wewe ndio huelewi japo unasoma alichofanya daudi. Mna masikio lakini hamsikii, mna macho hamuoni. Daudi alikuwa kwenye ibada? Hebu soma upya na utafakari.
Habari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.
HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.

Mkuu huyo dada ni makelele matupu, na nadhani angependa awe star wa kuimba, lakini hana style wala mvuto.Habari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.
HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.
tunafanana mawazo mkuuHabari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.
HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.
Jamani muacheni kumuandama florah hamjui kama hii kitu ni tamu huenda ya Emmanuel ilikua haimkuni vizuri kunako, Chezea Gwajima wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndugu mfalmw Sulemani alicheza lakini cheza yake haikuwa arranged/ planned alijikuta akipata mizuka na kurukaruka kwa furaha kwa matendo makubwa aliyofanyiwa na Mungu, hawa wakina Rose Mhango wana plan in advance jinsi gani atakata viuno na steps atakazocheza na dancers wake. Umeona tofauti?
tunafanana mawazo mkuu
Inamaana Kiswahili hukijui misili maanayake ni mfano
Hela nzuri? Kimaslahi zaidi mkuu!? Bahati mbaya, imma yuko kwa pilato tayari, unafikri itakuwa rahisi kumchomoa?Mkuu isotope umenena kabisa. Flora kutokuwa na Imma maishani mwake ni anguko kubwa sana kimaisha. Hataweza kupata public support tena kwa nyimbo zake na hataweza kusimama jukwaani kumsifu Mungu. Ni Mungu yupi atamsifu wakati ameshindwa kusamehe? Mume wake anasema wazi kuwa anampenda sana mke wake na anamwomba popote alipo ajitokeze arudi nyumbani na ameshamsamehe kwa kila kitu. Mkuu ile kesi ni framing tu!!! Hata kama alikuwa anakula shemeji ni kwa kuwa it seems ndoa yao ilianza kukumbwa na misukosuko muda mrefu. Pia nina wasiwasi sana kama wako na amani na hakuna shida ni kwa nini wana mtoto mmoja tu binti? Wanisamehe kama wana tatizo la uzazi ila kama ni under normal circumstances wangekuwa na watoto wengine kwa sababu are married over 10 years na binti ni mkubwa tu!!! Ni maswali mengi ya kujiuliza ila ni wakati umefika wasahau yote waanze upya!!! Tena from their crisis wanaweza kuanzisha hata huduma ya marriage healing na itawapa hela nzuri sana. So sadi.
Wewe ndio huelewi japo unasoma alichofanya daudi. Mna masikio lakini hamsikii, mna macho hamuoni. Daudi alikuwa kwenye Ibada? Hebu soma upya na utafakari.
Huna Point Wewe, Eti Usicheze Ukiimba! Embu Kanunue Biblia Usome Daudi Alifanyeje?
Mkuu huyo dada ni makelele matupu, na nadhani angependa awe star wa kuimba, lakini hana style wala mvuto.
Hii kashfa na ukweli unaotolewa na ndugu zake wanaomzunguka unaondoa kabisa unyota wake, jana nilisema ningekuwa na disc yake ningeitupa kabisa.
Kitendawili hapa ni undugu wake na Mzee Kulola(nasikia mjukuu wake-sijui kama kweli), anamuaibisha huko alikolala mzee huyo.