Soma hapa ujifunze madhara ya sembe

Soma hapa ujifunze madhara ya sembe

Sawa ahsante, lakn mm hua nanunua unga sio mahnd. Ndo nataka kujua je hii dona ya kununua n salama?
Mimi sinunui dona kwenye maduka ya vyakula wala ugali wake kwa mama ntilie. Kwanza wanaweka mahindi yote na yaliyoharibika ambayo unakuta yana sumu kuvu. Sumu kuvu ni hatari inayoongezeka kama walioyanunua waliyahifadhi na wakatia madawa kuzuia wadudu.

Kama ambavyo Kenya walipiga marufuku kipindi fulani mahindi yetu kisa yana sumu kuvu ndivyo ambavyo mahindi yetu bongo hayawezi uzwa nje nchi zenye akili.
 
Unajuwa, kila kitu tunaambiwa kina madhara... Sembe nimekula toka nipo mtoto kupitia uji.. Leo hii mnapotaka kutuaminisha kuwa sembe nayo ni shida sielewi...
Suala hapa ni science na fact,mambo ya porojo weka pembeni.Sembe haina fibre.Hili ni suala la sayansi.Kwa sababu sembe haina fibre siyo chakula bora.
 
Sembe sio shda,,,ila sembe ina virutubisho vichache kuliko dona na ndo mana nguruwe wanaokula pumba hua wananenepa sana kwa sababu wakati wa kusaga sembe virutubisho vingi huwa vinabakia kwny pumba
Kwani kunenepa ni sign ya mtu kula virutubisho vizuri/ balanced diet au ni ulafi tu?
 
Kwani kila chakula kisicho bora kina madhara..!?
Madhara mabaya kabisa ya sembe ni kusababisha ugonjwa wa bawasiri in long run kwa sababu sembe huwa inaganda tumboni kama simenti na kusababisha choo ngumu. Hizi ni fact za sayansi ambazo hazipaswi kupuuzwa kwa porojo.
 
Madhara mabaya kabisa ya sembe ni kusababisha ugonjwa wa bawasiri in long run kwa sababu sembe huwa inaganda tumboni kama simenti na kusababisha choo ngumu.Hizi ni fact za sayansi ambazo hazipaswi kupuuzwa kwa porojo.
Yaani unatoa unazoziita fact kwa maelezo tu hivi bila hata kaushahidi...!? Nataofautishaje sasa na uwongo mwingine UKIZINGATIA wapo tuliokuwa sembe na hatujaathirika na hiyo bawasili..!?
 
Mimi sinunui dona kwenye maduka ya vyakula wala ugali wake kwa mama ntilie. Kwanza wanaweka mahindi yote na yaliyoharibika ambayo unakuta yana sumu kuvu. Sumu kuvu ni hatari inayoongezeka kama walioyanunua waliyahifadhi na wakatia madawa kuzuia wadudu.

Kama ambavyo Kenya walipiga marufuku kipindi fulani mahindi yetu kisa yana sumu kuvu ndivyo ambavyo mahindi yetu bongo hayawezi uzwa nje nchi zenye akili.
Sawa sawa,,,na je hzo nchi zenye akili wanatumia njia gan kuhifadhi mahindi tofauti na kutia madaw?
 
Yaani unatoa unazoziita fact kwa maelezo tu hivi bila hata kaushahidi...!? Nataofautishaje sasa na uwongo mwingine UKIZINGATIA wapo tuliokuwa sembe na hatujaathirika na hiyo bawasili..!?
Hii article inaelezea jinsi sembe inavyosababisha ukosefu wa choo na hiki hapa ni kipande cha hiyo article
109_20210718_150749.jpg
Kusoma article nzima ingia hapa Constipation Diet: Never eat these foods in Constipation
 
Umeamua kusumbua watu?Hujaona anazungumzia whole grains vs white?Kwako wewe whole grains ni nini na white grains ni nini?Unajua kusoma?
Najua unajifanya mwelevu ila hakuna kitu hapo ni porojo kama nyingine
 
Sawa sawa,,,na je hzo nchi zenye akili wanatumia njia gan kuhifadhi mahindi tofauti na kutia madaw?
Wao wanapima kiwango cha foreign materials zilizopo kwenye nafaka. Kuna kiwango hakitakiwi kuvukwa mfano water content, mchanga na taka nyingine. Nafaka zinahifadhiwa kwenye mifuko isiyopitisha hewa ili kuzuia wadudu wasipenye na walio ndani wasizaliane. Hiyo mifuko tunayo na ina bei kidogo.

Nafaka kama mahindi zinatumia madawa shambani ila kwa sisi utakuta mradi dawa inaua wadudu basi, hatuzingatii kama ina madhara kwa binadamu. Kwingineko kuna dawa kadhaa zinapigwa marufuku na mamlaka mfano FDA kule Marekani. GMO seeds zipo zinasemekana zinaleta cancer ila hakuna concrete proof, bado hakuna tafiti hasa inayoonesha madhara makubwa
 
Dona zuri ni; Nunua mahindi osha mwenyewe vizuri yaanike na baadaye yasage, saga kiasi ili unga usikae nao kwa muda nrefu sana kabla haujaisha kwani dona likikaa kwa muda mrefu linaharibika
SEMBE INA TATIZO LA CHOO KUWA KIGUMU KIAFYA SIO NZURI PIA HAINA FIBRE(KAMBA LIDHE) HIVYO NI VIGUMU KUTOA SUPU MWILINI....USILE SEMBE CONTENT YA WANGA NI KUBWA UTAZURU AFYA YAKO!!!!!!
 
SEMBE INA TATIZO LA CHOO KUWA KIGUMU KIAFYA SIO NZURI PIA HAINA FIBRE(KAMBA LIDHE) HIVYO NI VIGUMU KUTOA SUPU MWILINI....USILE SEMBE CONTENT YA WANGA NI KUBWA UTAZURU AFYA YAKO!!
Unachosema ni kweli kabisa, lakini maandalizi ya dona ni magumu sana na hata ukifanikiwa kuuandaa bado kuna Risk ya kupata magonjwa ya kansa nk, kutokana na madawa yanayowekwa katika kuhifadhia hayo mahindi usisahau na Sumu kuvu, njia salama ya kupata dona ni usage mahindi yako uliyolima mwenyewe, sasa ni wangapi ni wakulima wa mahindi huku mijini??.

Hapo ni uchaguzi ule sembe upate ugonjwa wa bawasiri na mengineyo au ule dona inayoweza kukusababishia kupata kansa, tezi dume nk.

NB: ninapenda dona lakini katika mazingira yangu nimelazimika kula sembe kwa miaka zaidi ya 20 sasa.
 
Back
Top Bottom