Soma hapa

Soma hapa

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki

Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango
 
tatizo nyie wataka ushauri hamjielewi na threads zenu. acheni watu wawape makavu
 
Wewe mada zako hazieleweki
Afu ludi kule kwenye mada yakwanza ulio toa leo
Remember ukiwa muongo uwe mwepesi wakukumbuka
 
mara nyingine mtu anakuja na story ya kutungwa kabsaa. umeiona mahali afu anaomba ushauri utaacha kumpa makavu?
 
hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki

Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango

Naona pia wewe mgeni hapa ndani kwaiyo kwa siku 7 hizi itakuwa bado hujalifaham vizuri jukwaa hili, ukishalifaham utalipenda maana utapata wapwa, mashemeji, marafiki, mawifi, na kila aina na ndugu, na ata kama utapata ndugu hao wote kama ukiwa umeleta issue na unastahili kupondwa tutakuponda tu na kama utastahili kupongezwa tutakupongeza pia, Karibu sana ndugu
 
hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki

Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango

Hili jukwaa lina reflect reality. Hali halisi ni kwamba, hii dunia imejazwa na kila aina ya watu. Ukielewa settings za huu ulimwengu, utaelewa nature ya majibu yanayotoka humu. Ukiwa unasoma, hakikisha unaweka "chujio" kwenye akiliyako. Chukua vya muhimu, tupilia mbali pumba.
 
Sio lazima kila komenti uichukulie serious,za hovyo zipotezee tu dadaangu,...wengine tupo kupunguza stress za majukwaa mengine huko.
 
Kama una stress ukija hapa uhakikishe ndgzo wanataarifa la sivyo unaweza uka rest in peace
 
Back
Top Bottom