Solve dis if u r Great thinker

 
goja nimjaribu safari ni matembezi yanaweza kuwa ya miguu.basi,bajaji,fast jet au tre ni lakin zote ni safari na safari moja huanzisha nyingine na ndio maana akajiita@safari ni safari au sio?
 

Mkubwa mpeni haki bwanaa!
Hilo quiz haligogeki kama unavyodhani.
 
Mkubwa mpeni haki bwanaa!
Hilo quiz haligogeki kama unavyodhani.

Linagogeka Mkuu!

Labda tu useme hujui kutumia Google! Mwanangu kuna njia nyingi za kugogesha vitu kama unatumia google usipende kuwekewa vitu direct.

Safari-ni-safari ni mtaalam wa kugogesha vitu wewe! Sasa jaribu kuandika "city name with fruit name" au "City in the world with 11 letters". Hapo utamwagiwa options nyingi kazi inabaki kwako tu kutafuta, mpaka wanakuletea swali lilivyokuwa limeulizwa Boflo. Ukiona google inakuzingua unaenda kwenye search engine ya Yahoo! Maswali staki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…