Soksi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Nyingine zinanuka
Nyingine haziendani na rangi ya Nguo uliyovaa
Nyingine ni chafu ajabu
Nyingine zimechakaa zina matobo
Nyingine za mtumba
Nyingine kama hizo ulizovaa

Kama ilivyo kwa Nguo hata soksi nazo zina jinsi yake ya kuvaa, huwezi kuvaa soksi za mpirani Wakati umevaa suti nk nk nk!!! Karibu kama una lolote la kuchangia
 
Kwa wanaume,
Rangi ya soksi yapaswa kufanana na rangi ya suruali.
Si vyema kuvaa soksi zikiwa na ubichi au unyevunyevu.
Epuka kuvaa soksi ambazo ni material ya mpira au material yoyote inayotunza unyevu.
 
hizi ni miguu ya mume wangu kipenzi figganigga....

daima nahakikisha yuko nadhifu
Umechemsha kidooogo jitahidi mpatie nyepesi hizo kama ni dar haishi kulowa jasho, kwa rangi nakupa byeee na kawivu juu
 
Last edited by a moderator:
Mimi hata nivae suti ya milioni lazima nivae sox za pundamilia, ni urithi wa ma babu zetu.
 
Kwa wanaume,
Rangi ya soksi yapaswa kufanana na rangi ya suruali.
Si vyema @kuvaa soksi zikiwa na ubichi" au unyevunyevu.
Epuka kuvaa soksi ambazo ni material ya mpira au material yoyote inayotunza unyevu.

"Kuvaa soks zilizo na ubichi"
so far zipo zilizoiva?
 
Mie za kwangu hizi apa navalia nguo yoyote..
 

Attachments

  • 1381405647721.jpg
    22.5 KB · Views: 57

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…