Habari zenu wataalamu wa afya,
Naombeni kuuliza hv kati ya unga wa dona na unga wa sembe ni upi hauna madhara/una madhara kiasi kidogo kiafya???.
Kuna takwimu zishawahi tolewa kwamba watu wa kanda ya ziwa wanakumbwa sana na kwa sababu wanakula sana dona.
Mm binafsi n mpenzi wa dona lakn nina mashaka na jins huu unga unavoandaliwa. Mfano unakuta pale mashneni wanashusha roba kama 100 hv za mahnd ambayo obviously yametiwa sumu ya kuua wadudu.
Halafu wanayasaga kutengeneza unga (hawayaoshi vya kutosha). Je, hii sumu haiwez kuja kumdhuru mlaji?. Kama nmekosea sehemu nikosolewe ila nataka tu kujua ni upi unga mzuri kwa afya kati ya sembe na dona.
EDITED; Je ni unga gan mwngne mzuri ambao naweza kupikia ugali tofaut na sembe na dona?
"I stand to be corrected"
View attachment 1858237