Soma hapa ujifunze madhara ya sembe

Soma hapa ujifunze madhara ya sembe

Wao wanapima kiwango cha foreign materials zilizopo kwenye nafaka. Kuna kiwango hakitakiwi kuvukwa mfano water content, mchanga na taka nyingine. Nafaka zinahifadhiwa kwenye mifuko isiyopitisha hewa ili kuzuia wadudu wasipenye na walio ndani wasizaliane. Hiyo mifuko tunayo na ina bei kidogo...
Sawa sawa
 
Habari zenu wataalamu wa afya,

Naombeni kuuliza hv kati ya unga wa dona na unga wa sembe ni upi hauna madhara/una madhara kiasi kidogo kiafya???.

Kuna takwimu zishawahi tolewa kwamba watu wa kanda ya ziwa wanakumbwa sana na kwa sababu wanakula sana dona.

Mm binafsi n mpenzi wa dona lakn nina mashaka na jins huu unga unavoandaliwa. Mfano unakuta pale mashneni wanashusha roba kama 100 hv za mahnd ambayo obviously yametiwa sumu ya kuua wadudu.

Halafu wanayasaga kutengeneza unga (hawayaoshi vya kutosha). Je, hii sumu haiwez kuja kumdhuru mlaji?. Kama nmekosea sehemu nikosolewe ila nataka tu kujua ni upi unga mzuri kwa afya kati ya sembe na dona.

"I stand to be corrected"
View attachment 1858237
utfiti umesema kanda ya ziwa wanakumbwa na nini
 
Fibre zinapatikana kwenye vyakula vingine

kula sembe yako na mboga ya majani fibre hiyoo maisha saafi kabisa
Tusikariri
Tatizo ni kwamba ukishakula hiyo sembe yako ambayo haina fibre utapata constipation ambayo ukienda chooni itakusababishia gonjwa la bawasiri.
 
Tatizo ni kwamba ukishakula hiyo sembe yako ambayo haina fibre utapata constipation ambayo ukienda chooni itakusababishia gonjwa la bawasiri.
Mboga za majani na matunda zina fibre

fibre si lazima uzipate kwenye dona tu

keep an open mind
Na boresha ujuzi wa masuala ya lishe
Fibre ni suala la 'whole grain' kwenye hizi nafaka

Na vegetables ziliwe the fresher the better
Na matunda bila kusaga na kuchuja
Kama ni smoothie basi usichuje

ni kama vile nyama haina fibre pia
But ukiila na veggies inasaidia wala hupati constipation wala bawasiri

js learn to balance ur meals
And u can eat anything
 
Mimi nimeandika based on maisha ya kawaida ya watanzania wa kawaida ambao ndiyo wengi.Kwa watanzania wa kawaida ambao ndiyo wengi hawana uwezo wa kula kama ulivyoandika hapo juu ndiyo maana bawasiri ni common sana Tanzania.Wengi wanakula ila mradi njaa isiwaue kutokana na kipato duni pamoja na elimu duni walionayo.

Kwa mtanzania wa kawaida ambae ana kipato duni pamoja na elimu duni ambapo hana uwezo wa kubalance milo yake ni vyema kukwepa sembe kwa mustakabadhi wa afya yake.Imagine mtu anakula sembe mchana na jioni kwa mboga duni kila siku,ni nini kitatokea hapa?
 
Mboga unazoita duni ndo zina fibre hizo
Si una maanisha mboga za majani?
Ni the best...

bawasiri sio kubwa kiasi hicho
Labda uje na takwimu
Na km ni kubwa maskini wakulima watapata wa mwisho mana ndo kundi linakula fresh original foods kutoka shambani

The fresher and original.,the better
Ama vitu mchemsho
Mihogo mchemsho viazi nk

kiama ni walaji wa chips na white bread na vitumbua nk
sio maskini hao

Tanzania eating healthy is cheap
Mboga fungu sh ngapi? Ina fibre many can afford
nyama je? Haina fibre many cant afford
 
Mboga unazoita duni ndo zina fibre hizo
Naita duni kwa maana ya uchache wake.Yaani namaanisha kuwa masikini wa mjini hana uwezo wa kununua mboga nyingi ambazo zitacompromise athari za sembe.Fungu moja ni kwa familia nzima.
bawasiri sio kubwa kiasi hicho
Labda uje na takwimu
Na km ni kubwa maskini wakulima watapata wa mwisho mana ndo kundi linakula fresh original foods kutoka shambani
Masiki ninaozungumzia hapa ni wale wanaoishi mijini.Siyo wa vijijini.
The fresher and original.,the better
Ama vitu mchemsho
Mihogo mchemsho viazi nk

kiama ni walaji wa chips na white bread na vitumbua nk
sio maskini hao

Tanzania eating healthy is cheap
Mboga fungu sh ngapi? Ina fibre many can afford
nyama je? Haina fibre many cant afford
Masikini wa mjini fungu moja linaliwa na familia nzima,kwenye hali kama hii ni ngumu athari za sembe kuwa compromised.
 
Naita duni kwa maana ya uchache wake.Yaani namaanisha kuwa masikini wa mjini hana uwezo wa kununua mboga nyingi ambazo zitacompromise athari za sembe.Fungu moja ni kwa familia nzima.

Masiki ninaozungumzia hapa ni wale wanaoishi mijini.Siyo wa vijijini.

Masikini wa mjini fungu moja linaliwa na familia nzima,kwenye hali kama hii ni ngumu athari za sembe kuwa compromised.
Sembe isikutishe ni kama nyama tu
Nyama ina fibre?.

TZ healthy foods are cheaper
 
Back
Top Bottom