Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
...........ulinipa ahadi tukutane kwenu, nikitumaini nimewahi, nilichopata kwako ni matusi na dharau tele. Ungenieleza ukweli solemba kuliko kunidanganya, najuta kuitimiza ahadi ambayo si ya kweli.
Nilikupenda kimapenzi Solemba, ila dharau uliweka mbele Solemba.......
Nilichomwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Solemba, kumbe ulikuwa ndani ukichungulia dirishani....
Nilikupenda kimapenzi Solemba, ila dharau uliweka mbele Solemba.......
Nilichomwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Solemba, kumbe ulikuwa ndani ukichungulia dirishani....