soma hapa lool | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

soma hapa lool

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mulhat Mpunga, Jun 26, 2012.

 1. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,529
  Likes Received: 12,784
  Trophy Points: 280
  ukimwi.jpg sijui ni wapi hapa khaaaaa
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hii kali
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hiyo.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,975
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  mkuu Kingcobra unafikiri ujumbe unafika huo? tena usishangae mahali hapo pakawa labda ni Ilula huko Iringa.

  nakumbuka kuna mwaka mmoja nilikwenda kwenye sherehe za mwenge kule Tukuyu Rungwe, sijui panaitwa makandana vile lolest .........ujumbe wa mwaka huo ulikuwa wanaume kiini cha mabadiliko katika kutokomeza ukimwi. Huwez kuamini sherehe zilifana sana na disco languvu jamani kumbe usiku wengine wakiserebuka wengine wanaendelea na kazi nyingine hatukugundua asubuhi ndio ikawa balaa uwanja wote ulikuwa umetapakaa condom used. na mgeni wetu mwenge na anatakiwa aangwe kwenda wilaya ya kyela siku hiyo asubuhi, kwa aibu ilibidi tuwaforce wanafunzi waokote manake ni balaa. Tena nashukuru sana enzi hizo mambo ya haki za binadam na watoto hayakuwa yamepamba moto ingekuwa ni leo mbona tungeishia lupango mkuu kwa kuwaokotesha wanafunzi condom chafu?

  ujumbe haufiki kabisa kwa watu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hapo ni JAPENGA huoni chini ya bango? !:smow:
   
 7. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  uaminifu sikuizi ni kama old legends,only the wise are interested
   
 8. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Mkuu gfsonwin hayo mambo sio makandana pekee ... ni kila sehemu mwenge unapolala ... nakumbuka kuna mtu alipendekeza katika mbio za mwenge kusiwe kuna mkesha wa mwenge na kuwa Mwenge uwe unalala kwa mkuu wa wilaya bila shamrashamra alafu asubuhi uendelee na safari yake.

  Hii ni kwa sababu ya kupunguza maambukizi mapya ya Ukimwi! .... maana kila sehemu mwenge unapolala ... hayo mambo ya ngono huwa ni sana!
   
 9. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NADHANI HII IPO KASULU....kama sikosei!!!!!!!!!
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,529
  Likes Received: 12,784
  Trophy Points: 280
  he sa walikua wanamaanisha nini? wale ambao hawaoa wala kuolewa
  ujumbe wao utasomekaje aisee
   
 11. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Utamaduni wa kiafrika --nadhani makabila mengi mtu haruhusiwi ku-do kabla ya kuolewa/kuoa. Binafsi nimemjua mke wangu siku ya ndo (INASHANGAZA:A S confused::A S confused:-lakini SI KWA KIZAZI cha leo). Kwa hiyo wakasulu (nadhani nimekiona kibao hicho huko) walijua mtu huwezi ku-do na asiye wako! Si unajua makabila mengi hata leo hii mtu yupo Dar anaumri wa miaka 30, anafanyakazi, hajaoa, ila anakaa na BF au GF, lakini siku akitembelewa na wazazi/ndugu anamwambia BF/GF nenda kwenu kisha anamruhusu kuja kumtembelea wakati wa mchana....anamtambulisha kama rafiki yake tuuuu! Nothing more! Sasa Flora - ushafahamu matokeo ya hii ni nini? Huyu ana-do hapa, na wanam-do pale na mtandao unaenea kila sehemu,kisha tunafichana kusema nina-GF au BF! To cut the story short, jana mwanza airport nilipenda vijana wawili (msichana na mvulana in their late 20s....kwa kukadiria). Binti alifaa Tshirt yenye mchoro wa Moyo imeandikwa I LOVE my Boyfriend. You see, kijana akimruhusu amlalie wakati anasubiri usafiri wa ndege. Si utamaduni wetu kuonesha mapenzi hadharani, lakini gharama yake ni kuwa na wapenzi wengi wasio wapenzi na mwisho kuambukizana UKIMWI!
   
Loading...