Soma hapa ujifunze madhara ya sembe

Soma hapa ujifunze madhara ya sembe

Dangotte Junior

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
5,949
Reaction score
8,509
Habari zenu wataalamu wa afya,

Naombeni kuuliza hv kati ya unga wa dona na unga wa sembe ni upi hauna madhara/una madhara kiasi kidogo kiafya???.

Kuna takwimu zishawahi tolewa kwamba watu wa kanda ya ziwa wanakumbwa sana na kwa sababu wanakula sana dona.

Mm binafsi n mpenzi wa dona lakn nina mashaka na jins huu unga unavoandaliwa. Mfano unakuta pale mashneni wanashusha roba kama 100 hv za mahnd ambayo obviously yametiwa sumu ya kuua wadudu.

Halafu wanayasaga kutengeneza unga (hawayaoshi vya kutosha). Je, hii sumu haiwez kuja kumdhuru mlaji?. Kama nmekosea sehemu nikosolewe ila nataka tu kujua ni upi unga mzuri kwa afya kati ya sembe na dona.

EDITED; Je ni unga gan mwngne mzuri ambao naweza kupikia ugali tofaut na sembe na dona?

"I stand to be corrected"
View attachment 1858237
 
Dona zuri ni; Nunua mahindi osha mwenyewe vizuri yaanike na baadaye yasage, saga kiasi ili unga usikae nao kwa muda nrefu sana kabla haujaisha kwani dona likikaa kwa muda mrefu linaharibika.

Juu ya yote sembe ni nzuri kwa kuepuka madawa yanayowekwa kwenye mahindi wakati wa kuyatunza.

Hayo ni maoni yangu.
 
Kama ni mahindi ya shambani kwako na hukuweka dawa unaweza kusaga dona ni nzuri kwa tumbo kwani ina fibre.

Mahindi ya kununua ambayo huna uhakika nayo kama yana madawa ya kuhifadhia. Osha kwanza kabla ya kusaga dona.
Sawa ahsante, lakn mm hua nanunua unga sio mahnd. Ndo nataka kujua je hii dona ya kununua n salama?
 
Kama ni mahindi ya shambani kwako na hukuweka dawa unaweza kusaga dona ni nzuri kwa tumbo kwani ina fibre.

Mahindi ya kununua ambayo huna uhakika nayo kama yana madawa ya kuhifadhia. Osha kwanza kabla ya kusaga dona.
Na kuna mwingine alishawahi sema DONA nalo lina shida...!!! Mwingine aliwahi sema IMANI yetu kuwa KONGORO linasaidia miguu haina kitu... hakuna msaada wowote toka kwenye makongoro...!!! Yaani ilimradi kila mtu anamtisha mwenzie
 
Dona zuri ni; Nunua mahindi osha mwenyewe vizuri yaanike na baadaye yasage, saga kiasi ili unga usikae nao kwa muda nrefu sana kabla haujaisha kwani dona likikaa kwa muda mrefu linaharibika...
Sawa, kwa hyio tunaweza sema kwamba, sembe ni nzuri kukwepa zle sumu znazoekwa kuhfadhi mahnd, lakn dona ndo ina virutubisho zaid.
 
Na kuna mwingine alishawahi sema DONA nalo lina shida...!!! Mwingine aliwahi sema IMANI yetu kuwa KONGORO linasaidia miguu haina kitu... hakuna msaada wowote toka kwenye makongoro...!!! Yaani ilimradi kila mtu anamtisha mwenzie
Kongoro ni nutritional, ile supu Ina born marrow na mafuta mengi. Ni nzuri kwa afya lakini usile kila siku unless unafanya mazoezi sana.
 
Sawa,,kwa hyio tunaweza sema kwamba,,sembe ni nzuri kukwepa zle sumu znazoekwa kuhfadhi mahnd, lakn dona ndo ina virutubisho zaid.!!
Unang'ang'ana weee kudanganya watu kuwa dona ina sumu ilimradi tu ukatae ukweli.

Kubali au kataa kuwa panya anakuzidi akili unayekula makapi maana akikuta mahindi sehemu hula kiini na ganda tu.
 
Unajuwa, kila kitu tunaambiwa kina madhara... Sembe nimekula toka nipo mtoto kupitia uji.. Leo hii mnapotaka kutuaminisha kuwa sembe nayo ni shida sielewi...
Sembe sio shda,,,ila sembe ina virutubisho vichache kuliko dona na ndo mana nguruwe wanaokula pumba hua wananenepa sana kwa sababu wakati wa kusaga sembe virutubisho vingi huwa vinabakia kwny pumba
 
Back
Top Bottom