Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Solomon Mukubwa: Mfalme wa Amani

Discussion in 'Entertainment' started by n00b, Jan 3, 2010.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 947
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=M25Cuxi-f0A[/ame]

  I like this song guys! Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jan 3, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,088
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kweli ndugu, nakuunga mkono! Huyu dogo anaimba nyimbo zenye upako si mchezo, hasa huo wimbo wa Mfalme wa Amani!
   
 3. C

  CHIEF MGALULA JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 636
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  "Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana"
  Kweli mkuu,mimi pia namkubali pamoja na imani yangu ya urithi toka kwa wazazi wangu kuwa tofauti na yeye
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Jan 3, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,098
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu ni Mkenya au Mtanzania? Wimbo unaliwaza, unafariji kiasi chake!
   
Loading...