Soma hapa unisaidie mawazo tafadhali

Soma hapa unisaidie mawazo tafadhali

Aende ustawi wa jamii na mashirika yakiraia watampatia msaada wa kisheria na atafanikiwa kusoma,
 
du,ajaribu hata kwenda makanisani au misikitini anaweza pata msaada wa namna ya kuishi na hata masomo ikiwezekana!
 
jaman familia hz tunazotokea jaman mmh mungu atulinde tu inauma xana
 
Mim cha kumshaur aende kwenye kanisa au msikt anao sal(HASA KANISAN ATA KAMA NI MUISLAM) awaeleze tatizo lake naamin watamuelewa na kumsadia je amemalza kidato cha ngap?tu then kama yupo tayar nimfanyie mpango ende chuo cha ualimu kama ana iv ya27 tuwasiliane 0764616353 me nipo dar
 
Umri wa binti ni miaka mingapi?
 
Akiwa mtu mkubwa baadae wanarudi, sijui watu wengine walichimbwa ardhini.. Mizazi mingine inakera kinoma..
Hapo pagumu sio siri, labda niunge mkono wanaosema apelekwe Ustawi wa jamii kujaribu kitu, Au Kanisani au msikitini, those places anaweza kupata kitu flani. She is keeping up a very strong fight. Duh!
 
Sasa huyo mama gan jaman? mbona hana hata uchungu na mwanae jaman, hapo kaz ipo Dada wa watu asije ishie kujiuza aisee.
 
Mim cha kumshaur aende kwenye kanisa au msikt anao sal(HASA KANISAN ATA KAMA NI MUISLAM) awaeleze tatizo lake naamin watamuelewa na kumsadia je amemalza kidato cha ngap?tu then kama yupo tayar nimfanyie mpango ende chuo cha ualimu kama ana iv ya27 tuwasiliane 0764616353 me nipo dar

amemaliza cha nne ndgu ana 4 ya 26, yupo dar. asante sana sana kwa mchango wako 2takutafuta.
 
Akiwa mtu mkubwa baadae wanarudi, sijui watu wengine walichimbwa ardhini.. Mizazi mingine inakera kinoma..
Hapo pagumu sio siri, labda niunge mkono wanaosema apelekwe Ustawi wa jamii kujaribu kitu, Au Kanisani au msikitini, those places anaweza kupata kitu flani. She is keeping up a very strong fight. Duh!

asante kwa mchango ndgu asante saana.
 
Duh! Any way aende Ustawi wa jamii na kanisani watamsaidia. Atafutae hachoki, na huyo mama yake nae kama hakusikia uchungu wa kuzaa vile.
 
Back
Top Bottom