaangalia chini hana hata la kufanya....ungekuwa wewe ndo dada ungefanya nini....haya yametokea sehemu fulani hivi, ninaficha ofisi hiyo.....