Hatima ya huduma ya Flora iko mikononi mwa Imma...bahati mbaya sasa Imma yuko mikononi mwa dola.. bila kuwa na imma kila atakapo kuwa anapanda jukwaani watu lazima watahoji...Florah Mbasha amejidhalirisha sana, amelidhalirisha hata neno la mungu alilokuwa akilieneza.. Hivi atawezaje kusimama tena kulitangaza neno la Bwana, na watu wathubutu kumsikiliza, achilia mbali kumwamini..!! Mambo ya aibu sana.
Huna Point Wewe, Eti Usicheze Ukiimba! Embu Kanunue Biblia Usome Daudi Alifanyeje?
Nyimbo za injili siku hizi ni biashara kama biashara zingine
Mithili. Si unajua tena S. Kawambwa Academy
Daudi alikata mauno?
Huna Point Wewe, Eti Usicheze Ukiimba! Embu Kanunue Biblia Usome Daudi Alifanyeje?
Huna Point Wewe, Eti Usicheze Ukiimba! Embu Kanunue Biblia Usome Daudi Alifanyeje?
Hivi huyu florah ni kabila gani manake duuuuuuh anavyokatika hivyo si mchezo,,,Jamani Gwajima ana faidi kweli.....Aisee we ni mchambuzi mpaka nafurahi yaan. Kwel Suleiman ni furaha hadi akashindwa kujizuia ila hawa wa kwetu wanajiandaa kabisa kukata mauno yao. Ila duh uyu Flora kajaa jaa ana kamvuto flani ivi
Jamani muacheni kumuandama florah hamjui kama hii kitu ni tamu huenda ya Emmanuel ilikua haimkuni vizuri kunako, Chezea Gwajima wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Florah Mbasha amejidhalirisha sana, amelidhalirisha hata neno la mungu alilokuwa akilieneza.. Hivi atawezaje kusimama tena kulitangaza neno la Bwana, na watu wathubutu kumsikiliza, achilia mbali kumwamini..!! Mambo ya aibu sana.
Habari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.
HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.
Ulimaanisha Misri?
Inamaana Kiswahili hukijui misili maanayake ni mfano
Hatima ya huduma ya Flora iko mikononi mwa Imma...bahati mbaya sasa Imma yuko mikononi mwa dola.. bila kuwa na imma kila atakapo kuwa anapanda jukwaani watu lazima watahoji...
Inamaana Kiswahili hukijui misili maanayake ni mfano