Soma Hapa Kumhusu Flora Mbasha

Soma Hapa Kumhusu Flora Mbasha

swali la kujiuliza,iwapo emma akienda jela miaka 30, je frola ataweza kuolewa tena kwa mujibu wa imani yake? kama hatoweza kuolewa tena, je tamaa za nyege zake zitamalizwaje? au ndo kimya kimya watatoka na gwajima wake? maana asishabikie kufungwa tu kwa mumewe,akumbuke kunasiku atakuwa anataka akunwe sambusa yake halafu mkunaji halali ndo huyo anakazania amfunge. FROLA NI ZAIDI YA SHETANI,
 
issue ni kwamba flora kukaa hotelini kisha mume kubaka!! Mtoa ripoti body guard wa gwaji" hii hainiingii akilini. Gwaji oyeeee

kisha mbakwaji akaenda kuishi nyumbani kwa gwajima. Ha ha ha ha haa nimeokoka na ninampenda yesu haleluyaaaa, njoni mtoe sadaka flora hana makazi anadaiwa kodi nami nikiwa mchungaji wake nawajibika kumpangia nyumba frola, ha hahaa
 
Well the way things have turned against the Mbasha and Flora is sad. The truth of this matter is clearly known to F&M. However, it is a total disgrace the their family life. I strongly believe there is something behind the curtain, that could better be told by both F&M. There exists facts that are very strange to us. The best the two could is to demonstrate tolerance and forgiveness in marriage. Regardless of current situation the family is going through, supreme to all they should adhere to biblical teaching on love and marriage.
 
Habari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.

HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.
Wewe ni mwanamke au mwanaume?

me napata shida kuona watu wanaacha kufanya shughuli za kimaendeleo kujikwamua na umasikini badala yake kucha kutwa kukalia maisha ya watu wacha tabia za kinadada kama ni me na kama ni ke jiheshimu kuwa busy na wanao flora hakusaidii chochote na maisha yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom