Solar Panels | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Solar Panels

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MAMMAMIA, Jun 10, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wadau, wapi ninaweza kupata solar panels Tanzania?
  Unaelewa gharama zake (minimum)?
  Natanguliza shukurani kwa watakaonipatia taarifa.
   
 2. k

  kakolo Senior Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nenda solatex kama sijakosea kama uko Dar ni pale keko karibia na interchick. Niwa Kenya wako serious kweli na biashara. Good luck.
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Nenda Mlimani City pale Nje Kuna Maonesho ya Nyumba yanayoisha Jumapili Jioni Utapata Detail Zote
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  BP((puma Energy) KurasiniREX Energy GerezaniEnsol Ubungo RubadaChloride Exide Ubungo EPZUmeme Jua UbungoMionzi Jua KariakooRedcot urafiki
   
 5. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huduma hii ilifaa zaidi huku pembezoni kama huku Mbozi ambako maeneo karibu yote hayana umeme. Lakini hapo Dar maeneo mengi umeme upo, au sio jamani.
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hakuna umeme,bali kuna minguzo na miwaya tuu na every day mgao,na kama hutumii luku basi tegemea bili ya kubambikiwa mwisho wa mwezi lol!
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana Inkoskaz, Duduwasha, kakolo kwa msaada wenu. Kwa sasa sipo Dar lakini nikifika huko nitafuatilia kwa kufikiria hilo hilo alilosema Nzowa Godat hapo juu. Iko haja ya kuwa na umeme mbadala hata ukiwa Dar (au popote TZ) kwani hawa Tanesco hawaaminiki.
   
Loading...