Soledad Anasema ni Racism .What do you think ?
Kweli mbona wana hata kazi zingine wakati wapo bado CNN? Wapo wanapunguza wafanyakazi kama 500 sasa weusi ndio kila mtu anashadadia.
Soledad alikuwa activist matokeo yake kapoteza kazi na msnbc liberals are crowdedSoledad was okay but Roland and Dana were boring.
It's strictly business, not personal/racial. Just check the ratings.