Solar systems original kutoka ujerumani

Status
Not open for further replies.
mkuu ni u busy kiasi....typing error ni BOSCHView attachment 1234972

Doch imekuwa Bosch. Haya tuendelee...

Bosch ni mbia wenu basi nyinyi kampuni kubwa sana maana hiyo brand ina mambo mengi sana na si mchezo mchezo.

Au pia ulikosea kusema ni mbia wenu na mnanunua baadhi ya vitu vyao?

Bosch hii bosch?

Tuwache utani jamani.
 
bibi kashachomoa Betri[emoji16][emoji23]
 
sasa mkuu...mbona upo inferior sana...kama una wasiwasi njo ofisin utakuta details zote,...na solar zetu zenye logo ya Dosch
 
mkuu ni u busy kiasi....typing error ni BOSCH
Next time ukiwa unaandaa tangazo jitahidi kuwa serious, error kidogo tu watu washakua na mashaka na wewe. Siku zote jitahidi kupunguza maswali hasa negative questions kutoka kwa wateja unao taka wanunue bidhaa yako.
 
sorry Bosch
Nna AC mota ya pump yenye 3.5kW.

1. Je nahitaji solar panel ngapi?

2. Inverted ya size gani na ipi unashauri ni nzruri kwa matumizi yangu?

3. Charger controller ya saizi gaini na ipi unashauri ni nzruri kwa matumizi yangu?

4. batter ya size gani na ngapi na ipi unashauri ni nzruri kwa matumizi yangu?
 
Next time ukiwa unaandaa tangazo jitahidi kuwa serious, error kidogo tu watu washakua na mashaka na wewe. Siku zote jitahidi kupunguza maswali hasa negative questions kutoka kwa wateja unao taka wanunue bidhaa yako.
poa mkuu
 
umeshafanya pump test mkuu...kama tayari tupigie utupe details za kisima
 
sasa mkuu...mbona upo inferior sana...kama una wasiwasi njo ofisin utakuta details zote,...na solar zetu zenye logo ya Dosch
Nafahamu swali limekuwa gumu kwako na si rahisi kulijibu kwa kuwa uliouandika si ukweli.

Jichunge tu, maana hao Bosch ku "advertise" brand yao kuchanganya na zingine kama ulivyofanya juu huko na kudanganya umma kuwa u mbia na wao wakiipata hii habari na kama hauna ruksa yao basi ujuwe namna ya kujihami tu. Natumai una ruksa yao.

Hao si kama watu wa Kariakoo. Kariakoo sana sana tutasema "tunamwachia Mungu".
 
sasa wewe ni hater...kama unahitaji bidhaa piga sim....utapata bidhaa orujinal hayo mengine tuachie sisi na Bosch
 
Feiza njoo ofisin kwetu tafadhal...hakuna utapeli wowote...hizo bidhaa hapo juu zote zipo nk
 
Kwa mara ya kwanza natoa shukrani kwako, Ahsante mama.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…