Soma hapa unisaidie mawazo tafadhali

Soma hapa unisaidie mawazo tafadhali

Kwanza aende akajieleze ktk hiyo taasisi ya dini wanaweza kumsaidia kumpa cheti.
 
Mkatoe taarifa zake kwa vyombo vya haabari kama itv then wasamaria wema wajitokeza ili wamsaidie
 
Mim cha kumshaur aende kwenye kanisa au msikt anao sal(HASA KANISAN ATA KAMA NI MUISLAM) awaeleze tatizo lake naamin watamuelewa na kumsadia je amemalza kidato cha ngap?tu then kama yupo tayar nimfanyie mpango ende chuo cha ualimu kama ana iv ya27 tuwasiliane 0764616353 me nipo dar
Sidhani huko makanisani kama atapata huo msaada kwani baadhi ya makanisa yako tayari kupokea sadaka na si kuitoa kwa maendeleo ya mtu. Watamzungusha sana mpka apate huo msaada muda utakua umeenda. Shukrani kwa kujitolea kumsaidia barikiwa sana lkn sasa hata akikipata hicho chuo ada atalipaje na matumizi mengine atatoa wapi.....najiuliza tu. Hizi familia zetu za kiafrica zina mengi ya kustaajabu .
 
du,ajaribu hata kwenda makanisani au misikitini anaweza pata msaada wa namna ya kuishi na hata masomo ikiwezekana!

MKUU kwani makanisani kuna mashine za pesa
kwa ni makanisani na misikitini wanapatikana mungu watu? au watu kama mim na we we?
 
Cheti awaombe hao wa shule yake atoe copies kwa ajili ya application then akipata hela atachukua original
 
amemaliza cha nne ndgu ana 4 ya 26, yupo dar. asante sana sana kwa mchango wako 2takutafuta.

Sawa muambie asikatee tamaa!kwan hana ndug wengne kama baba mdogo,mkubwa shangz ambao wangeweza kumsave
 
hata huko makanisani mnakomshauri umakini unahitajika "dunia imeharibika" hii asije ishia kuwa mama mchungaji "mdogo"
 
Aende IPP media pale haidery plaza posta..huwa wanatoa misaada kwa watu wasiojiweza.apeleke barua ya maombi ya kusaidiwa kumalizia hiyo ada na kwa ajili ya scholarship ya chuo,akipata chuo,apeleke na evidence kweli yeye ni mwanafunzi asie na msaada wowote.(anaweza kupata recommendation letter kutoka kwa mkuu wa shule na academic reports).pale wanasaidia sana.
 
Kwanza aende akajieleze ktk hiyo taasisi ya dini wanaweza kumsaidia kumpa cheti.

alienda wakakataa 7bu ni pesa nyng anadaiwa c najua nao pia ni binadam halafu ile ni biashara. asante
 
aisee, imeniuma sana sana, umechelewa kidogo angeomba zile nafasi za zimamoto zilizotoka soon dead line ilikuwa tar 1/2. Anyway, huyo bado ni mdogo jamani, ila wazo la mtena ni la msingi sana, alternatively, kama kuna mtu angeweza kumsaidia mtaji afanye biashara pia itamssaidia, wazazi hao wote wamelaaniwa na cha moto watakiona hapa hapa duniani, huyo binti atafanikiwa sana baadae na hao watamtafuta awasaidie
 
Sawa muambie asikatee tamaa!kwan hana ndug wengne kama baba mdogo,mkubwa shangz ambao wangeweza kumsave

mmh ndugu wakat mwngne co wa kuwategemea coz amewalilia shda lakn kila m2 anasema ana majukum yake na hawez, na wanajua kwamba babake ana uwezo na jeuri sa hawataki kumckiliza wala kumsaidia. asante
 
hata huko makanisani mnakomshauri umakini unahitajika "dunia imeharibika" hii asije ishia kuwa mama mchungaji "mdogo"

kweli mpendwa. asante
 
aisee, imeniuma sana sana, umechelewa kidogo angeomba zile nafasi za zimamoto zilizotoka soon dead line ilikuwa tar 1/2. Anyway, huyo bado ni mdogo jamani, ila wazo la mtena ni la msingi sana, alternatively, kama kuna mtu angeweza kumsaidia mtaji afanye biashara pia itamssaidia, wazazi hao wote wamelaaniwa na cha moto watakiona hapa hapa duniani, huyo binti atafanikiwa sana baadae na hao watamtafuta awasaidie
asante dia, hta mm naona hilo la biashara linaweza kusaidia zaidi 7bu kusoma kupo na ukizingatia pesa anayodaiwa ni kubwa sana ili aweze pata hcho cheti! asante kwa mchango wako, ubarikiwe
 
Mpe pole, lkn mi nadhani alifanya makosa kuondoka kwa babake, kwa kawaida siku hiz watto wasipowapenda mama wa kambo bas kila jambo wanaona mateso, wanasahau wajibu wao. Angekuwa ananyanyaswa angefaulu kwel? Arudi tu kwao.
 
asante, ndugu ktanda usicholalia.....! nayakumbuka vzuri maisha yake akiwa kwa babake, alishindwa kumlipia ada miaka yote hyo ataweza sasa? hta akimpgia cm majibu anayomjibu hayafai. ya mwenzako ckia2 ndugu yng omba yackufike,kufaulu Kwake ni kudra2 za Mungu
 
huyu mama alimzaaje mwanae?

hivi hakusikia uchungu? au aliutuma kwa bluetooth kwa mama mwingine?

mi kuna baba mmoja hivi nilishuhudia kwa macho yangu, amehangaika na mwanae tena kwa kufanya kazi za ulinzi, kuanzia mwanae anasoma shule ya msingi, mpaka anafaulu kwenda kidato cha kwanza, baba akahama na mwane,

baba hakukata tamaa, akawa tu analala nje kwa muda miaka minne ili tu amsomeshe mwanae huyu mmoja wa kiume kwa miaka hiyo minne, mwanae nae akaonesha bidii, akafaulu mtihani wake wa kidato cha nne, akachaguliwa kwenda kidato cha tano kwenda IHUNGO bukoba. Bado baba akasafiri na mwanae, anamsomesha tu hivyo hivyo kwa shida na raha.

mwanae kaja kumaliza shule, kidato cha sita mwaka 2012 na akapata division 1 ya point saba! furaha iliyoje kwa baba! matatizo yakawa yamepungukia hapo! sasa mwanae yuko Mzumbe university, anasoma BAF!

sasa huyu mama imekuwaje mpaka anamtelekeza mwanae namna hii?

je, siku akipata, ataunyoosha mkono wake na kusema njoo mwanangu?
 
Mimi nasema hivi aje jf tumchangie, huko mskitini au kanisani nani atamshika mkono? Pili ustawi wa jamii, je ikiwa wazazi wake hawana kabisa kitu itakuwaje??????? Tuwe mifano kwa wahitaji.... Neno langu si sheria mpaka lifuatwe
 
mimama nasisi mibaba mingine yote .ni mibazazi ....
 
Back
Top Bottom