Soma hapa je ni kweli

Soma hapa je ni kweli

wa dar ni chumvi mwanza watamu utafikiri kama nini hebu wataalamu watuambie utamu wake unafanana na nini maana hata asali iko nyuma

Hakuna kitu chochote kitakachokosekana Dar..Mnaweza kula mapanki huko Mwanza na Dar twala sato au sangara fresh
 
Karibuni sana mwanza ndugu zangu hakuna fujo yoyote,kupo shwari kinouma nina miaka kumi na saba sasa,fujo inawezekana kutokea popote pale,lakin lazima kuwepo na source ya fujo hiyo!
 
Mnasema Ruvuma Pombe, na hiyo Mbege, Pingu, Rubisi zipo Ruvuma? Mkoto kutihole choku ya maganga..
 
Nendeni kagera huko muwe watu wa misifa mnaonunua maduka ya wenzenu, "KWA DUKA LOTE NI SHILINGI NGAPI??
 
Back
Top Bottom