TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,047
Hahaha!pole TAMNO hapo ndio umuhimu wa tairi la akiba unapoonekana!pasaka njema swaiba!
Aisee acha tu, ishu niaje lakini? Enjoy Pasaka yako pia Bandugu.
Hahaha!pole TAMNO hapo ndio umuhimu wa tairi la akiba unapoonekana!pasaka njema swaiba!
Katavi umekimbiwa nini? Hebu njo tufarijiane.
Atakuwa alitongoza vibaya huyo...
Akaambiwa ntakufikiria njoo kesho..
Matokeo yake ndo hayo..
Aisee acha tu, ishu niaje lakini? Enjoy Pasaka yako pia Bandugu.
Nipo pub najifariji kimtindo.
machungu ya kukimbiwa siku ya leo. Dah..!
Siku ya leo imekuwa mbaya sana. Upo wapi, usije ukaniacha solemba na wewe!
bora wewe ulikuwa na plan B....
...........ulinipa ahadi tukutane kwenu, nikitumaini nimewahi, nilichopata kwako ni matusi na dharau tele. Ungenieleza ukweli solemba kuliko kunidanganya, najuta kuitimiza ahadi ambayo si ya kweli.
Nilikupenda kimapenzi Solemba, ila dharau uliweka mbele Solemba.......
Nilichomwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Solemba, kumbe ulikuwa ndani ukichungulia dirishani....
pole mkubwa, ndiyo ukubwa wenyewe huo, hata hivyo nionavyo mie tatizo lako lina ufumbuzi very soon .