soma tafadhali

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
katikaka mahusiano mnaishi vzr 2 we na mwenza wako hadi inafika cku ya kupeleka kwenu posa inakubalika sasa inabakia cku ya kumpeka huyo mchumba wako nyumbani kwenu kwa ajili ya utambulisho mkawa mmekubaliana kabisa kama cku fulani 2taenda cku ya cku inafika mwenzio anaingia mitini na huku nyumbani maandalizi yamepamba moto kwa ajili ya utambulisho na kuanzia cku hiyo akakata mawasiliano baada ya mwezi mmoja akakupigia cm anakuomba msamaha kwa kilicho tokea je utamsamehe au utafanyaje
 
cku=siku?
2taenda=tutaenda?
Cm=simu?

Hapo unataka ushauri wa nini jamani?
Mbona ipo wazi kuwa mwenzio hana mpango na wewe? Unless kama alipata tatizo kubwa, na kama alipata tatizo hata ndugu mmoja asije kuwapa taarifa?
Shtuka!
 
Inategemea uhusiano wetu ulikuwa mzuri kiasi gani, na cha msingi ni yeye kunielezea sababu hasa iliyomfanya akakata mawasiliano ghafla, na kilichomrudisha baada ya mwezi mmoja ni nini?
 
Nitamsamehe kisha nitaachana nae, inawezekana alikua hajafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Na hata kama alikua na sababu ya msingi ya kutokuja kwenye utambulisho, sasa ndio akate mawasiliano mwezi mzima?
 
Hasamehewi mtu, kitendo cha kukimbia awali ni dalili kuwa hajitambui...
 
katikaka mahusiano mnaishi vzr 2 we na mwenza wako hadi inafika cku ya kupeleka kwenu posa inakubalika sasa inabakia cku ya kumpeka huyo mchumba wako nyumbani kwenu kwa ajili ya utambulisho mkawa mmekubaliana kabisa kama cku fulani 2taenda cku ya cku inafika mwenzio anaingia mitini na huku nyumbani maandalizi yamepamba moto kwa ajili ya utambulisho na kuanzia cku hiyo akakata mawasiliano baada ya mwezi mmoja akakupigia cm anakuomba msamaha kwa kilicho tokea je utamsamehe au utafanyaje

kama hakuapata tatizo kubwa kiasi ambalo nadhani kama angekua mstaarabu angetoa taarifa mapema huyo hakuwa amejiandaa teyari kuwa na wewe ndio maana siku ya kujitambulisha akaingia mitini,wakati mwingine tuchukue muda sana kusomana na kuulizana utayari wetu wa kuwa pamoja otherwise nikutiana aibu siku muhimu kama hizo.
 
Duh inategemea pia miaka ya mahusiano wengine hawataki oa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama alikufanya hivo siku ya utambulisho tegemea makubwa zaidi ya hilo siku ukishamweka ndani, shituka na chukua hatua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom