Soma hapa

Soma hapa

hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki

Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango
Ukitaka kushauriwa kipumbavu, ndo utashauriwa hivyo...
 
short and clear i love that asipoelewa atakuwa na lake jambo.
Naona pia wewe mgeni hapa ndani kwaiyo kwa siku 7 hizi itakuwa bado hujalifaham vizuri jukwaa hili, ukishalifaham utalipenda maana utapata wapwa, mashemeji, marafiki, mawifi, na kila aina na ndugu, na ata kama utapata ndugu hao wote kama ukiwa umeleta issue na unastahili kupondwa tutakuponda tu na kama utastahili kupongezwa tutakupongeza pia, Karibu sana ndugu
 

mtu anashauriwa kutokana na alichokiandika!!
ukiandika uji usitarajie ujibiwe maziwa meen!!
 
Hakuna alie mtakatifu hapa watu wanabadilishana mawazo, wanaburudishana, kufundishana, kuelekezana, kukosoana, kunyooshana na mengineyo
 
Kuponda ndo naona ni bora kuliko kushauri maana mtu atakuponda hata mambo uliokua huyafikirii, tatizo nyie mnataka ushauri wa mambo mnayoyawaza kichwani kuwa ni sawa. Wengine sie kuponda ndo namna yetu ya kushauri tena inakufanya uwaze beyond ushauri.
 
Alieku introduce huku akakwambia utashauriwa kama uko kwa babamkwe wako alikudanganya maana maana hapa vichwa vyote vizuri Kwa vilivyopinda vipo humu na humu watu wako live hamna ufeki ni makavu live Kwa kwenda mbele, na especially utakapoleta story ya kutunga
 
Mbona povu limekutoka sana,kama umekula sabun ya magadi? Kp calm,huku kuna kila sampul ya watu,wenye vichwa resi,na vilivyotulia,so tarajia majibu ya kila namna#okbye
 
Ukiona mpaka kesho hajajibu ujue hatuko nae tena!
Unacheza na gegedo, mpaka mtu anaji r.i.p.

Kuna uzi kasema anataka afee ndio tunasubirii tupate mrejesho maana bajeti tushaandaa kila kitu kuhusu maziko yakee
 
Naona wewe haupo kiushauri zaidi upo kimipasho zaidi, mana kuna uzi nimeusoma una mipasho balaa.......kwani ulikosa sumu ya kujiua???? Ila humu inategemea umekujaje kuomba ushauri ukija kigreat thinkers utajibiwa vivyo hivyo ukija kiFB utajibiwa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom